mpya

  1. A

    JamiiForums Tanzania Member mpya naomba mnikaribishe

    Habar wakubwa humu jf naomba mnikaribishe member mpya hapa the War machine
  2. JamiiForums Tanzania Muelekeo Mpya? Zuhura Yunus ameanza utaratibu wa kufanya 'Press Briefing' Ikulu..

    Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais IKULU, Zuhura Yunus, leo ameita waandishi wa habari kuwapatia taarifa mbalimbali kuhusiana na ziara za Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan za nje ya nchi za hivi karibuni na tija zake. Tukio linarushwa MUBASHARA na waandishi kutoka vyombo vikubwa na vya kati...
  3. JamiiForums Tanzania Phone4Sale Iphone 7 plus Mpya

    New Iphone 7 Plus 32Gb Full boxed and Sealed Tsh 470,000/- call/whatsapp 0673775527
  4. JamiiForums Tanzania Nimetokea kumchukia sana boss mpya, naomba ushauri ndugu zangu

    Muda unakwenda kwa kasi. Huyu kiumbe sitamanigi kumuona. Siku, Muda unavyokwenda najitahidi nimuondelee chuki moyoni inashindikana. Akiwa binadamu kama wengine najiona natenda kosa. Ushetaji unatusumbua, nahitaji kushinda moyo wangu moyo,cnafsi,churka, yangu inakataa. Kuna jambo linanifanya...
  5. JamiiForums Tanzania IKULU, Dar: Rais Samia na Freeman Mbowe wakutana na kufanya mazungumzo leo Mei 9, 2022

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya mazungumzo tarehe 09 Mei, 2022.
  6. JamiiForums Tanzania Uingereza: Aina mpya ya maambukizi ya tetekuwanga yathibitishwa

    Maafisa wa afya wamegundua Maambukizi ya ugonjwa wa nadra unaofanana na tetekuwanga ujulikanao kama ‘Monkeypox’ Inaelezwa kuwa dalili za awali ni pamoja na homa, maumivu ya kichwa, maumivu ya misuli, mgongo na uchovu hata hivyo maumivu huwa makali zaidi kwa baadhi ya wagonjwa na huenea kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Ripoti mpya ya Covid-19 kwa Mwezi Aprili 2022, Dar yaongoza kwa wagonjwa wengi

    Wizara ya Afya imetoa ripoti inayoonesha kuna ongezeko la wagonjwa wa UVIKO-19, wagonjwa 8 katika wiki ya tatu ya mwezi Aprili, 2022 hadi kufikia wagonjwa 32 katika wiki ya nne ya mwezi huo, huku Mkoa wa Dar es Salaam ukiongoza kuwa na visa vya watu 70 waliothibitika kuwa na ugonjwa huo. Katika...
  8. JamiiForums Tanzania Jezi mpya kwa timu mbalimbali kwa msimu ujao 2022/2023

    Tukiwa tunamalizia msimu huu, baadhi ya timu zimeshaanza kutoa jezi mpya kwa msimu ujao. Timu kubwa ya kwanza kuachia jezi zao ni Liverpool. Uzi huu utakuwa unakuletea jezi mpya kadri tunavyozipata kutoka katika vyanzo mbalimbali. Karibu...
  9. JamiiForums Tanzania EWURA yatangaza bei mpya ya mafuta kuanza kutumika 04/05/2022. Petroli na Dizeli bei juu zaidi

    Mafuta yamepanda tena Bei, Dar Lita ya petrol kuanzia kesho ni 3148, dizeli 3258 Bei za mafuta kuanzia April 4, 2022 Bei ya petrol kwa Dar itakuwa ni Tsh 3,148 kwa lita. Kwa watu wa Tanga watanunua kwa Tsh 3,161 na kwa watu wa Mtwara kwa 3,177 kwa lita. Dizeli itauzwa Tsh. 3,258 kwa lita kwa...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Mtangazaji wa ITV Mabere Makubi usiangaike na ajira ITV, wiki ijayo utapata ajira nje nakamilisha mazungumzo

    Mabere Makubi alifukuzwa na ITV baada ya kuripoti Habari ya maandamano ya machinga Mwanza. Alishinikizwa kwenda Kwenye vyombo vya HABARI kuomba radhi. Akatumwa MTU ITV kwenda kushinikiza afukuzwe kazi. Familia yake ikaanza kuteseka na akaanza kuombaomba huku waliomfanyia huu unyama wakiwa...
  11. JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini Tambueni, Tume Huru itapatikana ktk Katiba Mpya. Sisitizeni Katiba Mpya kabla ya 2025

