mpya

  1. B

    JamiiForums Tanzania Lissu: Hakuna Katiba Mpya, hakuna uchaguzi

    HIzi ndiyo zile kauli tunazozitaka kuzisikia toka kwa viongozi wetu katika mapambano: HIzi ndizo zile kauli wanazozielewa vyema CCM na vibaraka zao. HIzi ndiyo zile kauli za watu, yaani kauli za wananchi. Kauli ya wengi ni kauli Mungu. Aluta continua!
  2. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watengeneza maudhui ya kimtandao walia na Kodi mpya

    Sheria mpya inayoweka kodi ya 15% kwenye mapato ya watengeza maudhui mtandaoni yaanza kufanya kazi Kenya, lakini haijapokelewa vizuri na vijana ambao wengi ndio watengeza maudhui ya mtandao. Rais Ruto alipitisha sheria hiyo Julai. "Nadhani wanapaswa kupitia upya Sheria ya Fedha kwa sababu watu...
  3. JamiiForums Tanzania Kamishna Mpya Ngorongoro, Richard Kiiza Aapishwa

    Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki leo Oktoba 29,2023 amemwapisha Kamishna mpya wa Hifadhi ya Ngorongoro katika ofisi za makao makuu ya Hifadhi hiyo mkoani Arusha, Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Uhifadhi Richard Kiiza kuwa Kamishna wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Hifadhi ya...
  4. JamiiForums Tanzania Ikikuuma Kajinyonge, ila ukweli ni kwamba 85% Moses Phiri anaenda Yanga SC Dirisha Dogo au Msimu Mpya ujao

    GENTAMYCINE nimeandika Threads za kutosha hapa Kuuonya Uongozi wa Simba SC juu ya Kocha Mkuu Roberto Oliveira anachomfanyia Mshambuliaji wangu Bora ndani ya Simba SC Moses Phiri ila nikapuuzwa. Mpaka nikaja hapa JamiiForums Kumuonya Kiongozi Mmoja Mwandamizi wa Simba SC kuwa Yeye ndiyo...
  5. JamiiForums Tanzania TFF yazindua jezi mpya za Timu ya Taifa ya Tanzania

    TFF yazindua jezi mpya za Timu za Taifa za Tanzania kwaajili ya Afcon 2024. Jezi hizo zimetengenezwa na kampuni ya kitanzania ya Sandaland. Home kit Away Kit Third Kit
  6. JamiiForums Tanzania Ulinzi na usafiri mpya wa Makonda si lelemama!

    Dalili zi wazi, Makonda nguvu yake kwa Samia ni kubwa. Ushahidi ni hilo gari ( LC 300 ) alilopewa ambalo hata Chongolo hana!
  7. F

    JamiiForums Tanzania Timu zilizofuzu nusu fainali ya caf champions league 2023 ndio hizo hizo zimefuzu Caf AFL 2023. Hakuna timu mpya

    Mchele na chuya unajichuja.. nimeamini mashindano ya caf ya timu zake zile zile miaka yote.. timu zilizofika nusu fainali ya AFL 2023 ni zile zile zilizofika nusu fainali ya caf champions league mwaka 2023 Nusu fainali ya Caf champions league mwaka 2023 ilikuwa na timu 4 ambazo ni 1. AL...
  8. JamiiForums Tanzania TASUBA kuongeza kozi mpya za sanaa na utamaduni

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo imepokea na kujadili taarifa ya Utekekezaji wa Majukumu ya Taasisi ya Utamaduni na Sanaa Bagamoyo (TaSUBa) ambapo imeishauri Serikali iendelee kusimamia Taasisi hiyo ili izalishe wataalam wengi kwenye Sekta ya Utamaduni na Sanaa...
  9. JamiiForums Tanzania Ujio mpya wa Ndugu Paul Makonda ndani ya CCM ni mfano wa Injili ya Mtume Paulo katika Biblia

    Kipekee kabisa natumia fursa hii tena kuutazama uteuzi wa Paul Makonda kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM kama dhamira njema ya Rais SS Hassan kuisogeza CCM karibu na wananchi hasa katika kusimamia watendaji wa serikali ili CCM kupitia Serikali yake iweze kutimiza ahadi zake na malengo kwa...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Hongera BoT kwa utaratibu wa watumishi kukopa benki kwa njia ya mtandao, japokuwa mikopo umiza mitaani bado imewashinda

    Serikali kupitia BoT, wamekuja na utaratibu mpya unaoelekeza mikopo ya Watumishi kutolewa online ambapo Mtumishi ataomba mkopo mtandaoni kuputia Watumishi Portal. Hongereni sana kwa utaratibu huu unaondoa kero ya wafanyakazi kukaa foleni benki kusubiri kuonana na Afisa Mikopo wa Benki na...
  11. JamiiForums Tanzania Naondoka mkoa X baada ya Mkuu wa Mkoa mpya kuwa kilaza na alikuwa classmate wangu

