mpya

  1. pombe kali

    Back benchers tusiopokea namba mpya tukitane hapa

    Mimi ni miongoni wa wale wasiopokea namba ngeni tena kwenye simu yangu nime reject strange calls kama na wewe ni muumini wa hii slogan tupeane maujuzi maana sababu nyingi huwa ni madeni au kutembea na wake za watu sasa kwenye kikao chetu cha wanaume tujadiliane hii changamoto tunaikabili...
  2. saimasebo

    Bei ya injini ya mpya pikipiki fekon, kinglion au sanlg

    Jamani naomba kuuliza Bei ya injini mpya ya pikipiki fekon, kinglion au sanlg
  3. D

    Kocha mpya wa yanga ni Romain Folz (35yrs old )

    I will be short This is streets news , the manager has no any accomplishments. Why yanga chose him ?? We don’t know .
  4. Smile Digital Stationery

    Smile digital stationery, faraja mpya

    Nyakati zinabadilika, kuna baadhi ya watu muda kwao ni mchache sana wakati huohuo majukumu ni mengi. Nimeamua kuwaletea hii huduma ya SMILE DIGITAL STATIONERY ili kuwarahisishia wale ambao Hawana muda wa kwenda kukaa nusu saa, lisaa au masaa stationery kwaajili ya kuchapa na kusubiria kazi zao...
  5. S

    Mkeka wa mishahara mpya ya July, 2025 na makato yake bado haujatoka kama miaka ya nyuma?

    Hii ngoma bado haijavuja au safari hii wamekuwa makini kuliko miaka ya nyuma ambapo majedwali ya viwango vipya vya mishahara na makato kama PAYE huvuja? Mara nyongeza ni shilingi 10,000 au 20,000 kwa wale ambao mishahara yao sio kima cha chini. Mtalia tena watumishi kama mlivyolia 2022.
  6. mohamedidrisa789

    INAUZWA Radio call mpya (Baofeng)

    Radio call mpya nimezifungua mwenyewe mbili kutest na box jingine sikuwai kulifungua.zipo jumla 4 kampuni ya Baofeng BF-88ST. Zina range ya mile 3.ziko poa kabisa zimenunuliwa Marekani. Njoo uchukue kwa laki 2 zote 4 0749247920
  7. NALIA NGWENA

    Kuja kwa Florent Ibenge Ligi Kuu ya Tanzania: Ushindani Mpya Waanza Kuonekana

    Kuingia kwa kocha Florent Ibenge katika Ligi Kuu ya Tanzania ni tukio linaloleta msisimko na matarajio mapya kwa mashabiki wa soka nchini. Ibenge, ambaye ni mzoefu na mwenye mafanikio katika soka la Afrika, anatarajiwa kuleta mabadiliko makubwa kwenye mbinu, nidhamu, na ushindani wa ligi yetu...
  8. Damaso

    Msako mkali wa wahamiaji jamhuri ya Dominika: Mgogoro mpya Karibea

    Kwa miezi kadhaa sasa, picha na video kutoka Jamhuri ya Dominika zimekuwa zikisambaa kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vya habari, zikionesha maafisa usalama, polisi na wanajeshi wakiendesha misako ya barabarani, wakikamata watu wanaoshukiwa kuwa wahamiaji haramu – wengi wao wakiwa ni kutoka...
  9. Daraja2

    Kifo cha DIOGO JOTA kuleta Sheria mpya TFF

    Habari waungwana, Napenda kutoa pole kwa wapenzi wote wa soka ulimwenguni ( hasa familia na klabu yake) kwa kuondokewa na kipenzi chao. (Mwenyezi mungu ampe pumnziko la milele - RIP). Kama mdau nimeona Kuna mambo ya kupitia kuona ni changamoto gani walizopitia/wanazopitia "familia" za wachezaji...
  10. uran

    Florent Ibenge kocha Mpya Azam FC

  11. uran

    Huu Mradi wa kuweka Kalavati mpya sehemu nyingi za Barabara Tanzania ni wa nani?

