mpya

  1. JamiiForums Tanzania Rasimu ya Warioba ipo tayari, tupate Katiba Mpya ndani ya mwaka huu tuwakatae wabunge vibogoyo na bunge lao lisilofaa

    Kama CCM wenyewe wamekubali kuwa sasa hivi katiba ni hitaji la kitaifa na huu ndio wakati muafaka basi sasa ndio wakati wa kuweka mambo sawa. Tuna bunge kibogoyo linalotafuna pesa za walipa kodi na huku wananchi wakiwa na maisha magumu. Hatusikii bunge likifanya kazi yake kama bunge ya...
  2. JamiiForums Tanzania Pamoja na suala la Katiba Mpya, Halmashauri ya CCM ilipaswa kujadili hujuma dhidi ya mradi wa JNHP, bei za mbolea na mafuta ili waliohusika wakamatwe

    Ninashangaa sana kusikia eti katiba mpya imekuwa ina umuhimu sasa hivi wakati kuna kikosi kazi kilisema mpaka mama akishinda uchaguzi wa 2025 ndio mchakato uanze. Sio mbaya maana sasa ni hitaji la kitaifa na mchakato uanze mapema, lakini kwa nini CCM wabadili gea? Mbona masuala ya msingi kama...
  3. JamiiForums Tanzania Mwinyi alileta upinzani uliofutwa, Samia anaenda kuileta katiba mpya, Kwa hili inabidi niweke hisia zangu pembeni kwa wazanzibari

    Yes, mimi kiukweli ni mmoja wa watu ambae huu muungano sijawahi kuupenda hata kidogo hasa pale ninapoona uongozi wa bara tunachangiana na wazanzibar lakini huko kwao ni wao wenyewe wanajiongoza, huwa inaniuma mno. Ila kuna kitu nimetafakari hapa juu ya mchango wa hawa wenzetu wanaposhika...
  4. JamiiForums Tanzania CCM yaridhia Katiba Mpya, kwamba ni takwa la Wananchi, je itaafikiwa na Wananchi?

    Kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimekubaliana na umuhimu wa kupatikana katiba mpya kwa kuzingatia mazingira ya sasa hivyo kimeishauri Serikali kuona namna bora ya kufufua, kukwamua na kukamilisha mchakato wake kwa maslahi mapana ya Taifa na Watanzania wote. ==== 1...
  5. JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mikutano ya CCM: Maridhiano ya kitaifa, Mchakato wa Katiba Mpya, Uteuzi, Pongezi kwa Rais Samia na Mwinyi

    Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa kilichoongozwa na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Jumatano 22 Juni 2022 Makao Makuu ya CCM katika Ukumbi wa White House Jijini Dodoma kimetoka na maazimio yafuatayo kwa masilahi ya taifa. 1...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano wa BRICS waleta fursa mpya kwa Afrika

    Mkutano wa 14 wa viongozi wa nchi za BRICS utafanyika hapa Beijing kwa njia ya mtandao. Kaulimbiu ya mwaka huu ya BRICS ni “Kujenga uhusiano wa kiwenzi wa hali ya juu, kuanzisha kwa pamoja zama mpya ya maendeleo ya kimataifa”. Likiwa jukwaa la ushirikiano kati ya nchi zinazoendelea, BRICS...
  7. JamiiForums Tanzania Ngorongoro na Loliondo ni ushahidi mpya wa uwepo wa wanasiasa uchwara

    Uwepo wa wanasiasa uchwara Tanzania uligunduliwa kwa mara ya Rais William Benjamini Mkapa (RIP). Uchwara wa wanasiasa wetu haujali kuwa una elimu kiasi gani, kabila, dini wala jinsi ya mwanasiasa. Hivi zile sababu zilizosababisha ndugu zetu Wamasai wachanganywe na wanyamapori ziko mpaka leo...
  8. JamiiForums Tanzania Kocha mpya wa Simba kuwasili usiku huu

    Kuna taarifa zimenifikia kuwa kocha mpya wa simba atawasili usiku huu nchini. Je, kocha huyo ni nani? Tuvute subira
  9. JamiiForums Tanzania Kelele za mchakato wa Katiba mpya kuanza na spidi ya ufisadi ikitamalaki kabla ya upatikanaji wake!

    Watanzania! Poleni KWA tozo,ugumu wa maisha na kizungumkuti cha kodi ya kichwa ijayo! Mungu atupe uvumilivu katika mateso tunayopewa na Watoto tuliowazaa sisi wenyewe! Wakati kelele za mchakato wa Katiba mpya zikipigwa hadi kikosi kazi feki kikaitishwa Ili ku spin mchakato usianze mapema na...
  10. JamiiForums Tanzania Huyu Koffi Olomide wana Simba SC tumemkosea nini hadi Kututusi Tusi la Nguoni katika Wimbo wake mpya wa Acquitte?

