mpya

  1. P

    CHADEMA endeleeni kuelimisha kuhusu umuhimu wa Katiba Mpya

    Kwanza hongera kwa kuleta wazo hilo lakuomba uwepo wa uhamasishaji na elimu kwa wananchi kuchangia kupata katiba mpya ikiwa serikali itasingizia uviko umeshusha uchumi. Ni wazo zuri na la kizalendo kwa kinga ya vizazi vijavyo. Ushauri wangu muondokane na agenda yakujinga kwa uchaguzi 2025...
  2. CHADEMA yashauri kuwe na kodi ya Katiba Mpya ili mchakato wa Katiba uendelee

    Kauli hii ya Kizalendo imetolewa na Katibu Mkuu wa CHADEMA Mhe. John Mnyika , wakati akiongea na Waandishi wa Habari wa ndani na nje ya nchi kuhusu Umuhimu wa Katiba Mpya kuliko jambo lingine lolote kwa sasa . Mh Mnyika amesema kwamba ikiwa Serikali yetu haina hela za kugharamia Mchakato huu...
  3. Katiba ya Chama chetu haifai na hatuna legitimacy kudai katiba mpya ya JMT

    Fikiria kuwa na katiba ambayo inampa madaraka mwenyekiti kufanya chama kama mali yake. Anafanya madudu hata kiasi cha kupiga madili na kumpa Lowassa gap la kugombea. Anakaa madarakani mpaka anapoona hana ushawishi ndio anaamua kung'oka. Hatuna legitimacy kudai katiba mpya.
  4. S

    Inahitajika damu mpya, kupangua ni yayo kwa yayo

    Anayoyafanya Rais Samia ni kupangua na sio kupanga safu mpya, inasemwa ni maji ya futi kwa nyayo, kuna viongozi waljijibebea umaarufu sio kwa uongozi bora bali kwa uongozi uliojaa magube na usio na busara, wala haihitajiki tochi sifa zao zilikuwa zinavuma, maana kufika kuwatia na kuwachapa...
  5. Kibonzo: Injini imegoma, mama anashauriwa anunue tu mpya

  6. Fanya haya ili biashara unayoianzisha isife

    1. Fanya biashara unayo ielewa vizuri zaidi, usiige tu kwa kuona mwingine anafanikiwa. Hakikisha wewe mwenyewe una ujuzi nayo. 2. Hakikisha umeyasoma mahitaji ya wateja wako watarajiwa. Hakikisha umeyaelewa kiundani zaidi mahitaji yao na unaweza kuwatimizia ipasavyo. 3. Amua kujenga mahusiano...
  7. Mita mpya za maji ni kama king’amuzi, maji yakiisha inaji-lock

    Serikali kupitia Wizara ya Maji kuanzia mwezi Julai inatarajia kuanza kufunga mita za maji za malipo ya kabla[PRE PAID WATER METERS] ambazo zitakuwa na mfumo wa King’amuzi unaweza ukanunua ukiwa sehemu yoyote duniani Katibu mkuu Wizara ya Maji mhandisi Antony Sanga amesema utofauti wa mita hizo...
  8. UTEUZI: Camilius Wambura ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai (DCI)

  9. Niseme tu Katiba Mpya tusubiri miaka 100 mbele, kizazi hiki hakina uwezo wa kuisimamia hiyo katiba mpya inayodaiwa

    Napingana sana na wana harakati na waumini wanao dai sasa nchi inahitaji katiba mpya ili iweze kwenda mbele.Mimi napingana nao kwa sababu kuu zifuatazo 1. Kwa sasa kudai uandaaji wa katiba mpya ni kupoteza fedha na muda kwa sababu sisi kama nchi bado hatuna uwezo wa kuisimamia hiyo katiba mpya...
  10. Pongezi kwa DPP Mpya. Kama itampendeza, aanze kwa kutumia Nolle, kusafisha Uchafu wote wa mtangulizi wake...

    Wanabodi, kama kawaida yangu, kila nipatapo nafasi, huwa nawaletea zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", ambazo huandikwa kwa swali, na kukuachia wewe msomaji uhuru wa kuchangia na kutoa jibu lolote. Makala hizi zitakuwa zinatoka kwenye Gazeti la Nipashe, kila siku za Jumapili. Makala...
  11. Geita yakubali kuundwa Mkoa wa Chato; Kakonko, Biharamulo na Ngara kumegwa. Sengerema kwenda Geita..