    Tupate Katiba Mpya ambayo itaweka wazi kuwa viongozi wa Tume ya Uchaguzi kuanzia mwenyekiti wa taifa mpaka wasimamizi wa uchaguzi wawe watu huru wasiofungamana na upande wowote na wasiwe na vinasaba vya kufungamana na chama chochote. Huu ndio utakuwa msingi wa kisheria wa kuwa na tume huru...
  12. JamiiForums Tanzania Personal Brand Image ni aina nyingine mpya ya utumwa

    Personal Brand Image ni aina nyingine mpya ya utumwa. Watu wanajali sana jinsi gani wataonekana kuliko nini wanafikiria na nini ni msimamo wao. Huu ni utumwa mpya uliopewa jina zuri. As long huvunji sheria za nchi wala kudhalilisha mtu Personal Brand Image ni ulemavu wa fikra. Ukiishi kwa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Huyu Muha wa Kigoma sijawahi kumuelewa kabisa. Tokea ajiteke dishi liliyumba. Hajui katiba mpya italeta tume huru?

    👇
  14. JamiiForums Tanzania LATRA yatangaza bei mpya za mabasi, daladala

    Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (Latra) imetengaza nauli mpya za mabasi ya mijini maarufu daladala na mabasi ya masafa marefu. Akitangaza kiwango hicho kipya cha nauli leo Jumamosi Aprili 30, 2022 Mkurugenzi Mkuu wa Latra, Gilliard Ngewe amesema kiwango hicho kipya kitaanza kutumika...
  15. JamiiForums Tanzania Mfumko wa bei wagonga rekodi mpya katika kanda ya Euro

    Mfumko wa bei umegonga rekodi mpya katika nchi 19 za ukanda unaotumia sarafu ya Euro. Hali hiyo imesababishwa na ongezeko kubwa la bei ya mafuta kufuatia vita nchini Ukraine. Katika mwezi huu wa Aprili, mfumko wa bei umefikia asilimia 7.5 kiwango ambacho ni kikubwa zaidi kuwahi kurekodiwa tangu...
  16. JamiiForums Tanzania Ni katiba mpya pekee itayoweza kuzuia ufisadi huu unaoenda kufanyika vinginevyo ni ni maumivu kwa taifa letu

    Lazima mapema iwezekanavyo tuwe na katiba mpya ambayo itaweza kumdhibiti na kumuawajibisha rais anayetumia madaraka vibaya. Rais ambaye anaweza kugeuza ikulu ni mahala pa biashara na kutumia mwanya huo kushirikiana na wajanja wachache kujitajirisha huku wananchi wakibaki na umasikini mkubwa...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Mpya: Waombao ajira za ualimu TAMISEMI kuna kipengele kimeongezwa

    Habari wakuu, Kwa wale WAOMBAO ualimu, Tamisemi Kuna kipengele kimeongezeka ambacho ni uzoefu wa kufundisha. Kipengele hicho kipo baada ya sehemu iliyoandikwa viambatanisho vingine. Kipengele hiki kinaonekana kwa waombaji wapya kuanzia juzi usiku, ebu cross check profile yako Kama...
  18. JamiiForums Tanzania Watu wahoji kwa nini CHADEMA imeanza kupunguza kasi ya kudai Katiba Mpya

    Wananchi mbalimbali wanaotaka katiba mpya wameshtushwa na ubaridi wa ghafla wa chama cha Demokrasia na maendeleo (ChADEMA) katika kudai katiba mpya. Watu hao wanasema walikuwa na tumaini kubwa sana kuwa kupitia pressure ya taasisi hiyo yenye nguvu nchini pamoja na kuunganisha nguvu za wananchi...
  19. JamiiForums Tanzania Nadharia mpya kuhusiana na matatizo fulani ya mfumo wa neva na kupelekea kupooza kwa viungo

    Multiple sclerosis: ni ugonjwa wenye sifa ya kuharibu ushikamanifu wa mfumo wa fahamu haswa kile kiwambo cha mafuta kinachoilinda mishipa ya fahamu. Mara nyingi ikitokea huwa inatokea bila sababu kubwa ya kueleweka japo kama ilivyo ada watu huamua kujiaminisha kwamba labda ni vikemikali/sumu...
  20. JamiiForums Tanzania Watanzania waandamana katika Ubalozi wa Tanzania Nchini Marekani

    Baadhi ya Watanzania wamejitokeza nje ya Ubalozi wa Tanzania Nchini #Marekani na kufanya maandamano wakiwasilisha madai mbalimbali. Baadhi ya madai yao waliyoandika kwenye mabango yao ni Mabadiliko ya Katiba, kuachiwa huru kwa Wakili Peter Madeleka pamoja na kufukuzwa Bungeni Wabunge 19...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…