    Hivi itakuwaje mtu ambaye alikuwa kilaza na mshika mkia darasani kwenu akuongoze wewe? Hiki ndicho kilichotokea baada ya mkuu wa mkoa hapa mkoani kwetu kuchaguliwa au kuteuliwa wakati yeye alikuwa kilaza wa kufa mtu darasani kwetu na yeye alikuwa anatokea mostly kumi mbaya za mwisho kuteuliwa...
  12. JamiiForums Tanzania Je, Katibu Mwenezi mpya wa CCM atatokea kwa wahamiaji? Halima Mdee na Nusrat Hanje watajwa

    Upo uvumi kwamba Mrithi wa Sophia Mjema huenda akawa miongoni mwa wale Wabunge wasio na Chama ambao waliapishwa na Ndugai kwenye Gereji ya Bunge. Halima Mdee na Nusrat Hanje wanatajwa kujaza nafasi hiyo (tetesi). Hutakiwi kupuuza jambo hili , kwa vile ni dhahiri kwamba CCM imeishiwa watu, ndio...
  13. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Sheria/Utaratibu Mpya ulivyowakosesha Wanafunzi wa UDOM Haki yao…

    SHERIA MPYA ILIVYOWAKOSESHA WANAFUNZI WA UDOM HAKI YAO. Chuo kikuu dodoma,UDOM. 25/11/2022 uongozi wa chuo kikuu cha dodoma( UDOM) katika ndaki ya TIBA ulitoa sheria mpya kwamba mwanafunzi yeyote aliyepata carry over(Yani kufeli somo ambalo hujafikisha coursework) katika somo lolote hatakiwi...
  14. JamiiForums Tanzania Ualimu kazi iliyotukuka zaidi. Mvinyo mpya Kiriba kipya

    Ndani ya shamrashamra za kazi bora zaidi kuwahi kutokea duniani nakutana na santuri hii iliyorejesha matumaini kwa Walimu. Twende tuendavyo Mwalimu anabaki kuwa Mwalimu. Mother of all professionals.
  15. JamiiForums Tanzania Baba Mtakatifu Fransisko amteua Padre Jovitus Francis Mwijage kuwa Askofu mpya wa Jimbo la Bukoba

    Baba mtakatifu Francisco leo tarehe 19.10.2023 amemteua padre Jovitus Fransis Mwijage wa jimbo Katoliki Bukoba kuwa Askofu mpya wa jimbo hilo. Ikumbukwe Askofu wa Bukoba aliyekuwepo, Desiderius Rwoma alistaafu kwa mujibu wa sheria za Kanisa kutokana na umri. Pia kwa sasa Jimbo Katoliki Bukoba...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia, ruhusu msukumo wa kushindwa ili kuwa huru zaidi! Tanzania bila Udikiteta, haiwezekani

    Inafahamika kabisa kwamba, kiongozi mkuu akiwa strong, hata walio chini wanafuata mle mle, na akiwa vinginevyo, na wa chini nao hivyo hivyo Kama ni gari, imetumika sana na kwa muda mrefu bila kubadirishiwa oil na vifaa vilivyoharibika, na sasa gari limechoka, mwendo wake ni wa sjui tunakwenda...
  17. JamiiForums Tanzania Zanzibar kufuta mitihani ya Taifa na kuwa na Mfumo Mpya wa Elimu

    Serikali ya Mapinduzi Zanzibar inafanya mageuzi makubwa ya mfumo wa elimu kuanzia sasa hivi. Watakuwa na mpango wa muda mfupi, muda wa kati na muda mrefu. Katika mipango hiyo kuna mitihani ya Taifa ambayo itafutwa kabisa. Hawaoni sababu ya kuwepo kwa mfumo wao mpya wa elimu. Jinsi...
  18. JamiiForums Tanzania Kanye West akwama kuachia Albamu mpya baada ya kukosa Msambazaji

    Kwa mujibu wa Jarida la #Billboard, Mastaa hao walipanga kuachia albamu yao Oktoba 13, 2023, albamu ambayo inaripotiwa kuwa na ngoma za Raa huyo za takriban miaka 5 lakini Wasambazaji wengi wamekuwa wakiikwepa kutokana na kuali tata za YE. Albamu ya mwisho kutoka kwa Kanye West ni DONDA 2...
  19. JamiiForums Tanzania Kazi nzuri za Rais Samia zituachie Katiba Mpya

    KAZI NZURI YA RAIS DKT SAMIA INAHITAJI KATIBA MPYA. Na Elius Ndabila 0768239284 Kumekuwa na mjadala wa Katiba mpya ambao umekuwa ukiibuka na kufifia. Mjadala umekuwa unaibuka na kufifia kwa kuwa una sura mbili. Sura ya kwanza wanahitaji katiba mpya na sura ya pili hawahitaji katiba mpya...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Mfumo mpya wa ulipaji mapato kwa Serikali umekuwa mgumu sana kwa mtu wa Kawaida

    Mfumo mpya wa ulipaji mapato ya Serikali umekuwa ngumu sana kwa Wananchi wa kawaida. Nitoe mfano, kama Mfanyabiashara anataka kulipia leseni yake kwa mfumo mpya lazima umtafute mtu akusaidie taratibu zote mpaka control number itoke. Mfanyabiashara kwa kazi hii anatozwa mpaka 20,000 kwa kazi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…