Muongo Mpya 2020-2030 unaanza leo!

Plan za miaka 10 ni nzuri sana
Kama unajiwekea akiba waza kwa miaka kenda na sio mwaka mmoja mmoja
Ila kwenye siasa simo nataka kustaafu in ten years time na huu ndio mda kama Mungu atanijaalia

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Mbona utakuwa miaka kumi na moja na sie tunajua mungo mmoja ni sawa na miaka kumi tu.
Muongo mmoja ni miaka kumi. Huu ni muongo wa pili wa karne hii ya 21. Muongo wa kwanza ulianza mwaka 2000 na kuishia 2009, wa pili 2010 hadi 2019 na huu wa tatu unaanza leo hadi 2029. Karne ni miaka 100. Sasa tupo karne ya 21 ambayo ilianza mwaka 2000 hadi 2099. Nawasilisha.
 
Kwa namna hii unakuwa na malengo yanayotimizika.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hii wanafanya sana wazungu mkuu kwa kuwa na hisa katika makampuni
Hatujui ya kesho ila ni maamuzi sahihi kwa kujiwekea kidogo kidogo kwa muda wa miaka 10 unakuwa na hela nzuri sana au mradi mkubwa tu

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Muongo mmoja ni miaka kumi. Huu ni muongo wa pili wa karne hii ya 21. Muongo wa kwanza ulianza mwaka 2000 na kuishia 2009, wa pili 2010 hadi 2019 na huu wa tatu unaanza leo hadi 2029. Karne ni miaka 100. Sasa tupo karne ya 21 ambayo ilianza mwaka 2000 hadi 2099. Nawasilisha.
Ni kweli. Ndiyo maana pia tulipoingia mwaka 2000 tulianza karne ya 21 (2000-2099) na pia tukianza millenium mpya ya 3 (2000-2999).
 
Back
Top Bottom