Katika dunia ya leo ya kidijitali, kuuza ebooks (vitabu vya mtandaoni) imekuwa moja ya njia rahisi na faida kubwa ya kutengeneza pesa — hata ukiwa nyumbani tu. Haijalishi kama wewe ni mwandishi, mjasiriamali, au mtu mwenye maarifa ya kipekee — unaweza kugeuza maarifa yako kuwa chanzo cha mapato...
Yaani mpaka ofisini unakosa raha, unajikuta ni outsider (mtu wa nje), mpaka inafikia kipindi ofisini wanaongea kilugha chao, na hujui wanachozungumza.
Kwenye ajira wakijua kuna mtu wao watambeba kwa namna yeyote ile labda ashindwe yeye tu lakini wakijua ni mtu wa kabila lingine watamuwekea...
Ndugu zangu Watanzania,
Maneno yana nguvu,maneno yanaleta hamasa,maneno yana leta ushindi ,maneno yana ponya ,maneno yanaweza fanya Mtu akaingia uwanja wa vita bila silaha mkononi kupambana na mwenye silaha ya kivita na akashinda vita bila silaha, maneno yanaleta amani ya moyo ,maneno yanaleta...
Kwa Tanzania Bara kumekuwa na ongezeko la Idadi ya shule za msingi kutoka shule 3,270 mwaka 1961 hadi shule 20,384 mwaka 2024.Shule za sekondari zimeongezeka kutoka 41 mwaka 1961 hadi kufikia shule 6,263 mwaka 2021.
Kwa mfano kila shule ikatengèwa billion 5 ili iwe katika kiwango kinachotakiwa...
"Umasikini wetu ni umasikini wa makusudi Hivi inawezekanaje eneo linalotoa madini yasiyopatikana kwingine kokote duniani halina maji ya kunywa mpaka leo? Maji yanatoka ziwa Victoria yanakwenda Misri Jangwani watu wote wanapata maji, kutoa maji kutoka Arumeru yafike hapa imeshindikana miaka 63...
Wakuu,
Mapenzi ni ugonjwa,Kuna wakati unaweza ukapenda mpaka ukaona Bora watu wote wafe ⚰️ili Dunia yote iwe Yako peke yako
Kuna kipindi nilimpenda mdada mmoja hivi black 🖤 ❤️ sana nilikuwa nahsi kama ndipo nimefika,hata kama nikiambiwa mabaya yake hakika nilikuwa naenda kumwambia
Nilikuwa...
Wakuu
Ebu tumjadili huyu kijana ambaye amereform kutoka kuwa shoga mpaka kuwa kondoo wa Bwana.
Huyu jamaa nijuavyo hana kazi yoyote ya kumuingizia kipato.ila nashangaa anajimwambafai eti anataka kuoa. Sasa swali langu huyo mke atamlisha nini?au anataka achapiwe na wahuni arudi kwao Mbeya bila...
Habari wanaJF , Ni siku nyingine tena Mwenyenzi Mungu anatupa nafasi ya kuendelea kupambana na katafuta Maisha .
Binafsi namuona Askofu Gwajima ni yule yule alichoamini jana ndicho anachoamini leo .
https://youtu.be/8meTag4tsR4?si=_cIUS_w1pGQCI6Z9...
Msiseme hamkusikia lkn habari ndiyo, mpaka mwaka 2026 > 50% ya ardhi ya Tanzania ( bila visiwani pemba na unguja ofcourse) kuwa hifadhi, kwa ambao hilo neno litawatatiza na kuweza kurelate maana yake ni kwamba 50% ya ardhi ya tanzagiza kuwa kama hifadhi ya ngorongoro au serengeti out of bounds...
Hadi hapa Chini TEC wanashangaa, inakuaje muda wote huo mpaka Sasa hamna kinachoendelea Mahakamani.
https://x.com/HildaNewton21/status/1926620724153688282
Sasa ni ukweli uluo wazi, Genge linaloendesha Mauaji na Utekaji ni Genge la Rais .
Sasa Polisi wakisema tunamkamata, tunampeleka Mahakaman...
Huu ni wimbo maarufu, zamani ulikuwa ukiimbwa na wanaCCM kuahidi kuilinda CCM mpaka siku ya kifo chao. Baadae CHADEMA nao wakauchukua ukawa ni miongoni mwa nyimbo maarufu za chama, wakiapa na kuahidi mbele za Mungu kuwa watailinda CHADEMA mpaka siku za mwisho za uhai wao. Sasa najiuliza kulikoni...
Kama kuna ukweli ambao dunia ingekuwa wanadamu wamezidi kuishi mwaka bilioni 1 moja tu ambayo wameishi wanyama na wengine wamekosa basi tungekuwa na mambo mengi.
Siwezi kukubari kuwa mwanadamu alikuwa miaka ya bilioni zaidi ya wanyama.
Ina maana kuwa kuna viumbe vilikuje hapa kutengeneza watu...
Simba mpaka mda huu hawajajaza uwanja bado hii ni ajabu au ni karma ya kula fedha za Zulma
Wataujaza ila hakuna aliyetegemea itakuwa ni kwa mwendo wa konokono
MUNGU WA BABA YANGU
SUGUYE NABII HAJAWAHI KUSHINDWA
ALINISHINDIA MAOMBI MECHI YA MOROCCO
MUNGU HUYUHUYU WA NABII SUGUYE TUNAKWENDA KUSHINDA TENA HAPO ZNZ TEAM BERKANE
HAPA TUKO KWENYE MFUNGO WA SIKU TATU MWISHO KESHO NASEMA HIVI TUNAHARIBU MAADUI ZETU WOTE
TUNAKEMEA WASHINDWE LOLOTE...
Kumbe ilikuwa uvamizi uliopangwa.
Kuja kwa wanaharakati toka Kenya Uganda na kwingineko kulikuwa kumepangwa na taasisi ya bilionea Soros toka Marekani.
Taasisi hiyo ni Open Society Foundation.
Sikiliza clip na tujifunze kitu hapa.
Cha ajabu ni kwa yule mwanaharakati Mwangi aliye lala Serena...
JKT imetengezwa kama livyo tengezwa uganda.
Vita vya Kagera kuna vitabu vingi na mambo mengi ambayo yalifichwa sana.
Ila Uganda kulibeba ukabira mpaka ukafikia sasa kudai udini.
Mimi sio mzuri sana wa kuweka mambo mengi ila kisa cha Museveni na Sudani wa Al Bashuri ilikuwa ukabila na udini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.