mpya

  1. R

    JamiiForums Tanzania Msamiati mpya katika Kamusi ya Madikiteita

    In Samia Suluhu’s authoritarian dictionary 👉🏽Criticism of her = wananitukana 👉🏽Protests/ Maandamano = kufanya fujo 👉🏽To kill, abduct and torture = kuchapa mikwaju 👉🏽 Freedom of expression = nywinywinywi 👉🏽 Demokrasia = utovu wa nidhamu 👉🏽Authoritarianism = mila na desturi zetu By Maria Sarungi
  2. JamiiForums Tanzania Bei mpya za Mafuta mwezi Mei zatangazwa, Petroli yazidi kupanda hadi 4115, Diseli 4248

  3. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ruto Lands Tanzania: Biashara, Ajira na Ushirikiano Mpya Kwenye Meza

    Rais wa William Ruto ameanza ziara ya siku mbili nchini Tanzania kuimarisha uhusiano kati ya majirani hawa wa Afrika Mashariki. Ziara hii inaonekana kuwa muhimu sana hasa kwa masuala ya biashara, ajira na maendeleo ya kikanda. Kwa mujibu wa taarifa kutoka Ikulu ya Tanzania, Ruto atakutana na...
  4. JamiiForums Tanzania Jezi mpya kwa timu mbalimbali kwa msimu ujao 2026/2027

    Tukiwa tunamalizia msimu huu, baadhi ya timu zimeshaanza kutoa jezi mpya kwa msimu ujao. Timu kubwa ya kwanza kuachia jezi zao ni Bayern Munich. Uzi huu utakuwa unakuletea jezi mpya kadri tunavyozipata kutoka katika vyanzo mbalimbali. Karibu...
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini wanaoanzisha pubs mpya wengi lazima watinge Singida kutafuta mabinti wa kuziendesha/kuhudumia?

    Kuna siri gani juu ya mabinti wa Singida, are they good at hospitallity and homage?
  6. JamiiForums Tanzania Kwa haya yanayoendelea nchini unategemea kuna Katiba mpya?

    Kuna bajeti imepitishwa hadi sasa ya kuunda Katiba mpya? Bunge la chama kimoja liunde katiba? Wabunge vilaza wamekalia uchawa tu kusifiasifia tu matumbo yajae Mambo ya tume ya ccm kuchunguza ni kupoteza muda tu wananchi wanahitaji katiba mpya wataepata lini? Katiba hakuna waweke wazi watu wajue
  7. M

    JamiiForums Tanzania Abiria na kondakta wa daladala warushiana ngumi na kushikama mashati kisa nauli mpya ya Sh 700 katika safari ya Mbezi Makumbusho

    Abiria na kondakta wa daladala wameingia kwenye mzozo wa kurushiana ngumi na kushikama mashati kutokana na kutoelewana kuhusu nauli mpya ya Sh 700 katika safari ya Mbezi Makumbusho kupitia barabara ya Morogoro. Tukio hilo limetokea leo majira ya saa 2:40 asubuhi baada ya abiria mmoja kudai kuwa...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Hatimaye NAUZA kwa Bei ya kutupa nipeni 2.8m Honda ace 150 mpya

    Wakuu nipeni hio hela nisolve changamoto niliyonayo 2.8m ( milioni 2 na laki 8 tu) Pikipiki Imetembea jumla ya km 367 tu number FRN... imetoka jana na kadi yake ipo full Leteni hio pesa Inafaa Kwa bodaboda, matumizi binafsi, kumpa mtu Kwa ajili ya mkataba n.k Ipo mbeya-Mbarali Phone 0789088982
  9. JamiiForums Tanzania Walimu wa Zamani hawataki kubadilika kuendana na mtaala mpya.

    Ninaandika haya kama ajira mpya lakini mwenye uzoefu mkubwa katika ufundishaji. Nimefika kwenye kituo cha kazi shule ya sekondari na nilichokutana nacho nitofauti na matarajio ya waziri wa elimu. Walimu waliopo kazini muda mrefu bado wameshikilia mifumo ya ufundishaji wa zamani yaani kujaza...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira Mpya: Namtumbo mkoani Ruvuma hatujalipwa Pesa ya kujikimu

    Tunaomba mamlaka zitusaidie ajira mpya wa 2025 halmashauri ya Namtumbo-Ruvuma, tumepewa kiasi TZS 130,000 tu. Kila tunapohoji kuhusu pesa nyingine hatupewi majibu. Tabia hiyo imekuwa ikijirudia rudia hata kwa ajira ya mwaka 2024. Tunaomba mamlaka itusaidie tupate pesa yetu ya kujikimu
  11. JamiiForums Tanzania Money sunction effector (MSE) ni suluhisho la ajira kwa vijana hapa Tanzania

