Habari,
Nafikiria kumfungulia mdogo wangu biashara ya Bajaji ili apate kitu cha kufanya ila sijui biashara hiyo sana.
Je, biashara ya kuendesha Bajaji inalipa? Kwa siku mtu anaweza pata kiasi gani?
Bei ya Bajaji mpya kiasi gani? Iliyo tumika kiasi gani?
Kingi chochote nijue?
Asante sana