Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 46,674
- 38,218
Binafsi kama mTanzania, natamani sana kujua na kufahamu hilo, kwasababu ni muda mrefu sana tangu chadema istop kusajili wanachama wapya kidigitali.
Na bilashaka yoyote hata wadau kadhaa wa JF, nadhani wanatamani na wangependa walau kufahamu hilo.
Anae fahamu tafadhal aweke wazi numbers tu, ingawa humu jukwaani wengi ni mashabiki na wakereketwa tu wa chadema.
Mungu Ibariki Tanzania