Uingereza: Liz Truss achaguliwa kuwa Waziri Mkuu

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,118
Graham Brady, Mwenyekiti wa Kamati ya 1922 ya kundi la Wabunge wa Conservative ambao si Mawaziri wa Serikali amemtangaza Truss kuwa mrithi wa Boris Johnson aliyelazimika kujiuzulu baada ya shinikizo la Mawaziri waliodai kutokuwa na imani naye.

Matokeo hayo yametokana na Kura za wanachama wa Conservative ambao ni takriban watu 180,000 wanaolipia kuwa wanachama wa chama hicho, kati ya watu milioni 65 wanaoishi Uingereza ambapo Truss amepata zaidi ya Kura 80,000.

Upigaji Kura ulifanywa kwa njia ya Posta na ulimalizika Septemba 2,2022.

============================

Truss takes over 80,000 votes​

Sir Graham Brady has given some numbers on the margin of Liz Truss' victory over Rishi Sunak.
He says Truss won 81,326 votes compared to Sunak’s share of 60,399 votes.
Brady adds there was a turnout of 82.6%.
============================

The next prime minister of the U.K. will be announced Monday following a grueling, and at times bitter, leadership contest within the ruling Conservative Party.

The announcement is expected at 12:30 p.m. London time and will be delivered by Graham Brady, the chair of the 1922 Committee, which is a group of Conservative Members of Parliament who aren’t government ministers.

The leadership election was triggered when current Prime Minister Boris Johnson announced he would be resigning on July 7. It came after a wave of ministers and backbenchers resigned, with many voicing a lack of confidence in their party leader.

Johnson has stayed on as caretaker PM while the party decided between the candidates.

He has not yet formally resigned from office, as he must first attend an audience with Queen Elizabeth II to officially inform her that he is stepping down.

Sunak or Truss?
The next prime minister will be either current Foreign Secretary Liz Truss or former Finance Minister Rishi Sunak, after the pair made it to the final stage of the eight-candidate leadership contest.

Truss has been a firm front-runner in the contest among Conservative Party members.

Truss and Sunak have come head-to-head at 12 campaign events over the last eight weeks to try to win over party members.

They have set out their views on the Bank of England’s mandate, tax cuts and the controversial plan to deport migrants to Rwanda, as well as the U.K.’s worsening cost-of-living crisis.

The result was chosen exclusively by members of the Conservative Party — that’s around 180,000 people by the most recent count who pay to be a member of the party, out of the 65 million people living in the U.K.

The vote was carried out as a postal ballot which closed on Sept. 2.

CNBC
 
Huu ni mtanange mwingine wa kidemokrasia ndani ya Chama kimoja kama ule wa Lazaro Nyalandu na Tundu Lisu mwaka 2020

Conservative wanawashindanisha Liz Truss na Rishi Sunak

Ni mubashara Skynews na BBC
 
Huu ni mtanange mwingine wa kidemokrasia ndani ya Chama kimoja kama ule wa Lazaro Nyalandu na Tundu Lisu mwaka 2020

Conservative wanawashindanisha Liz Truss na Rishi Sunak

Ni mubashara Skynews na BBC
Hawa jamaa wanaziponda nchi za kifalme au zile za kurithishana uraia kifamilia wanasema hazina demokrasia!Ila wao wanasahau kuwa Wana Royal family ambao ndio wenye nchi!Barua ya Kujiuzulu Boris aliandikiwa Malkia!Maana yake ni boss wake!
 
Liz Truss amemshinda Rishi Sunak na ndiye Next Prime Minister

Source: Skynews
---

1662381828791.png

Liz Truss to become UK’s next prime minister, Conservative leader
DEVELOPING STORY,
Britain’s Conservative Party picks Liz Truss as its leader, triggering the beginning of a handover from Boris Johnson.

Foreign Secretary Liz Truss has been named leader of the governing Conservative Party, taking power as Britain’s next prime minister at a time when the country faces a cost-of-living crisis, industrial unrest and a recession.

After weeks of an often bad-tempered and divisive party leadership contest that pitted Truss against Rishi Sunak, a former finance minister, Monday’s announcement triggered the beginning of a handover from Boris Johnson.

Johnson was forced to announce his resignation in July after months of scandal and he will travel to Scotland to meet Queen Elizabeth on Tuesday to officially tender his resignation.

His successor will follow him and be asked to form a government.

In a short victory speech at the announcement in a central London convention hall, Truss said it was an “honour” to be elected after undergoing “one of the longest job interviews in history”.

Al Jazeera’s Jonah Hull, reporting from London, said Truss won not as resoundingly as the opinion polls might have earlier suggested.

“She picked up 57 percent of eligible votes among Conservative Party members. Rishi Sunak, former chancellor of the exchequer, got 42 percent,” he said.

“She promised that she campaigned as a Conservative and she will govern as a Conservative, she promised to cut taxes, to grow the economy, she promised to deal with the energy crisis,” he added.

From crisis to crisis
Long the frontrunner in the race to replace Johnson, Truss became the Conservatives’ fourth prime minister since a 2015 election.

Over that period the country has been buffeted from crisis to crisis, and now faces what is forecast to be a long recession triggered by sky-rocketing inflation which hit 10.1 percent in July.
 
