mpya

  1. Best Daddy

    JamiiForums Tanzania Hongera kwa Mpishi wa Simba Mpya

    Japo utambulisho bado haujakamilika, ila nimechagua kuja kutoa siri. Nimechagua kuja kutoa pongezi. Katika nyuzi zilizopita nilitoa angalizo kuwa huwezi hitaji aina fulani ya mpira, then unaenda sokoni kuchukua mchezaji au kocha ambaye hana sifa za aina au falsafa ya kile unachokitaka...
  2. funaku

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sasa ni dhahiri, katiba mpya ni mwiba kwa Wakenya!

    Matatizo ya kuvamia na kuiga mifumo ya walami bila upembuzi yakinifu yanadhihirika sasa. Nchi tuliyoambiwa imepiga hatua mbele katika kufuata demokrasia sasa inaumbuka na inashindwa kujinasua kwenye sakata la maandamano. Tuliaminishwa vurugu zingeweza kuondoshwa na uwepo wa katiba mpya lakini...
  3. MALKIA WA TABASAMU

    JamiiForums Tanzania SOFTCOPY YA RIWAYA MPYA ELFU 3 TU.

    KATIKATI nguvu ya KIAPO. Muuguzi aliyesalia nami katika chumba kile cha matibabu, haraka sana alinikimbilia na kuniita jina langu. Alitabasamu na kuniambia "karibu" binafsi nilizidisha mshangao, "Dakitari wako anakuja sasa hivi, naomba usijitikise mwili tafadhali" machozi yalianza...
  4. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadada wengi sasa wamekuja na huu ujanja mpya, wanaume tuwe makini

    Hello, Utakuta uko na mdada kwenye environmental setting moja, mnaanza kuzoeana, mdada atakachofanya ni kuwa ata-flirt na wewe, ataweka idea of sex mbele yako, mwanaume ukijaa, mizinga inaanza, mara naomba vocha, dinner, etc, wengine siku hizi hawasubiri umtongoze, akikuona uko vizuri kimfuko...
  5. kavulata

    JamiiForums Tanzania Katiba mpya iongeze wigo wa uwajibikaji, sio kupanua demokrasia.

    Watu maskini na wajinga usiwapatie demokrasia pana sana, maana wataitumia demokrasia hiyo kwenye kuandamana, kidai huduma na kugomea mipango yote ya serikali Kila siku bila wao kitimiza wajibu wao. Tunataka katiba mpya ambayo itawalazimisha watu wote kufanyakazi na kuwajibika kwa matendo yao...
  6. realMamy

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania mpya: Kuanzisha chuo maalumu kitakachotoa taaluma kwa dada wa kazi za nyumbani

    TANZANIA MPYA: KUANZISHA CHUO MAALUMU KITAKACHOTOA TAALUMA KWA DADA WA KAZI ZA NYUMBANI. Ni wazi kuwa Viongozi wakubwa wa serikali walioko madarakani na waliomaliza muda wao wengi wao walilelewa na wazazi wao wote wawili hasa mama ambaye muda mwingi alikua nyumbani. Na katika malezi haya...
  7. Bahati Yakigulu

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mtazamo mpya katika tasnia ya sanaa baada ya miaka mitano

     IKISIRI Sanaa ni ufundi wa kuwasilisha mawazo yaliyo katika fikra za binadamu. Kwa mujibu wa Mulokozi (2017), anaianisha aina tatu za Sanaa ambazo ni sanaa ghibu (Muziki na mashairi), sanaa za maonesho (uchoraji, ususi na ufinyanzi) na Sanaa za vitendo (maigizo na tamthiliya). Katika andiko...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Bila kuwa na katiba mpya itakayoondoa wabunge vilaza tutegemee migomo zaidi au pengine maandamano kama ya Kenya.

    Hii sio wiki nzuri kwa nchi zetu za Afrika Mashariki hasa Tanzania na Kenya. Wakati Kenya wanaandamana kihuni kupinga kupitishwa kwa sheria mpya ya fedha huku Tanzania kuna mgomo wa wafanyabiashara. Hawa wafanyabiashara wana hoja kadhaa za msingi ingawa pia wanazo hoja zingine za kipumbavu...
  9. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Wakili Harold Sungusia: Kama tunatazama maslahi mapana ya Taifa basi tutatoa mapendekezo ya Katiba Mpya ambayo hayana ubinafsi

    https://www.youtube.com/live/3CV9o7c2fo8?si=_pUk3LIG7gbkpfIq Rais wa Tanganyika Law Society (TLS) Wakili Harold Sungusia amewataka washiriki wa Mdahalo wa wazi juu ya mchakato wa kupata katiba Mpya Tanzania kuangalia maslahi mapana ya Taifa na sio maslahi binafsi,au maslahi ya Taasisi,Dini...
  10. wilsonwizzy

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Okoa gharama ya kununua taa mpya za gari yako

    Okoa gharama ya kununua taa mpya za gari yako, Kwa kusafishiwa kupitia njia ya kisasa kabisa ambayo inazifanya taa zako kurudi katika ubora wake Huduma hii imewavutia watu wengi wa jiji la mwanza maana imewasaidia kuepuka kuingia gharama kubwa za kununua taa mpya. Badala ya kutoa Tsh 400,000...
  11. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Bugatti wazindua generation mpya, Bugatti Tourbillon Hybrid itakayomrithi legendary Bugatti Chiron!

