mpango

  1. JamiiForums Tanzania Marekani: Kikongwe wa miaka 91 adai hana mpango wa kustaafu jeshi la polisi

    Katika hali ya kawaida ni vigumu sana kusikia mtu mwenye umri wa miaka 91 bado yupo kazini na wala hana mpango wa kustaafu, na kitu gani kinakuja haraka haraka kichwani mwako unaposikia kuwa yupo na hataki hata kusikia hilo neno kustaafu. Afisa mmoja wa polisi, Arkansas nchini Marekani...
  2. JamiiForums Tanzania Wasifu wa Dkt. Philip Isdor Mpango

    Wakuu naomba C.V ya huyu Dr. Mpango aliyetuandalia mpango wa maendeleo unaoendelea kujadiliwa bungeni. Education History...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu, Makamu wa Rais Dkt. Mpango viongozi wapya matumaini mapya

    Mabibi na mabwana safu ya juu kimsingi imekamilika. Sura zote mbili hizi ni mpya: 1. Samia ni mtaka maridhiano, muungwana na aliyedhamiria kupambana na wapigaji. 2. Dr. Mpango ni muungwana aliyeonja uhalisia wa Corona, mchumi ambaye kwa hali yoyote yeye kama mwenye uamuzi, hawezi kukubaliana...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Je, Dkt. Mpango ana Afya njema kushika wadhifa wa Makamu wa Rais?

    Linapokuja suala la Afya ya viongozi hilo ni suala mujarabu kabisa kwa umma kuhoji. Leo akiongea bungeni, Dkt. Mpango ameonyesha kwamba hata yeye alikuwa hana taarifa zozote za kuteuliwa kwake kuwa Makamu wa Rais, hii maana yake ni kwamba hili suala limefanyika kwa usiri mkubwa bila hata yeye...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Dkt. Mpango: Watendaji chapeni kazi, Mjomba hayupo

    Makamu wa Rais mteule Dr Mpango amewataka watendaji kuchapa kazi kwani mjomba hayuko. Makamu wa Rais amesema hayo wakati akiwaaga wabunge wenzake tayari kabisa kutumikia nafasi yake mpya. BAVICHA chapeni kazi majungu siyo mtaji. Maendeleo hayana vyama!
  6. T

    JamiiForums Tanzania Phillip Mpango sawa lakini Charles Kimei hapana, labda Mwigulu Nchemba

    Uteuzi wa Dkt. Philip Mpango unaweza kuwa na tafsiri nyingi, mojawapo ikiwa ni kutaka kumpenyeza Charles Kimei kuwa Waziri wa Fedha. Mpango ni mchapakazi, mnyenyekevu na Mzalendo hivyo anafaa kwa nafasi hiyo ili kumsaidia mheshimiwa Samia Suluhu Hassan. Kama Mpango anamlisha Mkurugenzi mstaafu...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Hili la Dkt. Mpango kuwa Makamu wa Rais ni "mchafukoge" tafakari

    Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Philip Mpango kuwa Makamu wake. Amethibitishwa na Bunge kwa asilimia 100! Well, ni pendekezo lake. Mpango amepewa sifa kedekede na wanaCCM wenzake as usual. Shida yangu iko hapa, Rais amekuwa na mashaka makubwa katika hazina kuu BoT kwamba kuna uwezekano...
  8. JamiiForums Tanzania Dkt. Philip Mpango kama hutawasaidia Watanzania masikini kuondokana na umasikini, uteuzi wako utakuwa hauna tija kwa Taifa

    Ulipokuwa waziri wa fedha na mipango ulisimamia vizuri hasa ukusanyaji wa mapato. Hii ilisadia kuwepo kwa ukelezaji wa miradi mingi. Awali ulikuwa mbunge wa kuteuliwa na ukapata uwaziri. Lakini mwaka jana uliamua kwenda kugombea huko kwenu Kigoma na ukachaguliwa kuwa mbunge wa Buhigwe...
  9. JamiiForums Tanzania Baada ya uteuzi wa Philip Mpango kuwa Makamu wa Rais wa JMT, sasa naamini watu kama Makonda, Chalamila, Ole Sabaya hawana nafasi katika Serikali

    Kwa kumteua Dkt. Philip Isdor Mpango kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ni ishara muhimu ya kuonesha kuwa Madam President Samia Suluhu Hassani, atakuwa Rais wa namna gani. Kumbukumbu zinaonesha kuwa Dkt. Philip I. Mpango ni mtu safi na mwadilifu. Hana makando kando...
  10. JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais mteule, Dkt. Philip Mpango kuapishwa, Machi 31 saa 9 alasiri - Dodoma

