mpya

  1. JamiiForums Tanzania Rasimu ya sera mpya ya Elimu; Tunachezewa kama yale ya Kilimo kwa vijana

    Nimemsikiliza waziri wa elimu akisisitiza kwamba sera mpya inatimiza matakwa ya rais. Sasa hapo ndo mwanzo wa ujinga wetu. Rais siyo mtaalamu wa elimu. Sera siyo ya rais, kwa nini sera mpya iwe inayotoa majawabu kwa rais? Sera hii kama itapitishwa kama kawaida yetu kwa vision ndogo ya aina hii...
  2. JamiiForums Tanzania Kwa hili la katiba mpya rais Samia atalamba dume

    Kwa wacheza karata wanafahamu faida za kulamaba dume na athari za kulamba garasa, nami napenda kumpa wosia Rais Samia Suluhu Hassan kwamba kama atafanikisha upatikanaji wa Katiba mpya, basi atakuwa amelamba dume. Unapocheza karata ukalamba magarasa lazima upate maumivu ya kiakili na...
  3. JamiiForums Tanzania Katiba Mpya itokane na Wananchi wenyewe

    Maoni ya kupata Katiba mpya na safi itokane na WANANCHI wenyewe wa Kila makundi kupitia mikutano ya Kitongoji, Kijiji na mitaa na sio kutafuta wawakilishi ambao waliowengi wanatoa mawazo dhahania ya wenzao na sio wananchi. Ni HERI serikali itumie gharama kubwa ili kupata Katiba safi isiyona...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Member Mpya

    Habari wana JF, Member mpya nipo Uturuki kwa wale watakao kuwa na shida ya kuniagiza bidhaa karibuni pia tuunganishane me ni mwanafunzi huku na pia mtafutaji kwa wale wanaotaka kusoma na kuuliza kuhusu scholarship tafadhali me ni kijana wenu. Natanguliza Shukrani
  5. JamiiForums Tanzania Member Mpya

    Hello wana JF! Mtanisamehe hili jukwaa sikupita kufanya utambulisho. Karibuni wageni
  6. JamiiForums Tanzania Kikwete Vs Hayati Magufuli: Magufuli yuko sahihi kuhusu Katiba Mpya

    Salam! Wote tunajua mchakato wa kuandika Katiba mpya Tanzania wakati wa Kikwete na hadi kukwama kwake. Wote tunajua msimamo wa Magufuli wa kutokutaka kuanzisha mchakato wa Katiba Mpya. Sasa Rais Hassan ameanzisha mchakato wa Katiba Mpya. Mimi ni Realist. Na napenda tuwe realist katika...
  7. JamiiForums Tanzania Kenya: Kabarak University yashindwa kurudisha hacked FB page yao! Waamua kufungua Page mpya😅😅😅😂😂

    Hii habari inasikitisha sana sana na wanazuoni wa Kenya na Afrika kwa ujumla! Kijana wa kichina ame hack page ya chuo kikuu na amewaomba wampe USD 500 Awarudishie page yao! Kabarak Uni wana idara ya IT na wanafundisha IT pia, wameshindwa kuonesha ubora kwa jambo hili, walichofanya ni kutoa...
  8. JamiiForums Tanzania Benki ya NBC yazindua kampeni mpya ya Shinda Mechi Zako na NBC

    Mkuu wa Bidhaa za NBC, Abel Kaseko akiongea na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa kampeni ya kampeni mpya inayojulikana kama “Shinda Mechi Zako na NBC”. Kampeni ya “Shinda Mechi Zako na NBC”, inalenga kuongeza thamani kwa wateja wa NBC na kukuza ukuaji wao wa kifedha na uchumi wa nchi...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Lissu tuambie, unaamini Bunge la sasa linaweza kufanya maboresho ya sheria ya vyama vya siasa,uchaguzi na katiba mpya?

    Tunakubaliana wote yaani CCM na upinzani kwamba Bunge la sasa halina uhalali kutokana na uharibifu uliofanywa kwenye uchaguzi 2020. Tunakubaliana wote kwamba dhamira ya Mhe. Rais aitengenezi vifungu vya sheria Bali inaweza Tu kufungua milango Kwa mabadiliko ya sheria. NI wazi kabisa kwamba...
  10. JamiiForums Tanzania Kasi ya China kuendelea kukua kiuchumi duniani. Wamejenga mji mpya kabisa uitwao Xiongan ndani ya miaka 7 tu.