    Muda hautoshi, vyuma vinatolewa kila siku. Kampuni ya Kibabe ya Magari kutoka Ufaransa, Bugatti wameamua kutuletea generation mpya ya gari yao itakayomrithi Bugatti Chiron aliekuwepo tokea 2016 na sasa officially imeachwa kutengezwa 2024, na tumepewa Bugatti Tourbillon. Hii gari ina cc 8300...
  12. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kwangu hii ni Taasisi mpya institute of heavy equipment and technology

    Nijue tu Chuo hiki kiko wapi na kiko chini ya wizara gani inatoa course gani Kwa muda gani na wapi.
  13. NAKUKUNDA TANZANIA

    JamiiForums Tanzania SoC04 Ukasuku wa matabibu katika tasnia ya Afya dhidi ya magonjwa sugu na ya kuambukiza; Suluhisho mbadala katika ujenzi wa Tanzania mpya

    TANBIHI: Nimetumia neno "tabibu" nikimaanisha wataalamu wote wa afya, wanasayansi na wote wanaohusika katika mlolongo mzima wa tasnia ya afya nchini. Neno "tabibu" linaweza kuwa na maana finyu katika Kamusi, lakini kwa madhumuni ya bandiko hili, neno "tabibu" litumie tafsiri niliyoitoa hapo...
  14. Brojust

    JamiiForums Tanzania Karibuni Banana, Dar tumefungua ofisi mpya ya wanasheria, washauri wa kodi na wahasibu

    Karibuni sana hapa Banana, Tumefungua ofisi mpya kwa huduma zilizopo hapo juu; Licha ya hayo, pia; 1. Tunasajili Kampuni, jina la biashara 2. Tunasajili Miradi ya uwekezaji (TIC) 3. Tunafuatilia leseni, TIN, number 4. Maandalizi ya Business strategic plans Business Proposal 5. Maandalizi ya...
  15. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Teknolojia mpya ya 3D kuchapa nyumba

    Dunia imeingia kwenye teknolojia mpya ya kuchapa nyumba badala ya kujenga, teknolojia hii inaitwa 3D HOUSE PRINTING, badala ya kujenga sasa unatumia printa inafanya kazi kama printa ya kawaida japo yenyewe wino wake ni kama zege! Hii mashine inamwaga zege kwa kuzunguruka kufuatana na ramani ya...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Chalamila: Natamani katiba mpya iseme ukimaliza chuo kikuu huna ajira ulipwe nusu mshahara mkopo wa elimu ya juu usiombwe upewe lazima.

    Amesema mtazamo wake kuhusu katiba ni kuleta nafuu kwenye maisha ya kila siku mf. Wanawake wasio na ajira wapewe mikopo bila riba mtu akifa maiti isidaiwe chochote na kijana akihitimu masomo na serikali haijampa ajira baada ya miaka mitano ianze kumlipa nusu mshahara mpaka atakapo pata ajira.
  17. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Awamu Moja Kwa Mbunge inatosha kabisa, wananchi tunahitaji changamoto mpya.

    Salaam, Shalom!! Miaka mitano, ni muda unaotosha kabisa kutimiza kusudi na malengo na KAZI ambayo mbunge amepewa na wananchi. Ikiwa miaka mitano pekee, ya Rais Magufuli, ilitosha kuonyesha matokeo makubwa kuliko waliokaa miaka kumi, iweje mbunge ashindwe kudeliver Kwa miaka mitano? Kwa kuwa...
  18. Mturutumbi255

    JamiiForums Tanzania Tofauti Kati ya iPhones Mpya na Zilizotumika na Namna ya Kuzitambua

    Katika soko la vifaa vya kielektroniki, kununua iPhone mpya au iliyotumika ni chaguo linaloathiriwa na mahitaji na bajeti ya mtumiaji. Kuelewa tofauti kati ya iPhone mpya na iliyotumika ni muhimu ili kuhakikisha unapata thamani bora kwa pesa zako. Hapa chini ni uchambuzi wa kitaalamu juu ya...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Huu ndiyo ukweli sabato inaashiria mwisho ya uumbaji za zamani, jumapili siyo sabato bali ni ishara ya mwanzo ya uumbaji mpya!

    Tumsifu Yesu Kristo Moderator tafadhali Uzi huu usiunganishe kwingineko Wadau hamjamboni nyote? Wakristo tokea mwanzoni waliabudu jumapili ambayo ni ishara ya uumbaji ikiachana na sabato iliyoashiria uumbaji wa zamani Naweka ushahidi kuhusu Jumapili huo kama ifuatavyo Kwamba Yesu Kristo...
  20. abubakari2015

    JamiiForums Tanzania Athari za ukoloni na dini mpya kwa jamii ya kiafrika

    Athari za ukoloni na dini mpya kwa jamii ya Kiafrika zilikuwa nyingi na zenye mchanganyiko wa matokeo chanya na hasi. Hapa kuna baadhi ya athari kuu: 1. Mabadiliko ya Kijamii na Kiutamaduni .Kupoteza Utamaduni wa Asili: Wakoloni walileta mifumo yao ya utawala, sheria, na mila, ambayo...
Back
Top Bottom