  11. J

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai atatizwa na tafsiri ya Katiba, aamua kumruhusu Dkt. Mpango kuwaaga wabunge wenzake kabla ya kuthibitishwa na Bunge

    Spika Ndugai amekiri kupata wakati mgumu kwenye kuitafsiri Katiba iwapo Dkt. Mpango awaage wabunge wenzake kabla ya matokeo ya kura kutangazwa na kumthibitisha au baada yake. Amesema iwapo atamtangaza Dkt. Mpango amepitishwa kuwa Makamu wa Rais basi haitawezekana tena mteule huyo kupewa fursa...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan ampendekeza Dkt. Philip Isdor Mpango kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano. Bunge lamthibitisha kwa 100%

    Jina hilo limepelekwa Bungeni na Mpambe wa Rais (ADC) Kanali Nyamburi Mashauri, na kukabidhiwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai. Spika Ndugai akisoma ujumbe wa Rais Samia Suluhu Hassan amesema.. Mheshimiwa Spika, nawasilisha Bungeni Jina la Mheshimiwa Philip Isdori...
  13. JamiiForums Tanzania Tutarajie Uchaguzi mdogo Jimbo la Buhigwe baada ya Dkt. Philip Mpango kuteuliwa kuwa Makamu wa Rais wa JMT

    Mbunge akiteuliwa kuwa Makamu wa Rais anakoma kuwa mbunge. Hivyobasi, Dk. Philip Isidori Mpango atakapo apishwa kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania atakoma kuwa mbunge wa Jimbo la Uchaguzi la Buhingwe lililopo Mkoani Kigoma, haya ni matakwa ya masharti ya Ibara ya 47 (6) ya...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mpango: Nusu ya wabunge hawajalipwa mshahara wa mwezi Machi

    Waziri wa fedha Dr Mpango amesema nusu ya wabunge hawajalipwa mshahara wa mwezi March 2021. Ndugu Mpango amesema amekuwa akifuatilia huku na kule kuhakikisha wabunge wanalipwa. Kwa sasa Dkt. Mpango ameteuliwa kuwa makamu wa Rais. Kila zama na kitabu chake Maendeleo hayana vyama!
  15. JamiiForums Tanzania Kinga kwa Rais aliyeko madarakani na wastaafu ni kichocheo cha uvunjaji haki, Iangaliwe upya

    Katika nchi yetu kuna sheria za ajabu sana, mojawapo ni hii ya kumlinda Rais Mstaafu kutokana na makosa aliyoyafanya akiwa Rais. Habari juu ya Ufisadi uliofanyika katika awamu ya tatu ya Uongozi wa nchi yetu ni dira tosha ya kutufanya tufikirie upya juu ya Kinga ya Rais Mstaafu ya kutoshitakiwa...
  16. JamiiForums Tanzania "Social Economic Empowerment Program" Madrassa Yabuni Mpango wa Kijamii wa Kuwezeshanana kiuchumi

    "Social Economic Empowerment Program,." Mpango wa Kijamii wa Kuwezeshana Kiuchumi, Kwa mara ya Kwanza Tanzania. Haujawahi kutokea, duniani. Ni mpango uliobuniwa na Madrassatul Abraar, iliopo mtaa wa Vitendo, Misugusugu, Kibaha, Pwani Tanzania. Mpango ulianzishwa nakuasisiwa na Abdul ghafur kwa...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya usalama wekeni mpango mzuri wa watu kuaga mwili wa Hayati Dkt. Magufuli

    Nikiangalia namna jeneza lilivyozungukwa hasa Leo jijini Dar inaonyesha wale key figures wa protocol na security hawakuwepo may be wote wameambatana na Mhe. Samia huko Dodoma, ila nilitamani kuona mkiendelea kuonyesha full respect and security kwenye mazishi Kama ilivyokuwa wakati wa uhai wake...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Bungeni, Dodoma: Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango awasilisha mpango na Mkomo wa Bajeti

    .
  19. JamiiForums Tanzania Usafi na mpangilio wa vitu vya ndani ni changamoto kwa watu wengi

    Usafi na mpangilio mzuri wa vitu vya ndani huenda pamoja. Huwezi kuwa msafi lakini ushindwe kupanga vitu vyako vizuri. Wana saikologia husema mpangilio mzuri wa vitu husaidia akili kutulia. Kuna wanaofikiria usafi huendana na uwezo wa kiuchumi. Hapana kuna watu wanaishi maisha duni lakini...
  20. JamiiForums Tanzania Video: Dkt. Mpango arejea ofisini, apokelewa kwa bashasha

    Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…