mpya

  1. JamiiForums Tanzania Sijasafiri Nje ya Nchi kwa muda sasa, naombeni Utaratibu wa kupata Pasi Mpya ya Kielektroniki Nisafiri

    Na je, ukiwa bado unayo ile Pasi ya zamani ukienda kuhitaji hii mpya ya Kielektroniki mchakato ni mkubwa au details zilizoko katika Pasi ya zamani ndiyo hizo hizo zitatumika kwa hii ya Kielektroniki na kuipata Kiuharaka? Na je, muda wa kupata Pasi Mpya ya Kielektroniki ni upi? Je, huko kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Walimu wamelipokea tamko la SERIKALI kuhusu utoro kazini, LAKINI wanataka Katiba mpya Ili apatikane kiongozi atakayetatua Matatizo yao sugu

    Wakuu Tamko la SERIKALI kuhusu utoro kazini KWA walimu wamelipokea,LAKINI changamoto ZAO ni nyingi Sana na serikali imeshindwa kuzitatua,wanadai Katiba mpya Ili achaguliwe kiongozi atakae tatua Matatizo yao,huyu aliepo ameshindwa kabisa! Wanajua urejeo wa Kairuki Tamisemi ni kuspin maslahi yao...
  3. JamiiForums Tanzania Idugunde nikihamia CHADEMA nitaleta mabadiliko makubwa sana. CHADEMA wapatapa ofisi mpya na utapeli utayeyuka

    Napenda mabadiliko ya kweli. Sipendi uswahili wa kiswahili. Yaani porojo zisizofaa. Mara mwanaChadema anachangisha michango kwa kutumia akaunti yake ya M pesa nihakikisha inakufa. Nitahakikisha pesa za umma haziliwi hovyo na tunapata ofisi ya Ghorofa moja. Nitahakikisha poroja za Twita...
  4. JamiiForums Tanzania Shaka: Rais Samia pumzi mpya kwa maendeleo ya nchi

    RAIS SAMIA NI PUMZI MPYA YA MAENDELEO Shaka asema Kasi yake katika kutekeleza miradi ya maendeleo inatoa matumaini makubwa Amesisitiza kazi nzuri inayofanywa na serikali ya awamu ya sita huku akionya vitendo vya rushwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka...
  5. JamiiForums Tanzania Land cruiser inauzwa bei ya kutupa bado ipo clean kama mpya

    Toyota landcruiser 2003 Ni Manual inatumia diesel Mileage 169,000 Bei ni Milioni 28 (fixed) Ipo mikocheni dar es salaam Haihitaji dalali Mawasiliano 0782780980
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto ateua Mkurugenzi mpya wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai

    Amin Mohamed Ibrahim ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Upelelezi wa Jinai (DCI) na Rais William Ruto. Mohamed, bosi wa Kitengo cha Masuala ya Ndani ya Polisi, ana uzoefu wa zaidi ya miaka 30 katika uchunguzi wa makosa ya jinai na aliibuka kinara bora zaidi katika mahojiano ili kuteuliwa...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Urusi yaendelea kuishambulia Ukraine, yaipiga makombora majiji/miji 40

    Huyu kamanda wetu mpya wa SMO Ukraine ni moto wa kuotea mbali aisee. Yaani leo tu kachoma jumla ya majiji na miji 40 ya Ukraine. Australia yalalamika kuwa kamanda huyo katumia makombora matakatifu na drones zinazonasibishwa na Uajemi, ukipenda ziite Kamikaze drones. Kamanda huyo kaanza...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Bei ya gesi yafikia rekodi mpya Ulaya

    Bei ya gesi huko Ulaya inazidi kupanda na kufikia rekodi mpya, hali ambayo inaziletea nchi za Ulaya wasiwasi mkubwa kuhusu uhaba wa nishati. Ufaransa imeweka mpango wa kubana matumizi ya nishati kote nchini, na kutoa wito kwa wananchi wapunguze muda wa kuoga, na kuzima kabisa vifaa vya...
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini naamini Zuchu atafanikiwa kwenye brand yake mpya ya mavazi

    Kwanza hakuna ubishi Zuchu ndio msanii wa kike namba moja East and Central Afrika. Pili ndio msanii mwenye influence kubwa kwa sasa Tanzania kwenye lifestyle kuliko msanii yoyote yule. Kila binti sasa hivi anataka kuwa Zuchu kuanzia mavazi, mapozi, swaga na ustaa. Ama kwa hakika amejua kuwa...
  10. S

    JamiiForums Tanzania USA yalalamika kuwa Sergei Surovikin, kamanda mpya wa Urusi, ndiye ametembeza kipigo kisicho na huruma jana Ukraine

    Marekani yalalamika kuwa Sergei Surovikin, kamanda mpya anayeongoza mashambulizi ya Urusi nchini Ukraine, ndiye aliyesuka na kutembeza jana kipigo kitakatifu kisicho na chembe ya huruma koote Ukraine sambamba na kuipiga kibeiriti Kyiv. Kipigo ambacho vyombo vya magharibi vinakiri kuwa ni...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia afanya uteuzi mpya wa Wakili Mkuu wa Serikali na Naibu wake, leo Oktoba 10, 2022

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Wakili Mkuu wa Serikali na Naibu Wakili Mkuu wa Serikali kama ifuatavyo: Amemteua Dkt. Boniphace Christopher Luhende kuwa Wakili Mkuu wa Serikali. Kabla ya uteuzi huu Dkt. Luhende alikuwa Naibu Wakili Mkuu wa...
  12. JamiiForums Tanzania Daily News na Bodi mpya: Lion climbing trees, kweli?

