Mgombea ubunge wa Jimbo la Busanda kupitia chama cha CCM, DKT. Jafari Seif, amezindua rasmi kampeni zake akitangaza ajenda kuu ya kuimarisha miundombinu ya barabara na huduma za afya.
Katika hotuba yake ya uzinduzi, DKT. Jafari ameeleza mpango wa kujenga barabara mpya itakayounganisha majimbo...
Kipindi cha nyuma tuzo zilikuwa zikitolewa kwa wakati, ila kuna kiongozi akasogeza mbele utaratibu wa tuzo kwa kigezo cha kuboresha, sasa unajiuliza huyo kiongozi alikuwa.
Anafahamu sababu zilizosababisha tuzo hizo kutolewa mapema? Aliweka katika consideration na alitazama mbele kwamba kwa...
Makampuni ya magari (sio Japan, Ulaya, Asia wala America) wameanza kuleta utapeli flani na unazidi kushika kasi sana, wa features subscription.
Yaani unanunua gari lina features kadhaa (moja wapo mfano iwe remote start), lakini hauwezi kuitumia hadi uwe unailipia kila mwezi au mwaka...
Ripoti mpya iliyotolewa na kituo cha televisheni cha Israel Daily hivi karibuni yaweka wazi uharibifu mkubwa nchini Israel kwenye chuo kikuu cha Ben Gurion kutokana na mashambulizi ya makombora ya balistiki ya Iran wakati wa vita vya siku 12 mapema miezi michache iliyo pita
Uharibifu huo ni...
Tai kazoea kunyakua vifaranga bila resistance. Bosi wa kampuni akatoa agizo vifaranga vilivyopo mabanda ya mbali kwamba washughulikiwe.
Tai wanne waliotumwa kwa Anko Tom wameishia mikononi mwa wanaojulikana. Wanashindia uji na migebuka kwa sasa.
Mashavu muimba taarabu anazidi kujisogeza mwisho...
"The Principle of Papuchi states that when borrowing increases, prices tend to drop, and vice versa
Katika zama hizi za utandawazi na za gizani kuona principle/ kanuni yoyote yenye manufaa dunia ni kazi sana kwasisi ngozi nyeusi.
Lakini mm kama msomi itaingia field ili kuifanya principle...
Kama bado hujui, dunia ya tech inakimbia faster kuliko mawazo ya wengi.
Na moja kati ya game changers ambazo watu wadogo wanazipuuzia ni Cloud Technology ☁️
— -
1. Cloud sio kwa makampuni makubwa tu
Wengi wanafikiri Cloud ni kwa Google, Amazon na kampuni kubwa.
Lakini ukweli ni kwamba...
Apple event ya Septemba 9 imetoa muelekeo mpya wa kimkakati wa kampuni hiyo katika kuimarisha utawala wake wa soko la vifaa vya elektroniki. Badala ya tu kutangaza bidhaa mpya, Apple imeonyesha jinsi inavyoendelea kuunganisha bidhaa zake na kuwa mfumo mmoja wa kipekee, huku ikiboresha utendaji...
Kwenye manesho ya IAA Mobility yanayoendelea huko Munich Ujerumani, wababe wa performance BMW nao wamezindua gari jipya ndani ya platform mpya.
BMW iX3 ni SUV mpya ya umeme, juu ya platform mpya ya Neue Klasse. Sasa jina lisikuchanganye na iX3 ya zamani iliokua inashare platform na X3 ya...
Waziri wa Ujenzi na mgombea ubunge wa Jimbo la Mkuranga kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdallah Ulega amesema kuwa Watanzania wanapaswa kumchagua Samia Suluhu Hassan kama kiongozi wao wa Taifa ili kufanikisha ndoto ya kupata Katiba mpya.
Akizungumza leo Jumamosi Septemba 6, 2025...
"Mara zote huwa nawaachia wachezaji wangu wamchague nahodha wao, sikupenda kilichofanyika msimu uliopita, msimu huu nitachagua nahodha mimi mwenyewe," kauli ya kocha wa Manchester City, Pep Guardiola kabla ya msimu huu kuanza.
Linapofika suala la uteuzi wa nahodha wa timu huwa kuna vigezo vingi...
Nipo zangu Nachingwea! Ajira mpya lakini bado hatujalipwa lakini hainizuii Oktoba kutiki.. nitatiki miye japo najua watu wale wanakeleka. Na bado! Mpwayungu Village tusemee
Yamesikika maneno mengi na kejeli nyingi.
Mara, ukisikia dunia tambala bovu, ndiyo hili. Wengine wanasema jezi zinauzwa kwa kilo. Wengine wanasema jezi zinavaliwa na wajumbe wa kutiki oktoba. Wengine wanasema ukiscan jezi inakupeleka Mkuranga. Wengine wanasema moto umewekwa kuunguza mapafu kama...
Wilaya ya Geita Vijijini tangu Mwezi wa tatu mpaka leo Walimu wa Ajira Mpya hatujapewa hela ya kujikimu, hivyo maisha yamekuwa magumu sana mitaaani naomba utusaidie kupaza sauti Jamii Forums.
Nyingine soma
~ Ajira mpya za Walimu Msingi na Sekondari Mwaka wa fedha ulioisha hatujalipwa fedha za...
Anonymous
Thread
ajira
ajira mpya
fedha za kujikimu
geita
geita vijijini
hela
kujikimu
march
mpaka
mpya
vijijini
walimu
watumishi wa umma
wilaya
wilaya ya geita
Habari,
Naomba kuwasilisha changamoto yetu walimu ajira mpya somo la biashara tulioajiriwa kwa ajili ya uhaba wa walimu wa somo hilo tumenyimwa mikataba na TSC.
Wanasema sisi bado sio walimu sasa wanasema wanasubiri muongozo mpaka leo kimya ila wenzetu wengine wamejaza mikataba ya TSC
Naona...
Anonymous
Thread
ajira
ajira mpya
business
masomo
mikataba
mpya
studies
tsc
ualimu
walimu
wamegoma
HAbari zenu wakuu.
Binafsi nataka nimfungulie mama watoto biashara, basi nikatarget sehemu fulani kwa ajili ya biashara hiyo.
katika kufanya maulizo ya hapa na pale nikaambiwa natakiwa niwe na kama milioni nane(8) ili niweze kumvua mtu fremu, bado tra, pia kodi ya hiyo fremu ni 300k kwa mwezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.