INAUZWA Printer MFP Canon IR 2425 Mpya at discount price

NewGapi

JF-Expert Member
May 28, 2020
287
857
Habari wadau,

Nauza printer ambayo ni photocopier pia,
Model Canon IR 2425,
Ina print, copy na Scan.

Ina uwezo wa kuunganishwa kwa Network,

Bei ni 2 million kamili.

Ipo Dar es salaam.

Dukani mpya ina range 2.4m

Sababu ya kuuza ni order ilikuwa tofauti na ilivyohitajika.
Hivyo ni ipo na mabox na kila kitu chake na wino wa kuanzia.
(Canon haziji na wino)

Karibu kuona muda wowote, ipo Habour View towers.

Mawasiliano zaidi nipigie 0746 869 698
IMG-20220307-WA0024.jpg

IMG-20220307-WA0016.jpg
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom