mpaka

Mpaka is a town in eastern central Eswatini in western Lubombo District. It lies about 22 kilometres (14 mi) northwest of Siteki on the MR3 highway.

View More On Wikipedia.org
  1. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kukiendelea hivi, mpaka mwezi July Iran itakuwa imeanguka

    Tupo Salama! Wanasema ukipigana na adui mwenye nguvu usimshambulie kwa harakaharaka. Usiende kwa Kasi Sana. Kadiri unavyomshambulia kwa haraka adui mwenye nguvu kukuzidi ndivyo unavyojimaliza kwa upesi. Adui mwenye nguvu hupigwa na kuangushwa polepole! Polepole kwa uhakika. Polepole ni...
  2. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina asema watake, Wasitake Watasimamiwa tuu! Mabaomu ya Mpina, watu Leo wanalala na Viatu!

    MPINA Kahapa mbele ya Mbingu, Haiwezekani Fedha ya Mtanzania iliwe na wahuni wachache . Ahapa Kwa Damu kua Atawasimamia tu Watake Wasitake https://www.youtube.com/live/ckgp9uI6Hlo?si=BQRpVLwOv-w813FD No Reforms ,No Election!!!
  3. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Walioingia JKT kwa njia za panya kutimuliwa

    Jeshi la Wananchi (JWTZ) limetangaza kuwachukulia hatua viongozi wa ndani na nje ya jeshi hilo na vijana waliohusika katika vitendo vya udanganyifu katika uandikishaji wa majina ya kujiunga na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT). Udanganyifu huo ulihusisha ukiukaji wa taratibu na kughushi nyaraka na...
  4. Watery

    JamiiForums Tanzania Ayatollah: Iran haitakubali kusurrender, itapambana mpaka mwisho

    Ni tangu vita vianze hajaonekana adhalani ila leo kaonekana kanena maneno kadhaa Kwanza kasema Iran haitasurrender kwa Israel, adai anapambania haki na uhuru, hii ni baada ya Marekani na Israel kusema ajisalimishe kwa wema Kasema hakuna kipengere cha UN kinasema hapaswi kurutubisha Uranium kwa...
  5. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kauli ambazo za wanafalsafa mpaka leo zinaishi kwenye maisha yetu mifano tunayo

    Kauli maarufu inayohusiana na kwa sasa wanaitwa chawa chawa na ilitamkwa na mwanafalsafa wa Kirumi Tacitus, ambaye aliandika. “Even the worst rulers always find men who will praise them.” (Hata watawala wabaya kabisa huwapata watu wa kuwashangilia.) Au katika Kilatini kama alivyoandika...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Ni neno gani baba yako alitamka ambalo unaliishi mpaka Leo!

    Ikiwa Leo ni siku ya baba duniani? Nakumbuka mzee wangu aliwahi kusema "hakuna mkamilifu asilimia kwa Mia kwa mia na hakuna mbovu asilimia mia kwa Mia kila mtu ukimtumia vizuri kuna fursa atakupa" Lakini aliniambia usioe kwa kuangalia umbo bali "Angalia ni mchezaji gani unayemtaka unaamini...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Huyu Ameongezewa Kodi ya mapato Kutoka 100,000 mpaka 700,000

    Hivi unajua kwamba mamlaka ya mapato wanaweza kukuongezea Kodi? Kitaalamu hii inaitwa Tax Jeopardy. Kuna sababu kadhaa zinazoweza kupelekea ukafanyiwa Tax Jeopardy mfano; 1. Unashindwa kujifanyia self assessment. Hapa mamlaka ya mapato wanaamua kukukadiria wao wenyewe. 2. Unachelewa sana ku...
  8. MK254

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa wataalam tisa wa nyuklia Iran wameuawa, watamaliwa wote

    Ni hatia kwa kobaz yeyote kubobea kwenye utaalam wa nyuklia, utawindwa popote, sijui Pakistan waliachiwa aje, uzuri India wanawapumulia huko, japo siku Pakistan watajifanya kuonyesha chuki kwa Israel, na wao watafuatwa huko huko... Israel anawamaliza wataalam wa nyuklia Iran, ukiwa kobaz jikite...
  9. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa tathmini ya Maumivu kwa Iran vs Israel. Hawa Mayahudi hawafai kabisa

    Hali ya sasa nchini Iran imekuwa ya kukaushwa sana, kufuatia mashambulizi makubwa ya Israeli yaliyofanyika tarehe 13 Juni 2025. Hapa ni muhtasari wa hali: Mapigano na Uharibifu Mashambulizi ya Israeli: Operesheni iliyopewa jina la “Rising Lion” iliwashirikisha ndege za kivita zaidi ya 200...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hadi sasa derby ya Kariakoo tarehe 25, Yanga anaongoza 2-0 nje ya uwanja

    Kisaikolojia mbumbumbu wamepigwa knock out ya kushtukiza ambayo imewaacha wakiwa Awana la kufanya! Viongozi wao ni juzi tu wametoa kipeperushi cha kutokucheza mechi endapo itaghairishwa ya trh 15,,lakini kabla jogoo ajawika bodi ikatangaza kughairisha mechi na kupeleka trh 25! Sasa viongozi wao...
  11. R

    JamiiForums Tanzania ELIMU YA MTAANI: Tusubiri mpaka Polisi wafike eneo la tukio au tumuwaishe hospitalini??

