Mpenzi kwaheri - Jay Moe

Mpenzi kwaheri - Jay Moe

Joined
Nov 8, 2018
Posts
21
Reaction score
21
JAY MOE - MPENZI KWAHERI

Intro:

"Au sio Kwahiyo ndio Unaondoka
sio ,
Amna Noma Bwana , Mi ndio Hivyo Nipo,
Au sio kinachoenda ndio kinachorudi."

Verse..1

Kwanza sikuwa na Muda wa Mapenzi kabisa/
Niliumia kichwa Kwa sababu Ya Mapenzi Ya pesa/
Bila shaka Mapenzi Mazuri hayahitaji Tajiri/
Ingawa Dem Mzuri lakini mpendo Fahari/
Dem hajatulia Eti anajiona Bado Mdogo/
Starehe Mbona Kwa Wingi, Mbona Mapenzi Kidogo/
Jay moe nadhani siwezi Kufa na kuzikana Nae/
Coz..!!
Nikiwa sina Pesa Tunagombana nae/
Labda alidata na Mambo safi Mwanzoni/
Kila Muda Simu, Kila siku Niko online/
Akapagawa na Moe, Sababu ya mari advertise/
Night kwenye Viwanja, ndo maana labda ali freez/
Fedha ilitumika, siunajua Tena Vijana/
Tunapotaka Vijana, Tunaptaka Dem pesa ndio inapoonekana/
Sikujua Tamaa ingempindua Uvumilivu/
Kumbe kwake Bila Pesa alikuwa Mu - mpumbavu/
Kwanza kila siku majukumu yaliongezeka/
Asione kizuri kwa mwezake nae atataka/
Sometime sina Pesa, hanioni hata haruma/
Hapo ndipo utapoamini Ulimwengu ndio Mama...

Ukwaju wa kitambo
0767 542 202
1786703535619.jpg
 
Ok hiyo cover ya 40bars inamaana gani hapo,
Unauza nini mbona kunanamba za simu hapo chini?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom