movies

  1. F

    Wazazi kamwe msiwaruhusu watoto wenu kuangalia filamu za kutisha (zombie & violent movies), kuna mkakati hatari wa shetani kwenye movie hizi!

    Same. Mwanafunzi wa darasa la sita shule ya msingi Majengo wilayani Same, mkoani Kilimanjaro Brian Elisha Godson (12) amejiua kwa kujinyonga akitaka kuigiza kama filamu ya kujinyonga aliyoipenda kuiangalia akiamini hatakufa. Godson anadaiwa kufanya jaribio hilo kwa kujinyonga na shuka saa 12...
  2. Movies za kizungu, kichina, kihindi, kifilipino zilizowekwa kiswahili ni mizinguo

    Binafsi huwa nikikutana na movi za aina hii basi natafuta njia nyingine kuzikwepa. Walioweka kiswahili wananogesha hadi wanaharibu. Angalau waweke subtitles.
  3. Biashara ya movies na jinsi ya kufuatilia

    Habari wadau, Nimuda sasa nimekua na wazo la kuanzisha biashara ya kuuza movies mbalimbali ambazo nitakua nimeserve kwenye server fulani. Tatizo mimi ni muajiliwa na sintokua na muda wa kuifuatilia kwamba kwa siku zimezwa movies ngapi kwa kunyonywa kutoka kwenye computer Naomba wadau kama kuna...
  4. Kwa wapenda Movies na series wanaotaka kujidownloadia wenyewe, darasa hili hapa

    Kwa internet ya hapa kwetu bongo nimeona hii angalau ni nyepesi na inaokoa bando, wengi wakitumia mbinu ya apps kama utorrent muvi ya Gb 1 unakuta inatumia gb 1 na nusu, pia ukisahau kustop inaendelea kufyeka MB. Hii njia ipo fresh.
  5. Moja ya vitu ambavyo directors wa action movies wanafeli

    Mazungumzo mafupi kati ya Jambazi aliyeshilia mateka na Starling anayetaka kumuokoa mateka Jambazi: "Weka silaha yako chini, ukisogea hatua moja namuua huyu" Starling: "Sawa nimekubali naweka silaha chini" Jambazi ambaye kamuwekea silaha kichwani mateka na kumuamuru starling ambaye...
  6. Movies 15 ambazo hupaswi kuzikosa kwenye Library yako muda wote

    1. Lone Survivor (2013) 2. The Covenant (2023) 3. Extraction (2020) 4. 13 Hours (2016) 5. Operation Red Sea (2018) 6. Without Remorse (2021) 7. Mad Max: Fury Road (2015) 8. Saving Private Ryan (1998) 9. The Old Guard (2020) 10. The Hurt Locker (2008) 11. Hacksaw Ridge (2016)...
  7. Movies za Yesu

    Kati ya movies za Yesu ipi ulioikubali sana? Kati ya ile ya 1979 ambayo ilikuwa so popular hadi waliitafsiri kwa kiswahili au the passions of Christ? Personally me ile ya kwanza ilikuwa nzuri sana but lugha haikuwa halisia kwani Yesu hakuongea kiingereza bali Aramaic ila stori was good na...
  8. Msaada wa app au jinsi ya kudownload latest movies

    Yeyote anayefahamu jinsi ya kudownload latest movies maana ninejaribu megabox kwa kutumia torrent sipati matokeo mazuri na pia popcorn time kwangu haifanyi kazi tena Mwenye njia mbadala anipe maujuzi
  9. Wazee wa Movie, John Wick 4 vipi?

    Salaam kwenu. Naulizia hiyo movie hapo juu kwa mwenye direct link au hata torrent ambayo sio CAMRip au WebCam iwe HD naomba anijuze please. Natanguliza shukran.
  10. Wewe ni mtu wa movies halafu haujaiona Casablanca?

    Ni kama wewe ni muwindaji haujawahi kumuona simba, au ni mvuvi haujawahi kumsikia nguva. Okay maybe utasema simba wapo mpaka leo na sio mfano halisi, basi niseme ni kama wewe ni palaeontologist na haujawahi kusikia habari za dinosaur.
  11. Bongo movie bila steven kanumba

    Ni miaka 11 Sasa tokea kifo Cha star mkubwa wa maigizo,the great Steven kanumba kutokea,kanumba alikuwa na content yake special iliyokuwa inambeba,sijaona wakuziba pengo lake,bongo movies ya Sasa Amna aliofikia level ya kanumba kwenye kuigiza,kipaji mpaka production. Steven kanumba baada ya...
  12. Je, ungependelea kupokea Personalized Movies recommendations ndani ya Email Inbox yako 📨?

    Weekend ikiwa inakaribia, Kwa sisi wapenzi wa Movies ambao tunafanya shughuli zetu nyingine mbali mbali huwa inakuwa ngumu kupata Movies sahihi za Kuangalia kwa sababu hatuna vyanzo wala muda wa kuzunguka internet kupata Movies tunazozitaka. Kutatua hilo kuna hii Movie Newsletter by...
  13. N

    Weekend Movies

    Wadau wa movies,Kuna movie moja imechezwa Africa na watoto wawili, mmja dogo wa kiume na mwingine wa kike(west Africa) hope Cameron. Madogo wote wanandoto za kuzamia ulaya kupitia Morocco to Spain.Madogo wanapanda ndege kule matayle ya ndege yanapojikunjia..........wapo juuu barid kinomaa...
  14. Nimenunua flash 32gb lakini ukiweka movies au audio au photo haziplay na wala hazioneshi

    Flash nmenunua ila kwenye computer inasoma vizuri na ukiweka movies zinaonyesha zimeingia ila ukiitoa kwenye computer halafu ukairudisha tena hazionekani movies yaani inasoma haina kitu kama kuna msaada naweza kuupata kwa anayefahamu jinsi ya kuiseti.
  15. Wapenzi wa Gangster movies tukutane hapa

    Hello ndugu zangu wapenzi wa Gangster movies ni movie gani ya mahadhi haya unaipenda??kwanini??quote gani unaipenda??Mimi Naipenda Sana The Godfather haswa scene ambayo Don Corleone anachezea paka
  16. Natafuta mtu atakayenipunguzia mzigo wa filamu kwa bei ya jumla

    Kijana wenu hapa nafungua movie library ya kisasa, kudownload movie zote itakua time consuming, mwenye ana collection ya movie kali zote za 2020 to 2022 aliyepo mwanza tunaweza punguziana nikakupa ela kidogo ya wi fi.
  17. Kwenye martial arts movies hakujawahi kuwa na fight scene bora kama hii

    Movie ni wheels on meals. Jack Chan vs Benny Urquirdez
  18. Nitumie Plexi, showbox, Febbox au huduma ipi yenye uhakika na idadi kubwa ya movies / series ?

    Mwezi huu nataka nijipe kalikizo kidogo baada ya kuchoshwa na kazi ngumu za useremala kwa miezi 11 iliyopita, Ni muda wa kuchill atleast Najua wengi mtakimbilia kuniambia nishushe series kwa torrennts lakini amini usiamini si kila kitu kipo kwenye torrents, kuna series kibao kama za netflix na...
  19. Jifungie zako ndani, tazama filamu hizi

    It's been a damn long time kiunga hiki, hope mko poa nyote, karibuni tena uwanjani hapa tupendekezeane filamu nzuri za kutazama katika kipindi hiki cha weekend, na hivi mvua inanyesha ukikaa zako ndani unafurahia muda wako to the maximum! Tazama hapa .... 1. THE 8th NIGHT Miaka alfu mbili...
  20. UTAFITI: 95% Ya wanaofanyia kazi nje ya ofisi wana "stream" movies na muziki muda wa kazi

    50% kati yao walikubali kutiririsha movies wakati wa saa za kazi, mfanyakazi 1 kati ya 5 alisema anatiririsha maudhui wakati wa muda wa kazi kwa sababu wanahisi kulipwa kidogo. 25% ya wafanyakazi walikiri kuchelewa kufanya kazi ili kumaliza kutazama vitu mtandaoni. Kwa mujibu wa utafiti mpya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…