Niliwaambia kuwa namna ya uendeshaji wa shuguli za ulinzi na usalama hapa Tanzania ni wa kipekee.
Hakuna mtu ataipeleka pua yake barabarani leo au siku yoyote. Na atakayejitoa akili kufanya hivyo mama yake na dada zake watalia sana.
October 29 pia channel link ilitolewa mwishoni kabisa na ndio maandamano yakaanza, bila kuwa na app ya kuunganisha waandamanaji ni ngumu sana watu kutoka.
Sasa jana kasema watu wadownload zello ila hajaweka jina la channel ili watu wa join.
Huyu ni mamluki wa mama kilaza.
Tundu Lisu ilibidi aachiwe tangu November 3 baada ya samia kuapishwa .
Naona umepita mwezi sasa tunaona kimya, kesi haisikilizwi na yeye bado hajaachiwa.
Au je mamlaka husika wanaona nchi bado haijakaa sawa kutokana na hofu ya maandamano au wanahisi atakuwa chachu ya watu kuandamana akiingia...
Gerson Msigwa najua umeifungia JF na wewe huingiii humu ila mie napitia hapa hapa kukutaka useme wazi hizo bilioni 200 ziko kwa nani tuzifuate?
Hizo ni Kodi zetu zirudi kwetu, au mpaka tuvae nguoza kijani tuonekane CCM tukakutane na vibaka walioajiliwa Halmashauri wakiongozwa na wakurugenzi...
Mpaka sasa wahuni wamekataliwa wamebaki kujialishia kuelekea D9 eti jeshi litatulinda ngoja wataona maana halisi ya moto.
Kwa kifupi tushawashinda wanabaki kubweka bweka hasa huyu mzee wa ufafanuzi amebaki na mipasho tu. wataenda kunyea debe soon.
Ibara ya 18 ya katiba ya JMT imempa kila mtanzania haki ya kushiriki katika mijadala, kupeana taarifa na kuwa huru kupata habari.
Kifungo cha Jamii forum jukwaa ljnalowaunganisha dunia nzima Watanzania kilisha keo saa sita usiku.
Lakini mpaka sasa hivi Jamii forum haijafunguliwa Jambo ambalo...
Sasa hivi hii December tunao juwana idarani mbona sikukuu zote tutasikia mabaraza yote kila mkubwa anayoitisha
kuna baraza la sikuu jipya linakuja kutoa taamko.
Nye Nye Nye. Mekutana na kina Mogela hapa Mazimbu Mayii. Wafurahisha Nye.
Maneno mengi pyuu ushubwada hamna lolote. Wajiita mji kasolo bahari wakati washamba watupu.
Wanaume kama mabinti hehehe. MO29 mayii iliwaumbua pabaya mayo. Mo town yakushindwa na Mafinga Nye.
Kule igumelo kahama...
Kwanini viongozi wengi wa Kiafrika ikiwemo nchi yetu ya Tanzania hukengeuka pale wanapopata nafasi ya kuongoza nchi zao?
Wasalaam Wakuu!
Ni swali linaloumiza kichwa na kutufanya tutafakari kwa kina: Kwa nini viongozi wengi Barani Afrika ikiwemo nchi yetu Tanzania wakishapata madaraka hugeuka...
Akizungumza nje ya viunga vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, mfanyabiashara wa vipodozi maarufu, Niffer, amewashukuru Watanzania wote waliomwombea na kumpigania alipokuwa mahakamani na gerezani, ambako alikuwa akikabiliwa na tuhuma za uhaini zinazodaiwa kutokana na madai ya kuhusika kuchochea...
Nimepita Arusha kuelekea kanda ya ziwa, kuanzia pale KIA (Kilimanjaro International Airport) mpaka nimefika Arusha town hakuna trafiki barabarani.
Zaidi ya kukutana na barrier za Wanajeshi pale Kikatiti na hapa Monduli.
Tena wanajeshi ni wengi sana kuanzia hapo Tengeru mpaka mjini.
Hakuna cha...
Juzi hapa amestopisha mzabuni wa maji asilete tena toka US. Sasa kwa boko la jana atatumia ya arabuni au china? Ni suala la muda.
Ndugu zangu wana Mtanila, mnabanangwa kisawasawa na huyu mtawala wenu
Samia kawatukana mpaka SADC na AU sio wazungu tu!. Hivyo mnaongelea misaada lakini katukana na kuwachamba kila mtu kwasababu yeye tu na familia yake ndiyo wa maana na wapo sawa wengine wote waangalizi, mashirika ya dini , wadau wa misaada wana wivu!!!! . Huyu ndiyo yule Mama kweli wa 2021-2022...
BBC.
1. Uhuru Kenyatta (Kenya)
Uhuru Kenyatta Rais mstaafu wa Kenya. Alifunguliwa mashitaka Machi 2011 kwa makosa matano ya uhalifu dhidi ya ubinadamu.
Kenyatta alidaiwa "kulidhibiti kundi la Mungiki" na kulielekeza kufanya mauaji, uhamisho, ubakaji na aina nyingine za unyanyasaji wa...
Mimi naomba tu nchi wafadhali na mashirika ya fedha duniani, waungane wasitishe mikopo na misaada kwa asilimia 100 kama ambavyo umoja wa ulaya teyari umeonyesha mfano.
Uchumi uvurugike, tushindwe kununua hata kilo ya unga na hata mishahara iiwe shida kulipa, halafu tuone kama hivi vyombo vya...
Tahadhari ni muhimu,
Huenda mambo yakawa tofauti zaidi kuliko ilivyokuwa hapo awali.
Huenda hata hiyo tarehe tajwa isifike watu wakashtukiza ,hivyo kama ulikuwa hujajiandaa kimahitaji kikamilifu utakufa njaa.
Nunua umeme wa kutosha angalau wa miezi miwili,
Jaza jaza mavyakula hayo maana kuna...
Kauli za wahalifu halsi zinasema waandamajai walikuwa raia wa kigeni, walikuwa hawaogei kiswahii na walilipwa. Je, vipi kuhusu ndugu zetu waliochukuliwa wakiwa nyumbani na hawa Polisi, nao walikuwa raia wa nje? basi tunaomba muwarejeshe na kutupa takwimu tujue hatunao tena kisha tukazike...