mpira

  1. KENGE 01

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Soka la kisasa limeondoa ladha ya mpira?

    Kwa wapenzi wa mpira wa miguu, Mwaka 2010 FIFA ilitangaza rasmi mapinduzi ya technolojia katika mpira wa miguu, hii ni baada ya Kombe la Dunia lililopigwa South Africa kwa Madiba. Modern football inayoongelewa hapa ni baadhi ya mambo yaliyofanyiwa mabadiliko katika Sheria za Mpira wa miguu...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hongera Wananchi mnazidi kudhihilisha ubora wenu, mnaongoza kundi na mpira mkubwa

    Nitakuwa mchoyo wa fadhila kama sintowapongeza wachezaji na benchi zima la ufundi kwa kazi kubwa mliyoifanya mpaka kutinga hatua ya Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho, timu kwa sasa inajiamini pakubwa, ikichagizwa na usajili bora uliofanyika. Mchakato wa kuitengeneza Yanga mpya umekuwa na tija...
  3. Mohammed wa 5

    JamiiForums Tanzania Mpira (ndondo) ulifanya nikapotea Morogoro

    Habari za zenu Wana Jf Throw back Tuesday Ilikuwa mwezi wa 12 miaka mingi kidogo nyuma baada ya kwenda likizo Morogoro tulifikia kwa baba mdogo ambaye alikuwa anaishi maeneo ya tazara Siku moja majira Kama ya saa 8 au 9 baada ya kula msosi nikawa nimekaa kwenye kibaraza Cha mbele ya nyumba...
  4. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ukizama online slots (casino), wanaobet mpira utawaonea huruma

    Siujui mpira vizuri na betting za mpira sizijui vizuri ila naona wanapigwa tu kila siku. Mtu anachakazwa wiki tatu anapewa siku moja elfu 50 basi hiyo siku mpaka mkewe atajua kuwa baba kapiga pesa kumbe ni elfu 50 tu au laki. Ukipiga hesabu kapata negative kubwa ndani ya mwezi. Online casino...
  5. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Hivi Mashabiki wa mpira wanafanana sifa zao kote Duniani?

    Habari wanajukwaa kabla sijaja na Uzi wa kutoa kero zangu na kuuelimisha Umma wa wapenda soka Nchini naomba nipate mawazo tu kwa unavyotambua wewe hapo ni kweli mashabiki wa mpira wanafanana kote Duniani, yaani I mean ushabiki wanaokua nao? Na sifa zingine naomba reference ichukuliwe Tanzania...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Uwanja wa mpira Bariadi wageuzwa zizi la mifugo

    Uwanja wa michezo Halmashauri ya Mji wa Bariadi Mkoani Simiyu, ambao utumiwa na wanamichezo mbalimbali, Sasa unatumika kuhifadhi mifugo kama ngo'mbe, mbuzi, na kondoo pia. Taarifa zinasema kuwa Mkuu wa Wilaya hiyo Simon Simalenga, ameufanya uwanja huo kuwa zizi, baada ya kuamua kuhifadhi mifugo...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CCM na Serikali mnajisikiaje mkiuona uwanja wa Azam Complex?

    Yaan ina tia hasira na pia inahuzinisha, mnashindwa ingia ubia na wamiliki wa Ccm wanaomiliki viwanja vingi mapato yakaenda halmashauri kwenye mgawanyo? hao waarabu wanaotunyanyasa ubora wa viwanja vyao unachangia. Huku mnaweza fanya kitu kizur kikatutambulisha watanzania. Hata mashindano yenu...
  8. Mbahili

    JamiiForums Tanzania Ingelikuwa siasa ni mpira wa miguu

    Niwasalimu tena kwa jina la Jamhuri ya Muungano. "Kazi iendelee😅😅 (japo kuwa hamna kazi..) Nimekaa na kuwaza hivi siasa ingekuwa mpira wa miguu; CCM hutumia mfumo gani na Chadema mfumo gani (tuseme vyama vingine wakae upande wa mashabiki) Mimi nimewaza hivi; CCM hutumia mfumo wa 541 yaani...
  9. kavulata

    JamiiForums Tanzania Fatma Karume (shangazi) anapotosha wadau wa mpira

    Huyu mama ni mwanasheria nguli kabisa nchini anaeheshimika lakini kwenye hili la Faisal anakaribia kuipoteza heshima yake. Anadai kuwa Faisal sio mtumwa hivyo hawezi kulazimishwa kufanya kazi Yanga. Kauli hii imewachefua wengi sana. Faisal ni mzanzibar, alifikaje Yanga? Je Yanga Kuna soko la...
  10. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Azam Tv wamechoka kuonesha Mpira

    Wameweka cameras kama zile za kwenye harusi tu. Zipo 3 uwanjani na zimewekwa chini zimeufanya uwanja uonekane mdogo. Si mara ya kwanza. Ni kama Azam kwa sasa wametosheka sana. Hawana wasiwasi na hii ni kutokana na Uhuni ambao TFF wanafanya nao kuwapa kazi ya kurusha matangazo kwa miaka mingi...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Kwa mpira huu Yanga washukuru sana hawakufuzu Champions League, ingekuwa aibu ya rekodi