    Eti wakuu, Jenga picha upo kijiweni saa 12 jioni baada ya kutoka kazini, mnapiga story mbili tatu, mara ghafla linatokea tukio la uhalifu, mtu mmoja anapigwa risasi barabarani/mtaani. Ila baada ya kumtazama vizuri mnagundua kuwa huyo mtu anatiririka damu nyingi sana lakini hajafa. Sasa hapa...
  12. Hharyson

    JamiiForums Tanzania Who need this? 5bedrooms on 1500sqm plot estimated cost mpaka roofing with decra roofing tiles (235m)

    🏗️ Mkuzibuilders – Your Trusted Building Partner! We specialize in building design, construction, renovation, and consultation services. Whether you're starting from scratch or upgrading your space, our expert team is here to bring your vision to life with quality and professionalism. 📞 Call...
  13. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi Tabora girls ajifungua chooni, mpaka anapelekwa hospitali hakujulikana kuwa na ujauzito, alidaiwa kuumwa kichwa na mguu

    Mkuu wa mkoa wa Tabora, Paul Chacha ameagiza kukamatwa kwa Bodaboda aliyempa mimba mwanafunzi wa shule ya sekondari Tabora Wasichana (Tabora girls) kuhamishwa kwa walimu wenye miaka zaidi ya 10 katika shule hiyo na kuchunguzwa kwa Daktari aliyemfanyia vipimo mwanafunzi huyo aliyejifungulia...
  14. Fbn

    JamiiForums Tanzania Haya yote ni Nyerere ile sera yake “Kidumu cha Mapinduzi “. Kumbe mpaka kwenye jeshi inatumika mfano vita vya Kagera

    Ukifatilia makala ya vita vya kagera kuna video zinaonyesha wanajeshi wanataamka kidumu cha mapinduzi. Ni jambo la kujiuliza kwa nini hii sera kidumu chama cha mapinduzi hipo mpaka kwenye vyomba vya ulinzi.
  15. W

    JamiiForums Tanzania Niliwahi kumjua mtu poa sana ila nilipogundua ni jambazi hadi kupigwa kwake risasi, tangu siku hiyo naishi na watu kwa umakini sana

    Hapo zamani niliwahi kuishi na jirani, Tulikuwa tukiishi kwenye nyumba moja iliyogawanywa sehemu mbili. Alionekana mpole, muelewa, mpenda mazoezi na mtu wa kuaminika. Tulikuwa tukiongea mara kwa mara, na kila kitu kilionekana kiko sawa. Siku moja niliwahi kutembelea sehemu aliyodai kuwa ofisi...
  16. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Tunaposema no reforms no ELECTION ni mpaka mabadiliko yafanyike na sio uchaguzi wa mchongo upite tutaendelea hadi mabadiliko

    Tunaposema no reforms no ELECTION ni mpaka mabadiliko yafanyike na sio uchaguzi wa mchongo uishe tutaendelea hadi mabadiliko. Kama samia anajikimbiza kwenye uchaguzi wa mchongo ili kujiwaisha sisi wimbo ni ule ule no reforms no ELECTION hatuutambui uchaguzi bila mabadiliko.
  17. E

    JamiiForums Tanzania TanzaGIZA Serikali mfu kuanzia BUNGE mpaka VYUO VIKUU

    kwema ndugu zangu wa kitanzania Hivi serikali imeshindwa kabisa kuendesha mwendokasi Hivi Tanzania nzima hakuna kichwa/mtu wa kuweza kusimamia mwendokasi Hivi UDSM inazalisha wasomi kweli au ni chuo cha siasa, yaani Chuo cha TAIFA kimeshindwa kutoa akili moja ya kusimamia Mwendokasi Hivi...
  18. Hharyson

    JamiiForums Tanzania Modern & Affordable 3-Bedroom Contemporary Storey Design – 400sqm Plot (estimated cost mpaka roofing 90m) call us for more +255624004650

    Modern & Affordable 3-Bedroom Contemporary Storey Design – 400sqm Plot estimated cost mpaka kupaua 90m tunapatikana sinza dar es salaam call/whatsap +255624004650 This thoughtfully designed contemporary double-storey home strikes the perfect balance between affordability, style, and...
  19. B-2 STEALTH BOMBER

    JamiiForums Tanzania Tutaelimisha mpaka babu na bibi zetu kuhusu hili la NO REFORMS NO ELECTION

    Wakuu mpo wazima hapa. Binafsi nimeamua kuwapa elimu ya NO REFORMS NO ELECTION babu na bibi yangu pia wazazi na wajomba na mashangazi. Kwa wingi wa vijana wa kitanganyika na zanzibar tunao uwezo wa kuifikisha NO REFORMS NO ELECTION kila kona ya nchi yetu. Tuna weza na tutawafikia wote...
  20. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Mtoto mwendawazimu hapaswi kupewa urithi. Familia inaweza kukodi mgeni aje atawale watoto mpaka watakapojitambua

    Baba na mama wakipata ajali wakafa au wakafa kwa maradhi huku watoto wao 6 ni watano wadogo na mkubwa mwendawazimu ili kulinda mali yule mwendawazimu akaropoka Mimi siwezi kuongoza aje jirani aongoze wakikua hawa wadogo zangu watachukua mali za baba. Akarudia tena " Mimi siwezi" Jirani akaja...
Back
Top Bottom