    Geita yaridhia kuanzishwa Mkoa wa Chato. RCC yatoa mapendekezo. Baadhi ya maeneo kutoka mikoa jirani. RC Geita Mhe Rosemary Sitaki awashukuru Wananchi kukubaliana kwa hekima bila ushabiki. Kikao cha Kamati ya Ushauri ya mkoa - REGIONAL CONSULTATIVE COMMITTEE (RCC), Kilichokaa kama kikao Maalum...
  12. P

    Hivi katiba mpya ni hisani ya kutoka Kwa mtawala ama ni takwa kisheria?

    Nauliza tu Kwa watalaamu wa Sheria zetu Kuwa na katiba mpya, ni hisani ya mtawala kukuubali kusimamia kitu hichi ambacho kwayo takwa hili halimo kwenye Ilani iliyomweka madarakani Kama siyo huruma na hisani ya mtawala kupokea Jambo hili na kuamua kulifanyia kazi, Kwa nini kila anayesimama na...
  13. Ni kosa la kustahili kutekwa kudai Katiba mpya Tanzania?

    Katiba ya inchi ni makubaliano au utaratibu unaowekwa na wananchi wote namna gani taifa lao litawaliwe. Content kubwa ya katiba iliopo tume rithi kutoka katiba ya ukoloni. Wakati wa uongozi wa awamu ya nne ya Urais chini ya mweshimiwa Rais Kikwete kulianzishwa mchakato wa katiba mpya. Bahati...
  14. Geita: Baraza la Madiwani laukataa Mkoa mpya wa Chato

    Baraza la Madiwani Geita limeukataa Mkoa wa Chato. Je, Hayati Magufuli angekuepo wangeweza kukataa hiki kitu. CCM wakikusifia au wakikubaliana na wewe ujue wana maslahi au ni Unafiki tu. Wanajitahidi kufuta Legacy ya Shujaa wetu. Sio sahihi Hata kidogo. ======= Baraza Maalum la Madiwani...
  15. S

    Kuhusu kero za Muungano, Zanzibar wanapaswa kutumia nafasi ya uraisi wa Samia kuweka msukumo wa kupata Katiba mpya, la sivyo imekula kwao!

    Yaani hapa wala sihitaji kuweka maelezo mengi. Tunapoongelea kero za Muungano, mara nyingi ni ndugu zetu wa Zanzibar wanaoona kuna mambo mengi yanahitaji kurekebishwa. Sasa basi, badala ya kufurahia baraka ndogo ndogo za uraisi wa Samia kwa Zanzibar kama kumtuma raisi wa Zanzibar kumwakilisha...
  16. Pikipiki mpya ya TVS inahitajika

    Salaam wakuu, Pikipiki aina ya TVS mpya inahitajika kwa Dar es Salaam soon as possible. Msaada wenu please.
  17. S

    Katiba Mpya yaja, somo la awamu ya tano linatosha

    Katiba mpya itaundwa tu. Utawala wa awamu ya 5 ndiyo umeleta chachu na hamu ya uhitaji wa kuundwa kwa Katiba mpya. Kila kundi katika jamii linahitaji Katiba mpya. Wanaccm, Wapinzani, Wanaharakati, n.k. Wananchi wa makundi mengi katika jamii hawakufurahishwa na mwenendo wa mwendazake lakini...
  18. Kwa hali hii wachezaji wengi wa mpira watakimbilia TZ, Mkataba mpya (114,272,966.78 USD) wasainiwa kuboresha ligi

    Asante Azam Media, Kampuni ambayo imechochea san aukuaji wa soka Tz, Mechi zote huzionyesha kwenye tv bila kujali ukubwa wa timu wala eneo 114,272,966.78 USD kwa miaka 10 97,284,020.03 USD baada ya government taxes. Kwa msimu wa 2021/22 mpaka 2023/24 mgao kwa kila timu kwa kila mwezi utakuwa...
  19. P

    Nasisitiza, wakati wa Katiba mpya ni sasa

    Nasema hivi, hatutakuja kupata tena nafasi nzuri na kwa muda muafaka wa kutengeneza katiba mpya iliyo nzuri kama sasa, namaanisha wakati wa utawala wa rais wetu mpendwa mama Samia Suluhu Hassan. Zingatia na kumbuka yafuatayo: 1) Rais wa sasa anakubalika katika pande zote za Muungano, na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…