    Yanga wangefuzu Champions League kwa kuitoa Al Hilal ndio wangepangwa hili kundi hapa chini. Kwa Yanga hapa wangeondoka na pointi ngapi? Maana Al Ahly mwenyewe ana pointi 1 kwa mechi 2.
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hatumpangii Kocha ila nasi Mpira tunaujua vile vile hivyo tunaomba moja ya Squad hili lianze leo Kampala

    Kikosi A 1. Aishi Manula 2. Shomary Kapombe 3. Mohammed Hussein 4. Joash Onyango 5. Henock Inonga 6. Sadio Kanoute 7. Kibu Denis 8. Clatous Chama 9. Jean Baleke 10. Moses Phiri 11. Saido Ntibanzokinza Kikosi B 1. Aishi Manula 2. Israeli Mwenda 3. Mohammed Hussein 4. Joash Onyango 5. Henock...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Kuna tofauti gani kati ya aliyekuwa anagawa fedha za umma akiwa kwenye gari na anayegawa uwanja wa mpira?

    Magufuli alikuwa anagawa fedha za umma akiwa kwenye gari la wazi. Kununua kuku kwa malaki etc etc. sasa kaja mwingine ananunua/anagawa mamilioni ya umma uwanja wa mpira. Wana tofauti gani, wakati huo hakuna madawati, dawa, na shida nyingi kibao kwa walalahoi?
  14. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Mo Dewji aweke wazi Bilioni 20 au aiache Simba yetu. Inauma sana Simba Ile iliyoogopeka na Al Ahly leo kila timu inajipigia

    Mimi mi Shabiki na Mwanachama wa Simba Sports Club!. Kinachoendelea Kwa huyu Bwana Mo, ni uhuni, wizi , na ujanja ujanja wa kijinga sana ambao Sisi wanasimba ndio tunaulea. Daktari Kigwangala, alivyohoji suala la Bilion 20, mamuluki walikuja mbele kumpondea Sanaa , lakini ukweli ni kwamba...
  15. Son of Gamba

    JamiiForums Tanzania Mpira wa miguu siyo uchawi, siyo porojo, wala siyo siasa bali ni Sayansi

    Wiki nzima timu ya Simba walilinda uwanja wa Taifa (Kwa Mkapa) kabla ya mechi yao na Raja Casablanca iliyofanyika jana jioni. Matokeo yake Simba wamechapwa mabao 3 kwa sufuri hapo hapo kwenye uwanja walioulinda kwa wiki nzima huku wakifanya ushirikina na imani za kishenzi za Kiswahili. Ifike...
  16. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania FT: Simba 0-3 Raja Casablanca | CAF Champions League | Estadio Benjamin Mkapa | 18.02.2023

    Kwa Mkapa hatoki mtu!! Hii ni kauli mbiu maarufu kwa mashabiki wa Simba Sports Club linapokuja suala la mechi za Kimataifa za CAF. Kwa kauli hiyo ashakufa Al Ahly, Orlando Pirates, As Vita, Kaizer Chiefs na wengineo na sasa ni zamu ya kufa Raja Casablanca. Nani anabisha? Kikosi cha Simba...
  17. Mhaiki2022

    JamiiForums Tanzania Gari la zimamoto kwenye Uwanja wa Mpira la nini

    Kwa kweli nimekuwa nashangazwa sana kuona gari la zimamoto hapa bongo kila wakati mechi zikiwa zinachezwa, sasa najiuliza la nn badala ya kuweka ambulance nadhani ni chombo husika. Nasikia kuna timu iliwahi kususia mechi kisa hapakuwa na gari la kuzima moto. Tubadilike wabongo
  18. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Tunaoshindwa, waliolishindwa na wasioweza kuacha kubet (mpira) au kucheza dubwi la Mchina au vyote (kamali) tujuane

    Wasalaam JF Tuwe wakweli mbele za Mungu, mimi kiukweli napenda sana kubet 1X na 2X kwa mzungu yaani meridianbet online, kwa wiki mara 3 kila nikiwaza kuacha nashindwa. Kama ni kula nakula kweli ila sasa natamani kuacha kabisa nashindwa kwa sababu winners za betting ndio zinanifanya niwe na...
  19. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Yanga akimfunga TP Mazembe naacha rasmi kushabikia mpira

    Ndugu zangu sioni ni jinsi gani Yanga atamfunga giant TP Mazembe hapo Jumapili. Kwa aina ya uchezaji wa Yanga wa kutegemea goli kipa afanye makosa ndio washinde siioni hiyo nafasi Jumapili.
  20. Naantombe Mushi

    JamiiForums Tanzania Mo ni kilaza wa mpira, amefanya maamuzi ya kijinga sana kumleta mzungu

    Ukiangalia hii Simba iliyocheza leo, hii mechi kwa kamanda Mgunda ilikuwa ni big (W). Unajua yule Mo amefanya lobbying kubwa sana kumuondoa Mgunda na kumleta hiyo mzee Brazil. Mwaka jana mwezi wa 12, Mo alipost hii tweet kule Twitter Baada ya kuona hii tweet na kuangalia Simba ilivokuwa ina...
Back
Top Bottom