Nadhani Dunia itanikumbuka kupitia hii Principle mpya Dunia

Nadhani Dunia itanikumbuka kupitia hii Principle mpya Dunia

Kubwa la Maadui

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2019
Posts
8,020
Reaction score
15,874
"The Principle of Papuchi states that when borrowing increases, prices tend to drop, and vice versa



Katika zama hizi za utandawazi na za gizani kuona principle/ kanuni yoyote yenye manufaa dunia ni kazi sana kwasisi ngozi nyeusi.

Lakini mm kama msomi itaingia field ili kuifanya principle yangu iwe na nguvu na itumike worldwide Kwenye masuala ya mahusiano hasa Kwa wanandoa, sogea tukae, wachumba na mahusiano bubu.

Nitaangia field kukusanya data na vile vile kuilezea Kwa upana kabsa na ieleweke.

Ntazingatia hata
Testability, predictive power, universality peer reviewed and acceptance, na consistent observation


Nawasilisha
 
Mimi nafikiri dogo unahitaji msaada
Screenshot_20250913-155012.png
 
Back
Top Bottom