Rich mavoko alipotaka kuvunja mkataba aliambiwa atoe milion 250 akachemka matokeo yake kila kitu akampoka mpaka akaunti za kijamiii
harmonize alipotaka kujitegemea akaambiwa atoe milion 500 kuvunja mkataba kisha na gharama za kurecord kila nyimbo
rayvanny alijaribu kuuliza ki utani utan je...