    Ilikuwa ni mwezi february mwaka 2015 raisi Xi alipotangaza maono yake ya kujenga mji mpya mkubwa nchini China. Michoro na mipango yote ikakamilika mwaka 2017 na miaka sita imepita China wamekuja na mradi mkubwa wa kujenga mji mpya kabisa kutoka ardhini yaani "from scratch". Mji huo utatiwa...
  11. JamiiForums Tanzania Jobless mwenzangu, unafanyaje kupata nguvu mpya baada ya akili na mwili kuchoka na mapambano ya utafutaji maisha?

    Umeshatuma maombi ya kazi miezi mpaka unahesabu miaka lakini hupati kazi. Unatafuta vibarua vya kujishikiza navyo inakuwa ni mtihani. Unafanya kila kitu kujaribu kujinasua na mkwamo wa maisha ikiwemo mambo ya kiimani ila bado hupati matokeo. Uvumilivu, kupambana, ubunifu, experience, knowledge...
  12. JamiiForums Tanzania Maoni ya Wadau, Wasomi Kuhusu Hatua ya Rais Samia Kuagiza Kuanza Mchakato wa Katiba Mpya

    Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Mwalimu Julius Nyerere, Dk. Philip Daninga, alisema Rais Dk. Samia, kuwa, anaishi anazidi kuonyesha misingi ya utawala bora na anatekeleza kwa vitendo yale anayoahidi. Dk. Daninga alisema maelekezo ya Rais Dk. Samia kwa Jaji Mutungi inaonyesha yeye ni...
  13. JamiiForums Tanzania Mama katangaza mchakato wa katiba mpya; Tanzania yote ina furaha

    Ni furaha kila kona wapinzani wamejaa furaha CCM wamejaa furaha watanzania wote tumejaa furaha. Mama katangaza mchakato wa katiba mpya uanze. Aliyenuna sisi hatuna cha kumsaidia. Mwisho wa siku wawakilishi wetu bungeni watatupatia katiba iliyo bora. Hatutegemei wasiotutakia mema nchi yetu...
  14. JamiiForums Tanzania Member Mpya

    Hi.Naitwa sadiki salumu a.k.a Exuberant Boe.Ni mwanajamii forums mpya ahsante.
  15. JamiiForums Tanzania Apple kwenye Airpods mpya wapewe maua yao

    Kwenye tasnia ya music systems na vinu huwezi kukwepa Giants wa kijapani kama akina Kenwood, Sony, Pioneer na wamarekani kama Bose, JBL, Harman Kardon na wengineo. Mimi ni music Enthusiast toka niko ng'aa na nimeshapitia mengi ila nikiri tu sijawahi kuwa fan wa products za Apple na accessories...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Katiba mpya inakuja Tanzania

    Na Bwanku M Bwanku. Ndicho unachoweza kusema na hii ni baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Jumamosi Mei 06, 2023 kuongoza kikao cha Viongozi mbalimbali wa Serikali kinachohusu kuanza kwa Mchakato wa Katiba mpya, kilichofanyika Ikulu Chamwino Mkoani...
  17. JamiiForums Tanzania Yanayoendelea ya Fei Toto huko TFF

    Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) jana Mei 4, 2023 ilisikiliza shauri la mchezaji Feisal Salum 'Feitoto' aliyewasilisha malalamiko akitaka kuvunja mkataba na waajiri wake Young Africans kupitia barua yake ya tarehe Machi 6, 2023. Baada ya...
  18. JamiiForums Tanzania Jezi mpya kwa timu mbalimbali kwa msimu ujao 2023/2024

    Umofia kwenu! Msimu huu unaelekea ukingoni na ndio maandalizi ya msimu ujao. Timu mbalimbali zishaanza kutoa jezi mpya kuelekea msimu ujao. Kama ilivyoada, uzi huu utakuwa unakuletea jezi mpya mbalimbali ambazo zitakuwa zinatumika kwa msimu ujao. Karibuni...
  19. JamiiForums Tanzania Youssoph Dabo Atangazwa Rasmi Kocha Mpya Azam FC

    Taarifa rasmi toka Chamazi zinathibitisha Azam kushusha kocha mpya kutoka Senegal. Yossouph Dabo ni kocha kijana mwenye mafanikio makubwa ambayo yameipaisha Senegal kwenye ulimwengu wa soka . Kocha huyo amepewa kandarasi ya miaka mitatu. WASIFU WAKE. Dabo amezaliwa kwenye mji wa...
  20. JamiiForums Tanzania BASKETBALL: Ja Morant ndo master mpya wa court kwa sasa

    Hello bosses and roses. Huyu kijana anachezea Memphis ni hatari, aina yake ya mchezo ni ngumu sana kuiona kwa wachezaji wengine sasa na miaka kadhaa iliopita. Na bado ni kijana mbichi, 23 years. Jamaa anafanya anachotaka uwanjani, uwezo wake wa kuruka juu ni mkubwa sana. Last week kwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…