Ladha ya tendo inapungua ukiwa na mpenzi mmoja tu mda mrefu?

Idrissou02

JF-Expert Member
Jul 31, 2018
354
643
Habarini wakuu,
Mimi nina mpenzi wangu ambae nimekuwa nae mda mrefu sasa na huduma zote za chumbani huwaga ananipa yeye tu, yaani sichepuki.

Ila cha ajabu naona kila siku zinavozidi kwenda, ladha ya tendo inapungua yaan utamu wa siku za nyuma haupo tena sikuhzi.
Hivi hii ishawahi kuwakuta wanaume wenzangu au ndo kuna shida gani
 
Hata yeye anahisi hivyo hivyo
 
Kukinai hutokea mkuu..
Hebu tafuta kitu ambacho una hamu nacho sana..ukikipata mwanzoni hamu inakua juu lakini kadri mda unavyoenda inapungua mwisho huoni jipya,yani unakinai.
-badili mtindo wenu wa kukutana kimwili,vionjo,mazingira,style nk
-msikutane kimwili kila siku,kaeni mfano siku NNE au week ndo mkutane.hii itajaza hamu
-Dada aongeze mbinu ama abadili kuleta tofauti kidogo..nawe pia.

BTW oaneni zinaa sio njema!
 
Ukiona hivyo ujue mnafanya mara kwa mara, mkifanya kila siku mnaona kawaida tu wala hakuna ladha. Jaribuni kupumzika kila mtu apate nyege full, mkiwa na nyege za kutosha kila mmoja atafurahia na hamu itaongezeka.

Changamoto kubwa ya ndoa/ mahusiano ni kuchokana, kuishinda changamoto hii ni uvumilivu. Ndiyo maana wazee wetu walidumu kwenye ndoa kwa muda mrefu kwasababu ya uvumilivu.
 
Habarini wakuu,
Mimi nina mpenzi wangu ambae nimekuwa nae mda mrefu sasa na huduma zote za chumbani huwaga ananipa yeye tu, yaani sichepuki.

Ila cha ajabu naona kila siku zinavozidi kwenda, ladha ya tendo inapungua yaan utamu wa siku za nyuma haupo tena sikuhzi.
Hivi hii ishawahi kuwakuta wanaume wenzangu au ndo kuna shida gani
Tafuta pesa wewe.acha uzembe na ngono zembe..!
 
Mkuu Jitahidi Kubadilisha Location Na Madhari.

Si Kila Siku Mpo Pale Pale Sometimes Nendeni Maeneo Mazuri Ambayo Unaweza Kukaa Huko Hata Kwa Week 1/2 au Hata Siku Tatu Suala Ni Kubadilisha Mazingira Na Mazoea Ambayo Yapo Kila Siku.

Penda Kutembea Sehemu Tofauti Tofauti Na Mke/ Mpenzi Wako Niamini Mimi Utakuja Nishukuru Boss.
 
Habarini wakuu,
Mimi nina mpenzi wangu ambae nimekuwa nae mda mrefu sasa na huduma zote za chumbani huwaga ananipa yeye tu, yaani sichepuki.

Ila cha ajabu naona kila siku zinavozidi kwenda, ladha ya tendo inapungua yaan utamu wa siku za nyuma haupo tena sikuhzi.
Hivi hii ishawahi kuwakuta wanaume wenzangu au ndo kuna shida gani
Jitahidi uwe na timu za nje ambazo ni temporary zitakusaidia sana
 
Kukinai hutokea mkuu..
Hebu tafuta kitu ambacho una hamu nacho sana..ukikipata mwanzoni hamu inakua juu lakini kadri mda unavyoenda inapungua mwisho huoni jipya,yani unakinai.
-badili mtindo wenu wa kukutana kimwili,vionjo,mazingira,style nk
-msikutane kimwili kila siku,kaeni mfano siku NNE au week ndo mkutane.hii itajaza hamu
-Dada aongeze mbinu ama abadili kuleta tofauti kidogo..nawe pia.

BTW oaneni zinaa sio njema!
Ushauri correct kabisa. Akifanyia kazi ham inarudi.
Its all about kuu trick ubongo usikinai
 
Mshajaribu kwenye kochi, jikoni au mnatumia majiko ya kuni

Ushajaribu kama kumbaka utamu unatest kila angle

Kwa dalili iyo mahusiano yapo ICU bado sababu tu ya kuachana
 
Back
Top Bottom