TFF kumpelekea kipa Manula kocha mpya wa makipa Taifa Stars, Kaseja ni kuhatarisha hasa performance ya timu nzima kimatokeo

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
Watu wa mpira tunajua kuwa kipa Aishi Manula na aliyewahi kuwa kipa wa Taifa Stars Juma Kaseja haziivi kabisa.

Kaseja analalamika Manula mchawi na Manula nae kutwa hataki kumsikia Kaseja kwa madai kuwa ni mchawi na amekuwa akimuumiza mno walipokuwa pamoja Taifa Stars mwaka mmoja au miaka miwili iliyopita.

Halafu kipa Manula anamdharau(tena wazi wazi) kipa Kaseja na Kaseja nae mara nyingi humuonyeshea kiburi kipa Manula, jambo ambalo ni hatari zaidi kwa timu ya taifa.

Ukweli ni kwamba mmekurupuka!
 
Watu wa Mpira tunajua kuwa Kipa Aishi Manula na aliyewahi kuwa Kipa wa Taifa Stars Juma Kaseja haziivi kabisa.

Kaseja analalamika Manula Mchawi na Manula nae Kutwa hataki Kumsikia Kaseja kwa madai kuwa ni Mchawi na amekuwa akimuumiza mno walipokuwa pamoja Taifa Stars mwaka Mmoja au miaka Miwili iliyopita.

Halafu Kipa Manula anamdharai ( tena wazi wazi ) Kipa Kaseja na Kaseja nae mara nyingi humuonyeshea Kiburi Kipa Manula Jambo ambalo ni Hatari zaidi kwa Timu ya Taifa.

Ukweli ni kwamba mmekurupuka!!!
Karia huyo
 
Makocha mtabadirisha sana tu lakini hakuna mtakachofanikiwa, tatizo linajulikana hakuna wachezaji wenye hadhi ya kushindana hapa, watu wamewekeza sana, nenda UGANDA, mpira toka chini upo, hapa mnategemea kukuza mpira kiujanja ujanja tu mtegemee matokeo!!eti wachezaji 12 wa kigeni ruksa kuanza kwenye timu moja!!kisa yanga na simba zifike mbali!!!"KAMA HUFAHAMU UNAKO KWENDA WALA HUWEZI KUPOTEA"
 
safi sana iyo,waunganishe uchawi wao kisha wamroge kipa wa Uganda kwenye marudiano mpira ukifika golini aone manyota nyota.
Wawili hao ( hawa ) hawapatani kabisa kutokana na Kutuhumiana Kurogana ( Uchawi ) na sijui sasa itakuwaje huko Kambini.
 
Watu wa Mpira tunajua kuwa Kipa Aishi Manula na aliyewahi kuwa Kipa wa Taifa Stars Juma Kaseja haziivi kabisa.

Kaseja analalamika Manula Mchawi na Manula nae Kutwa hataki Kumsikia Kaseja kwa madai kuwa ni Mchawi na amekuwa akimuumiza mno walipokuwa pamoja Taifa Stars mwaka Mmoja au miaka Miwili iliyopita.

Halafu Kipa Manula anamdharai ( tena wazi wazi ) Kipa Kaseja na Kaseja nae mara nyingi humuonyeshea Kiburi Kipa Manula Jambo ambalo ni Hatari zaidi kwa Timu ya Taifa.

Ukweli ni kwamba mmekurupuka!!!
Hawa makocha wqtatangaza wachezaji wao, huyo Manula anaweza akaachwa
 
Makocha mtabadirisha sana tu lakini hakuna mtakachofanikiwa, tatizo linajulikana hakuna wachezaji wenye hadhi ya kushindana hapa, watu wamewekeza sana, nenda UGANDA, mpira toka chini upo, hapa mnategemea kukuza mpira kiujanja ujanja tu mtegemee matokeo!!eti wachezaji 12 wa kigeni ruksa kuanza kwenye timu moja!!kisa yanga na simba zifike mbali!!!"KAMA HUFAHAMU UNAKO KWENDA WALA HUWEZI KUPOTEA"
Kwani wachezaji 12 wa kigeni wanaathiri nini timu ya taifa?Utitiri wa wachezaji wa kigeni hapa Tz umeanza miaka ya hivi karibuni.Lakini tangu tupate uhuru leo miaka 61 timu ya taifa haijawahi kufanya vizuri.

Timu ilipewa jina la kichwa cha mwendawazimu miaka ya 1990 na Mzee Mwinyi sababu ya kila taifa kujipigia tu kama ngoma ya wagobogobo. Kama tatizo ni wachezaji kuwa wengi wa kigeni mbona miaka hiyo ambayo hatukuwa na wachezaji wengi wa kigeni stars ilikuwa haifanyi vizuri?

Mchawi mkubwa wa mpira wetu ni MUNGAI aliyefuta michezo mashuleni mwaka 1998 .Apelekwe gerezani miaka 12 siku anamaliza kifungo achapwe viboko 12 ili akamuoneshe mkewe.

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Umeandika Ukweli mtupu Ndugu ila Majuha wengi hawatokuelewa hapa. Alichokiharibu Mungai ndiyo Waganda wanakitumia hadi Leo ndiyo maana katika Soka na hata Michezo mingine wametuacha mbali mno.
 
Back
Top Bottom