    Hii nchi kuna mambo yanaendelea kufanyika yasiyo na maana kabisa. Sasa hivi ukipita maeneo mengi ya nchi hasa Barabara kuu kuna diversion na ni mradi wakubadilisha kalavati za kupitisha maji, Hii sio mbaya, ila inashangaza hadi maeneo ambayo hayajawahi kuwa na usumbufu na yenyewe...
  12. T

    Tunauza vitabu vya shule mtalaa mpya

    Trumark Stationery & Books ni wakala wa vitabu vyote vya shule vya mtaala mpya. Ukinunua vitabu kwa wakala una uwezo mkubwa wa kupata punguzo la bei. Vitabu kuanzia shule ya awali, msingi na Sekondari. Vitabu vyote vya darasani na mazoezi. Popote ulipo Tanzania tunakuletea. Tupigie 0765...
  13. Exformer

    CHANGAMOTO KWENYE PC YANGU NIKITAKA KUWEKA DRIVERS MPYA

    Habari zenu wakuu na wapenzi wa Tecnolojia. Nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo hilo hapo pichani, ninatumia program kadhaa za kufungua mitandao kwenye simu,Bypass FRP na kadhalika Changamoto kuu ni pale ninapohitaji kuweka drivers kama Qualicom na MTK Vcom Drivers huwa hazikai kabsa kwenye Pc...
  14. MwananchiOG

    Baada ya Jenshalee a.k.a kiungo wa penalty, Debora a.k.a kiungo wa benchi na Mutale a.k.a SGR, Tutarajie usajili gani mpya?

    Tuliambiwa kuna striker moja refu kuliko holi, akigusa tu, imo! Kisha Bilioni 7 zikamwagwa hapo, wakatua Mutale SGR, Debora Fernandes,Jenshalee ahwaa, Kiungo wa airport, Awesu awesu nk. Tukaambiwa sasa ukame wa vikombe baaasi! Mambo yameenda ndivyo sivyo! Je, Tutarajie usajigani msimu huu?
  15. M

    Dalilinya ufisadi katika ujenzi wa barabara za mwendokasi mpya: vituo vya mabasi ni vikubwa/virefu mno na viko karibukaribu

    Nimeshangazwa na ujenzi wa barabara za mwendokasi mpya zinazoendelea DSM. Unakuta vituo vya mabasi ni virefu mno, na viko karibukaribu sana. Hii inashangaza kwa sababu katika nchi ambazo zina magari marefu ya abitia hukuti mavituo makubwa na marefu namna hii. Halafu cha ajabu mavituo hayo yapo...
  16. and 998 others

    GE2025 Spika Mpya 2025-2030?

    Baada ya Mpango na Majaliwa kuwekwa pembeni. Sasa NI zamu ya Spika Mkuu kuteuliwa Wizara ya Katiba huku Hawa Namanga akitajwa kama Spika Mpya 2025-2030.
  17. Smart Finance

    Kalenda Mpya ya Minada ya Dhamana za Serikali Yatolewa: Fursa kwa Wewe Mwekezaji!

    Kalenda ya minada ya dhamana za serikali ni ratiba rasmi inayotolewa na Benki Kuu ya Tanzania (BOT) ikionesha tarehe na aina ya minada ya dhamana za serikali zitakazofanyika kwa kipindi fulani (kwa kawaida mwaka mzima au kila robo mwaka). Sasa jana kupitia kurasa zao BOT, wametoa kalenda ya nusu...
  18. GENTAMYCINE

    Kuna Msemaji wa Timu moja namsubiri sana tuone atakavyowadanga 'Majuha' aliowazoea pale Msimu mpya wa NBC Premier League ukianza August 2025

    Na namshauri tu kama akiweza safari apige kimya na awaachie Viongozi wake ndiyo wawe Wasemaji ila siyo Yeye tena.
  19. Valencia_UPV

    Wajumbe CCM Arusha Mjini huenda watatuletea Waziri Mkuu Mpya 2025-2030

    NI kama mmepewa Nafasi ya kutupatia Waziri Mkuu mpya 2025-2030. Pole Gambo, pole sana
  20. Zanzibar-ASP

    Katiba mpya itamke wazi, mtumishi wa tume ya uchaguzi akose sifa za kugombea au kuwa mtumishi wa umma.

    Ni lazima tuweke standard kama taifa, haiwezekani wewe uwe mjumbe au mtumishi wa tume ya uchaguzi kwa ngazi yoyote ile halafu kesho na keshokutwa uende kwenye uchaguzi kugombea. Hiyo hapana. Tukatae. Iwekwe wazi kabisa, ukiamua kutumikia tume ya uchaguzi moja kwa moja ukose sifa zingine zote za...
Back
Top Bottom