Liz Truss ambae ni Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza leo amechaguliwa na chama chake kuwa kiongozi wake na pia kuwa Waziri Mkuu wa Uingereza.

Hiyo ni baada ya kumshinda kwa kura mgombea mwingine wa nafasi hiyo bwana Rishi Sunak ambae alipata asilimia 42 ya kura zilipigwa chini ya asilimia zaidi ya 57 kwa Liz Truss.

Boris Johnson leo mchana atakwenda kumwona Malkia wa Uingereza Elizabeth wa pili kuwasilisha rasmi hati ya kujiuzulu na kesho Liz Truss pia atafuata kwa kuwasilisha hati ya utambuzi ya kuwa Waziri Mkuu mpya wa Uingereza na kisha kukaribishwa na Malkia Elizabeth wa pili kuunda Baraza la Mawaziri.
 
Hawa jamaa wanaziponda nchi za kifalme au zile za kurithishana uraia kifamilia wanasema hazina demokrasia!Ila wao wanasahau kuwa Wana Royal family ambao ndio wenye nchi!Barua ya Kujiuzulu Boris aliandikiwa Malkia!Maana yake ni boss wake!
Kwao, bunge ndilo lenye nchi.

Hata huyo malkia unayemuona hivi sasa alipatikana kwa mujibu wa sheria zilizotungwa na bunge miaka ya nyuma.

Vilevile, bunge linaweza kumuondoa madarakani likiamua. Isitoshe, limeshawahi kufanya hivyo miaka ya nyuma.

Pitia historia kuhusu kile kilichomkuta Mfalme Charles wa Kwanza pale alipojaribu kupuuza maamuzi ya bunge la Uingereza.
 
Wakati wanahangaika kufanya mabadiliko kwenye hizo serikali zao, mbabe wao Putin anawachora tu.
 
Kwao, bunge ndilo lenye nchi.

Hata huyo malkia unayemuona hivi sasa alipatikana kwa mujibu wa sheria zilizotungwa na bunge miaka ya nyuma.

Vilevile, bunge linaweza kumuondoa madarakani likiamua. Isitoshe, limeshawahi kufanya hivyo miaka ya nyuma.

Pitia historia kuhusu kile kilichomkuta Mfalme Charles wa Kwanza pale alipojaribu kupuuza maamuzi ya bunge la Uingereza.
Lakini kikubwa ni kwamba familia Moja ndio inaendelea kuongoza nchi!Huo utaratibu wameuweka wao,basi waheshimu na taratibu zilizowekwa na nchi nyingine!Sio mpaka tufanane na wao Kwa kila kitu!
 
Liz Truss

Graham Brady, Mwenyekiti wa Kamati ya 1922 ya kundi la Wabunge wa Conservative ambao si Mawaziri wa Serikali amemtangaza Truss kuwa mrithi wa Boris Johnson aliyelazimika kujiuzulu baada ya shinikizo la Mawaziri waliodai kutokuwa na imani naye

Matokeo hayo yametokana na Kura za wanachama wa Conservative ambao ni takriban watu 180,000 wanaolipia kuwa wanachama wa chama hicho, kati ya watu milioni 65 wanaoishi Uingereza ambapo Truss amepata zaidi ya Kura 80,000

Upigaji Kura ulifanywa kwa njia ya Posta na ulimalizika Septemba 2,2022.

============================

Truss takes over 80,000 votes​

Sir Graham Brady has given some numbers on the margin of Liz Truss' victory over Rishi Sunak.
He says Truss won 81,326 votes compared to Sunak’s share of 60,399 votes.
Brady adds there was a turnout of 82.6%
============================

The next prime minister of the U.K. will be announced Monday following a grueling, and at times bitter, leadership contest within the ruling Conservative Party.

The announcement is expected at 12:30 p.m. London time and will be delivered by Graham Brady, the chair of the 1922 Committee, which is a group of Conservative Members of Parliament who aren’t government ministers.

The leadership election was triggered when current Prime Minister Boris Johnson announced he would be resigning on July 7. It came after a wave of ministers and backbenchers resigned, with many voicing a lack of confidence in their party leader.

Johnson has stayed on as caretaker PM while the party decided between the candidates.

He has not yet formally resigned from office, as he must first attend an audience with Queen Elizabeth II to officially inform her that he is stepping down.

Sunak or Truss?
The next prime minister will be either current Foreign Secretary Liz Truss or former Finance Minister Rishi Sunak, after the pair made it to the final stage of the eight-candidate leadership contest.

Truss has been a firm front-runner in the contest among Conservative Party members.

Truss and Sunak have come head-to-head at 12 campaign events over the last eight weeks to try to win over party members.

They have set out their views on the Bank of England’s mandate, tax cuts and the controversial plan to deport migrants to Rwanda, as well as the U.K.’s worsening cost-of-living crisis.

The result was chosen exclusively by members of the Conservative Party — that’s around 180,000 people by the most recent count who pay to be a member of the party, out of the 65 million people living in the U.K.

The vote was carried out as a postal ballot which closed on Sept. 2.

CNBC
Liz Truss
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom