mpya

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kuelekea kutafuta Katiba mpya na Sheria bora za Uchaguzi, maoni yangu ni haya

    Ndugu zangu Watanzania, nimeona nitoe maoni yangu machache tunapoelekea kutafuta Katiba mpya na Sheria bora za Uchaguzi. Mimi nilidhani tufanye yafuatayo:- 1. Kiundwe chombo cha kitaifa kitakachoongoza na kuratibu hii movement. - Chombo hiki kitokane na angalau Watanzania wa makundi...
  2. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Nawatakieni heri ya mwaka mpya wana JF wote na kuwaombea waliotangulia

    Mwisho wa mwaka unakaribia. Wanangu wapendwa, naomba nichukue fursa hii kuwatakia heri ya mwaka mpya na kuwaombea wale wote waliotangulia mautini. Nawaombea na kuwaomba tuzidi kupendana kupenda kufikiri. Tupambane na kila adui wa fikra kama vile uchawa, ukunguni, ukiroboto, unune, na ufisi na...
  3. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Byabato Awafariji Watoto Yatima 200 Kupitia Tamasha la Bukoba Mjini Mpya 2024

    MBUNGE BYABATO AWAFARIJI WATOTO YATIMA 200 KUPITIA TAMASHA LA BUKOBA MJINI MPYA 2024 📌 Lengo ni kuwapa faraja katika msimu wa sikukuu 📌 Vitabu, Madawati, Vitanda vyatolewa 📌Wananchi wajitolea kuchangia Damu Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini, Wakili Stephen Byabato, kwa kushirikiana na wadau...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kongole Chadema! Kiongozi ni yule anayejua njia, anaonyesha njia, kutengeneza njia pale hakuna njia!

    Uongozi, hufafanuliwa kama uwezo wa mtu binafsi, kikundi, au shirika wa kushawishi njia mbadala na si kufuata tu njia aliyoikuta hata kama njia hiyo inaelekea kuzimu. Hatua ya Mbowe naye kutangaza kutetea nafasi yake, mimi naipongeza kwani itakiwezesha Chadema kuitafsiri falsafa yake ya...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto ya usajili wa wanafunzi chuo cha NIT baada ya mfumo wa ulipaji ada kubadilishwa

    Chuo cha Taifa cha Usafirishaji kimekuwa na changamoto kwenye suala la usajili kutokana na kubadilishwa kwa mfumo wa ulipaji ada kutoka mara 4 kwa mwaka wa masomo mpaka mara 2 kwa mwaka wa masomo Wanafunzi wengi tunapata shida kufanya usajili kwasababu ya hali ngumu za kimaisha za familia zetu...
  6. Yoda

    JamiiForums Tanzania Mbowe hana mpango mkakati mpya wa mabadiliko kwa uchaguzi wa 2025.

    CHADEMA mkimchagua Mbowe awe mwenyekiti tena tegemeeni uchaguzi wa 2025 kuwa kama wa 2024, 2020 na 2019. Mbowe hana mbinu mpya au hamasa ya kushawishi mabadiliko ya uchaguzi 2025, Lissu ndio mtu sahihi wa kuongoza na kuleta mabadiliko mwakani. Mbowe alifaa kuwa mwenyekiti enzi za JK ila sio...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Shilingi ya Kitanzania yapata nguvu ghafla. Je, huu ni mwanzo mpya?

    Wiki hii imekuwa ya kipekee kwa uchumi wa Tanzania, kwani shilingi ya Kitanzania imeimarika kwa takriban 10% dhidi ya Dola ya Marekani. Mnamo Desemba 7, 2024, shilingi ilikuwa ikibadilishwa kwa takriban 2,580 TZS kwa USD 1, lakini sasa imeshuka hadi 2,294 TZS kwa USD 1 kufikia Desemba 14, 2024...
  8. Mwafrika Halisia

    JamiiForums Tanzania UWEKEZAJI MPYA 💥💥

    Today's 2nd withdrawal 🔥 MPYA KABISA! FURSA YA KIPEKEE YA KUWEKEZA! 🔥 Kuna platform mpya na ya kibunifu inayokupa nafasi ya kuwekeza na kufaidika! 🚀 Hii ndo nafasi yako ya kuanza mapema na kuonja faida kubwa! ✅ BONUS YA 2,000 TZS unaposajiliwa mara ya kwanza. ✅ Kiwango cha uwekezaji: Kuanzia...
  9. State Propaganda

    JamiiForums Tanzania Utawala mpya wa Jawlani nchini Syria waiandikia barua UN Security Council wakilalama kuhusu Israel kuendelea kujitwalia maeneo ya ardhi yake zaidi

    Utawala mpya wa Syria ulio chini ya kikundi cha kigaidi cha kiislamu chenye itikadi kali kijulikanacho kama Hayat Tahrir al-Sham (HTS), unaoongozwa na gaidi kiongozi Abu Mohammed al-Jawlani, umeiandikia barua yenye malalamiko na manung'uniko mengi Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa (UN...
  10. Nrangoo

    JamiiForums Tanzania Tatizo la usafiri mikoa ya Kaskazini kuelekea sikukuu za Christmass na mwaka mpya

    Habari ya wikiend wadau.. Naona tatizo la usafiri kila ikikaribia mwisho wa mwaka bado linaendelea kuzoeleka na kuonekana kawaida. Leo nimejaribu kufanya booking kwa bus kampuni zaidi ya tatu naona zote ziko booked mpaka wiki ijayo nafasi zimejaa. Lakini kuna watu wanalangua ticket kwa bei ya...
  11. M

    JamiiForums Tanzania LATRA anzisheni route mpya ya mabasi ya daladala kutoka MABIBO kwenda MBEZI.