    Daily News leo, ukurasa mzima limejitapa na Bodi yake mpya iliyozinduliwa na Waziri wa Habari, Nape Nnauye. Lakini ukurasa wa 6 kuna kichekesho cha kiingereza. Nadhani Editor jana aliondoka mapema na hakuhariri. Hivyo Bodi inapokelewa na hii heading "Mikumi National Park- home of lion climbing...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Mzee Kikwete: Mchakato wa Katiba Mpya niliufanya ikabaki kura ya maoni, kazi kwenu

    Ameyasema hayo leo akitimiza miaka 72. Rais mstaafu Jakaya Kikwete akihojiwa na clouds Media Group ktk kutimiza kwake miaka 72, amegusia Katiba Mpya. Amesema ameasisi Mchakato wa Katiba Mpya kwa kuunda tume ya maoni ya Warioba na baadaye Bunge la Katiba. Rasimu ilipatikana na ikabaki kura ya...
  14. JamiiForums Tanzania Mitsubishi Outlander 2022, mnyama Mpya Sokoni

    Kati ya SUV kali aliyotoa Mitsubish hi hii mitsubishi outlander 2022 Mwaka 2016, Nissan-Renault Alliance walinunua share ya Mitsubishi kwa 34% wakiwa wamiliki wenye hisa kubwa kwenye Kampuni ya Mitsubishi. Nissan walinunua baada ya ile skendo kubwa ya fuel economy scandal, ambayo Kampuni ya...
  15. JamiiForums Tanzania Mke mpya wa Manara avunja ukimya, "Sijafata Pesa"

    Mke mpya wa Haji Manara Rushaynah Bugati amevunja ukimya kwa wanaomshambulia kudai kwamba amefuata pesa kwa Manara jambo ambalo amelikana na halina ukweli wowote. Rushayna amesema alianza kufanya kazi na Manara kwa muda mrefu na anamjua vizuri hana pesa yoyote tofauti na watu wanavyomfikiria...
  16. JamiiForums Tanzania WHO, ILO: Hatua mpya zahitajika kukabiliana na matatizo ya afya ya akili kazini

    Machapisho mawili ambayo yote yanalenga ujumbe mmoja wa kushughulikia changamoto ya afya ya akili kazini ambayo ni muongozo mpya wa kimataifa wa WHO kuhusu afya ya akili na uwajibikaji kazini na tamko la pamoja la kisera la WHO na ILO, yanakadiria kwamba takriban siku bilioni 12 za kazi hupotea...
  17. JamiiForums Tanzania Wazo la Tozo Mpya: Wanachama wa siasa na Mawaziri

    Habari Tanzania! Leo napenda kutoa wazo kwa ajili ya kulijenga Taifa letu kwa umoja na ushirikiano wa hali ya juu. Naomba kupendekeza wazo la tozo mpya ; Tozo ya Kwanza: Tozo itoke kupitia wanachama wa vyama vyote vya siasa tulivyonavyo hapa nchini. Mfano, kila mwanachama wa chama cha siasa...
  18. JamiiForums Tanzania Ali Kamwe achaguliwa kuwa Afisa Habari wa Yanga

    Klabu ya Yanga imemteua Mchambuzi Ally Kamwe kuwa Afisa Habari mpya wa klabu hiyo huku Privaldinho Abiud akiteuliwa kuwa msimamizi Mkuu wa Digital (Digital Manager) kwa lengo la kusimamia platforms zote za habari za klabu hiyo.
  19. M

    JamiiForums Tanzania Yanga SC yaajiri CEO Mpya mwenye 'Lundo' za 'Kesi' mbalimbali za 'Uhalifu' na 'Hatari' Nyinginezo

    CEO MPYA WA YANGA KULIKONI?, KESI ZATAJWA. Baada ya Yanga kumtambulisha Andre Mtine kama Mtendaji Mkuu wao mpya nimepitia vyanzo mbalimbali vimeonesha kuwa ana rekodi za kesi na tuhuma mbalimbali. 1- KESI YA UTAKATISHAJI FEDHA (2007) NDOLA, ZAMBIA 🇿🇲 - Andre Mtine alikamatwa na Mamlaka nchini...
  20. JamiiForums Tanzania Yanga yatambulisha App na Tovuti mpya

    Klabu ya Young Africans SC imezindua App kwaajili ya kutoa taarifa zake ikiwemo, historia, habari za michezo, matukio na takwimu za mambo mbalimbali kuhusu Yanga. Uzinduzi huo umefanyika leo katika Hotel ya Serena, Dar es salaam ukiongozwa na Rais wa Klabu hiyo Eng. Hersi Said
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…