Bei ya gesi yafikia rekodi mpya Ulaya

ldleo

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
1,010
1,033
VCG31N1243910647.jpg

Bei ya gesi huko Ulaya inazidi kupanda na kufikia rekodi mpya, hali ambayo inaziletea nchi za Ulaya wasiwasi mkubwa kuhusu uhaba wa nishati.

Ufaransa imeweka mpango wa kubana matumizi ya nishati kote nchini, na kutoa wito kwa wananchi wapunguze muda wa kuoga, na kuzima kabisa vifaa vya kielektroniki wakati wa usiku.

Uingereza inapanga kufungua maeneo ya umma yenye vifaa vya kupasha joto kama vile maktaba kwa wananchi kuepuka baridi.

Huko Italia, familia nyingi zimeanza kukusanya kuni ili kuepuka baridi kali.
 
Ukisikia kumbato moto ndo huku.
Afadhali Afrika, kulinda na mazingira alternative ni nyingi , Ulaya hakuna alternative. Lazima upate nishati rasmi, maji rasmi, chakula rasmi.
Ni kwanini huko Afrika kwenye alternatives tunasikia watu wenu wanakufa kwa njaa, wakati Ulaya wasio na alternatives ni nadra kusikia watu wanakufa kwa njaa, nyinyi waafrika mnakwama wapi ?

Ni wavivu ?
Mna uwezo mdogo wa kufikiria ?
Mna uwezo mdogo wa ku exploit rasilimali ardhi au shida nini ?
 
Sisi Waafrika tulipunjwa akili na Mungu kwa makusudi kabisa
 
Bei ya gesi huko Ulaya inazidi kupanda na kufikia rekodi mpya, hali ambayo inaziletea nchi za Ulaya wasiwasi mkubwa kuhusu uhaba wa nishati.

Ufaransa imeweka mpango wa kubana matumizi ya nishati kote nchini, na kutoa wito kwa wananchi wapunguze muda wa kuoga, na kuzima kabisa vifaa vya kielektroniki wakati wa usiku.

Uingereza inapanga kufungua maeneo ya umma yenye vifaa vya kupasha joto kama vile maktaba kwa wananchi kuepuka baridi.

Huko Italia, familia nyingi zimeanza kukusanya kuni ili kuepuka baridi kali.
hatari kwel kwel
 
Ile Arab spring itakuja kuishia kuwa Europe spring ,it is a matter of time. Ni kwa muda gani wananchi wa Ulaya wataendelea kuvumilia huu ujinga wa watawala wao.
Hata sisi tunahitaji hiyo Arab Spring ili tuiondoe hii serikali ya kidhalimu iliyokaa madarakani kwa zaidi ya nusu karne huku wananchi wengi wakiwa maskini wa kutupwa.
 
Waziri Mkuu wa Uingereza sumuoni akimaliza miezi 6 kwenye hicho cheo niko hapaa Igembensabo mtaniuliza..Wana hali mbaya sana Ya Uchumi Wananchi wao wanateseka sana ila wao na Media zao wanajifanya hamnazo kabisa wataondolewa sana mana Ni Wajinga....
 
Bei ya gesi huko Ulaya inazidi kupanda na kufikia rekodi mpya, hali ambayo inaziletea nchi za Ulaya wasiwasi mkubwa kuhusu uhaba wa nishati.

Ufaransa imeweka mpango wa kubana matumizi ya nishati kote nchini, na kutoa wito kwa wananchi wapunguze muda wa kuoga, na kuzima kabisa vifaa vya kielektroniki wakati wa usiku.

Uingereza inapanga kufungua maeneo ya umma yenye vifaa vya kupasha joto kama vile maktaba kwa wananchi kuepuka baridi.

Huko Italia, familia nyingi zimeanza kukusanya kuni ili kuepuka baridi kali.

Wamelikoroga wenyewe ngoja walinywe - na bado, majira ya winter yakikaza hukumu watakwenda wenyewe kumwimbia nyimbo za Kilatini Putin - siku hiyo inakujaaa!
 
Back
Top Bottom