    Habari wakuu Natumai wote humu ndani ni wazima wa afya kabisa. Week mbili hizi nimefanya research ambayo naimani kama ikifanyiwa kazi basi tunaweza pata matokeo chanya kwa taifa letu na hata tutajikomboa katika wombi la ukosefu wa ajira kwa vijana na umaskini kwa ujumla. Nitangulize pia...
  12. JamiiForums Tanzania Tume mpya ya uchunguzi: Hatua ya kuunganisha Taifa

    Na Mwandishi maalum Kauli ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan kuhusu kuundwa kwa Tume ya Uchunguzi itakayochunguza kwa kina yale yaliyobainishwa kwenye ripoti ya Tume ya Rais ya iliyoundwa kuchunguza matukio ya uvunjifu wa amani yaliyotokea Oktoba 29, 2025...
  13. JamiiForums Tanzania Mtandao wa JamiiForums kuleta feature mpya kuzuia Utapeli

    ecg Mtandao wa jamii forums ambao uliachiwa Toka mwaka 2006, imekua ni mtandao wa kipekee unaokutanisha vijana kujadili mambo mbalimbali kuhusu Teknolojia, Siasa, maisha, upendo nk. Sasa katika kuendana na Mitandao ya kijamii kisasa imekua ikileta feature mbalimbali za kisasa na kwa sasa iko...
  14. JamiiForums Tanzania CHADEMA wakisusia maridhiano watasusia na vikao vya kuandika Katiba Mpya?

    Nilimsikia Rais Samia akisema ataunda tume ya maridhiano nchini ya kuwaleta watanzania pamoja kabla ya kuanza mchakato wa kuandika Katiba mpya. Nimewasikia chadema wakisema hawatahusika wala kushiriki kwenye maridhiano. Kwa maoni yangu sioni namna chadema itakavyoshirikishwa kwenye kuandika...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Pikipiki aina ya Honda Ace 150 mpya inauzwa

    Nauza pikipiki aina ya Honda Ace 150, iliyotumika kidogo sana na ipo katika hali safi kabisa. 🛵 Maelezo muhimu: Aina: Honda Ace 150 Umbali uliotembea: KM 400 tu (karibu mpya kabisa) Hali ya injini: Safi, safi kabisa, cc150 Matumizi: Binafsi, imetunzwa vizuri Uwezo: Inafaa kwa biashara...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu Ajira mpya Wilaya ya Ngara walimu wanatuchukuliaje lakini! Hela tumeambiwa zipo Hazina lakini kimya ni mwaka sasa

    Mimi niliajiriwa Mwaka 2025 katika Halmashauri ya Ngara Mkoani Kagera lakini hela zetu za kujikimu mimi na wenzangu hatujapewa, tupo Kada ya ELIMU ila wenzetu Kada ya AFYA walivyofika tu wakapewa sisi mpaka leo kimya. Mwaka huu 2026 wameleta ajira mpya wengine wa Elimu na Afya lakini afya...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Barua za uthibitisho Ajira Mpya Tabora ni kero tangu Mwaka 2024

    Mimi ni Mtumishi nipo Kada ya Afya Mkoani Tabora, nimeajiriwa tangu Mwaka 2024, changamoto ipo Kada ya Ualimu na Afya intake moja Barua za uthibitisho imekuwa kero lakini mikoa mingine walishapata hatujui kwa Tabora changamoto ni ipi.
  18. JamiiForums Tanzania Jaji Chande: Katiba Mpya ipatikane hadi ifikapo 2028. Uchaguzi wa 2030 tuwe na Katiba Mpya

    Ameyasema hayo wakati akiwasilisha Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani Yaliyotokea Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025, tarehe 23 Aprili, 2026, Dar es Salaam ambapo Tume hiyo imetoa mapendekezo yake Mapendekezo ya Tume ya Jaji Chande Serikali kuweka...
  19. JamiiForums Tanzania Jaji Chande: Katiba Mpya ipatikane kabla ya mwaka 2028

    Mwenyekiti wa Tume, Jaji Mohamed Chande Othman, amesema ni maoni ya Tume kwamba ni muhimu Katiba Mpya ipatikane ifikapo mwaka 2028 ili iweze kutumika katika uchaguzi ujao wa Serikali za Mitaa mwaka 2029 pamoja na Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2030. "Maoni ya Tume kwamba ni muhimu Katiba Mpya ipatikane...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania haitakuwa moja mpaka katiba mpya tena nzuri

    Tanzania haitakuwa moja mpaka katiba mpya tena nzuri. Katiba ikiwa na hawa machawa na mafisadi tutakuwa palepale. Inatakiwa katiba itengenezwe kwanza na wataalamu kwa kuzingatia kaya na uchumi wa taifa ndiyo wapewe wanasiasa. Hawa brain zero wabunge na machawa hakuna kitu hapa tutapata madudu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…