    Kwa watumiaji wa barabara ya morogoro jijini Dar-es-salaam kutokea Mbezi watakuwa wanajua kuwa kuna idadi kubwa sana ya abiria wanaokwenda na kutoka Mabibo kwenda Mbezi . Na ili kufika mabibo ,mtu anayetoka mbezi inampasa aunganishe mabasi mawili kutokea Mbezi. Rai yangu kwa mamlaka ya LATRA ni...
  12. econonist

    JamiiForums Tanzania CHADEMA inahitaji uongozi mpya sio uenyekiti pekee.

    Kwa maoni yangu naona CHADEMA inahitaji uongozi mpya kabisa. Naona watu wengi wanaangalia cheo Cha Mwenyekiti na kuacha kuangalia vyeo vingine. CHADEMA inahitaji Mwenyekiti mpya mwenye msimamo sio Leo anasema hivi kesho anabadilika. CHADEMA inahitaji mwenyekiti atakaye kuwa nembo ya chama...
  13. ngara23

    JamiiForums Tanzania Mwanaume Baki na chako mwezi December, ni kipindi cha kuwa single Kwa wanaume

    Nawapa mbinu ya kimafya, Hii mbinu sitarudia tena kuitoa Ukipuuza usije unalia January Kipindi hiki ndo washamba wanapata mademu na majukumu mapya na magumu Kipindi hiki ndo utalipa nauli za kwenda Moshi Kipindi hiki ndo utamnunulia viwalo Kipindi hiki Watoto wake wapo likizo laZima uwatoe...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Mzigo mpya wa Azam.

    Hapa Azam wameupiga mwingi. Sio kwa gari hizo. Aisee......!
  15. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Sijaridhishwa na namna Mbowe anavyoiongoza Chadema, chama chetu kinahitaji mwelekeo mpya na uongozi wenye maono mapya," alisema Tundu Lissu leo akizun

    Sijaridhishwa na namna Mbowe anavyoiongoza Chadema, chama chetu kinahitaji mwelekeo mpya na uongozi wenye maono mapya," alisema Tundu Lissu leo akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa Mlimani City. Lissu alitumia fursa hiyo kutangaza rasmi nia yake ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa...
  16. D___________Loy

    JamiiForums Tanzania Uhamisho wa Watumishi kwa njia ya mfumo mpya wa Kieletroniki itabaki story!

    Nawasilisha hii hoja nikiwa na nia njema. Kama kuna mwenye update atoe ushirikiano ili tufahamu ni lini huu mfumo utaanza kutoa huduma hasa katika kipengele cha Uhamisho.
  17. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Imekuwaje Global Publishers. Kuna Editor Mpya

    Nimefungua Ukurasa wa Global Publishers nikakutana na lugha za ajabu sana.Kumekuwa na mabadiliko ya uongozi huko?
  18. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania! Fake! Dira ya taifa 2050 bila katiba mpya ni kujidanganya!

    Pamoja na ukweli kwamba Watanzania tunapenda kujidanganya lakini cha ajabu tunadanganya mpaka vizazi vijavyo. Bila katiba mpya ambazo zitatoa mfumo imara wa sheria, bunge na utawala bora hatuwezi kuwa na dira ya maana bila hayo. Huwezi kuweka Dira wakati kiongozi yeyote anaweza kuingia na...
  19. Zero Competition

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Subwoofer mpya inauzwa

    Subwoofer mpya aina ya ALITOP inauzwa na imetumika wiki mbili tu tangu itoke dukani Haina tatizo la aina yoyote ila nimepata dharula ndio maana nimeiweka sokoni Subwoofer hii ni size ya kati siku kubwa sana wala sio vile vidogo hapana, ina mziki mkubwa tu na inatosha kwa matumizi ya nyumbani...
  20. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kuelekea kutafuta Katiba mpya na Sheria mpya za Uchaguzi 2025

    Tunapojiandaa kuanza kudai Katiba mpya na Sheria mpya za Uchaguzi napendekeza yafuatayo yafanyike kwanza:- 1. Kiandaliwe kikosi cha utoaji Elimu na uhamasishaji wa umuhimu wa Katiba mpya na Sheria mpya za Uchaguzi. 2. Kiandaliwe kikosi kitakachorekodi matukio yote ya kihalifu yatakayotokea...
Back
Top Bottom