    Naomba ewe Mwana Simba SC ingia upesi YouTube na utafute huo Wimbo wa "Acquitte' kisha tushee pamoja Maumivu ya Kuukosa Ubingwa wa NBC Mwaka huu na Tusi zito la Nguoni lililoanza na Neno Kolo (tulilopewa na Haji Manara) kisha kwa umakini wako kabisa lisikilize hilo Neno la Pili baada ya Neno...
  11. JamiiForums Tanzania Katiba mpya kizingiti cha uonevu na ufisadi, ipatikane kabla ya 2025 kuliokoa taifa letu. Itazuia kila uovu, uonevu na ufisadi unaotamalaki sasa hivi

    Bila kuwa na katiba yenye meno haya yanayotokea huko Loliondo yatakuwa kama jambo la kawaida. Kutafuna pesa za walipa kodi kwa safari za viongozi zisizo na tija au manufaaa kwa umma zitakuwa ni jambo la kawaida. Wananchi kutozwa tozo za ajabu ajabu na zenye uonevu mkubwa itakuwa ni jambo la...
  12. JamiiForums Tanzania Riwaya na hadithi za John Wisse zote mpya utazipata hapa

    UZI HUU NI MAALUM KWA AJIRI YA KUSOMA NA KUPATA RIWAYA ZA JOHN WISSE. UKIHITAJI KITABU CHOCHOTE UTAKIPATA KWA KUULIZA HAPA NAWE UTAJIBIWA HARAKA NA KUPATA KILE UNAKIHITAJI.
  13. JamiiForums Tanzania Jana nilijua SImba SC tunaenda labda Kutambulishwa Kocha Mkuu mpya au Mchezaji kumbe ni Kuonyesha tu 'Beacons' na 'Ramani' za Bunju

    Sasa nimeamini kwanini Boss wangu wa zamani na Kiongozi ninayemkubali Simba SC Mzee Ismail Aden Rage alisema kuwa Sisi wana Simba SC ni Mambumbu sana na hakika alikuwa sahihi Kutudhihaki kiasi kile. Mnaacha kutuambia Kocha Mkuu anakuja lini, Usajili utakuwaje na kwanini Msimu huu tumetoka...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Tupate Katiba Mpya haraka ili tumfute kazi Rais Samia na Bunge kibogoyo la CCM

    Bila Katiba Mpya dalili zinaonyesha tunakwenda kuumia kabisa. Tunakwenda kuuzwa kama manyumbu. Mradi wa LNG lindi hauta tufaidisha hata kidogo bali utafaidisha Samia na genge lake la CCM ya wajanja. Tupate katiba mpya ambayo itatupa wananchi nguvu ya kumkataa. Nguvu ya kuvunja bunge kibogoyo...
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Benki Kuu ya Dunia yatambua mfumo mpya wa elimu Kenya kuwa bora kuliko yote ukanda wote huu

    Ni mfumo ambao utazalisha jamii inayoweza kujiendeleza na sio kujaza sokoni vijana wanaosaka ajira..... Kenya has come in for rare praise from the World Bank for the reforms in its education system, which has had its share of criticism for what some say is its demanding yet confusing scope...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Ki Aziz apewa mama mpya na Watanzania. Makanjanja hawapo nyuma, yamegeuka machawa waandamizi

    Mambo ni mengi muda mchache ni vurugu mechi zahapa na pale, makanjanja yaliyoamua kujivika uchawa na kudhalilisha taaluma ambayo huwa inaaminika kwamba ni mhimili wa 4 yaani media, basi ni vurugu tupu kama chawa la Gsm linalo ji disguise kama chambuzi la clouds fm nalo likamsingizia mwanamke...
  17. JamiiForums Tanzania Meneja Mpya wa Harmonize Kajala Adaiwa Kumuondoa Mjerumani Konde Gang

    OGOPA mno kuchanganya mapenzi na kazi! Saa kadhaa baada ya Harmonize au Konde Boy kumtangaza Kajala Masanja au Mama Paula kuwa C.E.O na meneja wake mpya, meneja mwingine wa jamaa huyo, Beauty Mmari almaarufu Mjerumani anadaiwa kufungasha virago. Katika ukurasa wake wa Instagram, Mjerumani...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Kazi ya ulezi wa wanyama Kenya: Fursa mpya ya ajira Kenya

    Kwa wale wanaopenda wanyama,nchini Kenya kuna fursa kubwa ya kulea wanyama kama paka na mbwa. Malipo ya kazi hii ni shilingi 1000 ya Kenya sawa na shilingi 18000 ya Tanzania kwa saa. Kazi ya mlezi wa mnyama ni kumpa chakula ,kucheza naye, kumsafisha na kumpeleka hospitali mnyama Kabla...
  19. JamiiForums Tanzania Valencia yamtangaza Gennaro Gattuso kuwa kocha wao mpya

    Gennaro Gattuso ameteuliwa kuwa kocha wa Valencia na kusaini mkataba wa miaka miwili Kiungo wa zamani wa AC Milan mwenye umri wa miaka 44 amekuwa hana timu tangu Mei 2021 alipoondoka Napoli baada ya kuiongoza kushinda taji la Coppa Italia Mwaka jana alitajwa kupewa nafasi ya kuifundisha...
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini CDF mpya bado hajatangazwa?

    Kitendo cha CDF wa sasa kuanza rasmi kuaga viongozi wa kitaifa kinatafsiriwa kwamba tàyari ameshapatikana atakayemrithi. Tunaona katika nchi zilizoendelea na hata makampuni makubwa mrithi wa kiongozi mkuu huwa anatangazwa mapema sana na transition inafanyika kirahisi. Kwanini mpaka sasa hivi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…