movie

Movie Movie is a 1978 American double bill directed by Stanley Donen. It consists of two films, Dynamite Hands, a boxing ring morality play, and Baxter's Beauties of 1933, a musical comedy, both starring the husband-and-wife team of George C. Scott and Trish Van Devere. A fake trailer for a flying-ace movie set in World War I entitled Zero Hour (also starring Scott) is shown between the double feature.
Barry Bostwick, Red Buttons, Art Carney and Eli Wallach also appear in both segments, with Harry Hamlin, Barbara Harris and Ann Reinking featured in one each. The script was written by Larry Gelbart and Sheldon Keller.

View More On Wikipedia.org
  1. VENKO

    JamiiForums Tanzania Movie library frem & vyombo vyake inauzwa Mbeya(Nzovwe stand)

    Sold
  2. Lexus SUV

    JamiiForums Tanzania Ulijisikaje au ulikuwa na reaction gani pindi una angalia movie /series za kutisha sana , hasa nyakati za usiku

    Habari wanajukwaa , Wana nzengo katika jukwaa hili .... Leo tuongee jambo , ULIJISIKIAJE pindi una ANGALIA MOVIE / series za KUTISHA SANA yaaaani zile Kila dakika ni KUTISHA tuu Mimi muda huu naangalia ya KUTISHA balaa inaitwa The Strain....yaaaani ni series ya kuhusiana. Na virus na...
  3. figganigga

    JamiiForums Tanzania Chawa wa Bongo Movie, na Wasanii Uchwara hatuwaoni Wakitumbuiza Kwenye Kikao cha CCM cha Kubadili Katiba

    Kweli ya Mungu mengi, nani angejua Mkutano wa CCM unaweza fanyika bila Chawa? Bongo Movie na Chawa wote wa CCM wwalikuwa anapambana kushonesha nguo za Kijani hadi kuwatukana mafundi wetu. Hii picha sasa ndo wajue Dunia hubadilika na mambo ya kibadilika hawana uwezo wowote. Chawa sijaona...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Azam hizi movie za jioni za Fahari na sijui Taswira za hovyo kabisa; movie ni Vacation na baba lao Kombolela

    Ina maana Azama mmekosa kabisa movie za maana zinazosisimua, zinazoburudisha na kuelimisha? Fahari haieleweki kichwa na mkia viko wapi, hakuna connection and continuity naona tu wahusika wanajazana kubadilishana huwezi elewa ht muelekeo na connectio from the past. Mtunzi wa hii kitu ni zero...
  5. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Don't Look Up; Umeangalia hii movie?

  6. Brojust

    JamiiForums Tanzania Je ? Huyu director wa hii movie anataka kuiambia nini Dunia

    Wakuu, Najua wengine mpo kanisani sasahv au ndio mnajiandaa kwenda. Licha ya nyuzi nyingi sana hapa jukwaani naomba kujua kwa uchache tu. Director wa hii movie anataka kuthibitisha nini kwa walimwengu. Natanguliza shukrani. Freedom is coming, No Reform, No Election. Kidumu chama Cha...
  7. mgobole

    JamiiForums Tanzania CHANNEL ZOTE NA MOVIE KWA KUTUMIA WI-FI YAKO TU

    KAMA UNA WI-FI UNLIMITED INTERNET NIITE NIKUWEKEE APPLICATION KWENYE TV YAKO UTAKAYOWEZA KUANGALIA CHANNEL ZOTE DUNIANI za michezo na burudani NA SITE ZOTE ZA MOVIE NA SERIES LATEST KWA GHARAMA NAFUU SANA.. 0744680670
  8. KENZY

    JamiiForums Tanzania Nyinyi waangalia movie kwanini hamkuniambia kuwa nisiangalie "straw"..?

    Nimewamind sana!, yani mimi na ujasiri wote nilionao lakini machozi yakataka kunitoka na hapo nilikuwa naangalia peke yangu!, ningekuwa na yule mshangazi wangu ningeaibika sana!.. Kusema kweli mmenilet down sana ile muvi ina emotions sio kitoto maana inagusa maisha ya mtu wakawaida...
  9. Mama Edina

    JamiiForums Tanzania Naisaka movie ya room na 1048

    Ni movie kali naitaka hii
  10. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Movie scenario!, ni lazima awepo mtu ndani ya CCM, aonyeshe kutokubaliana na hali iliyopo!

    Balancing the equation, baadhi ya wakosoaji ni lazima watoke ndani ya ccm ili kutengeneza uwiano ulio mzuri, #Hata Wana ccm wenyewe hili jambo linawashangaza sana juu wahalifu, katika kuendeleza ualifu wao, Siamini ya kuwa hata chadema wenyewe wanaidadi kubwa namna hii inayodaiwa watu kupotea...
  11. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Video: Je, G55 walitapeli wenzao? Mzee Rungwe ameamua kupata kiinua Mgongo? Movie inaanza kuharibika

    Kwenye video wanaonekana wanachama wawili wa CHAEma wanaosema waliambiwa wanaenda kuhudhuria mkutano wa CHADEMA Dar lakini walipofika wakashangaa kukuta ni mkutano wa CHAUMMA. Wanasema wao si CHAUMMA, bali ni CHADEMA japokuwa walihudhuria mkutano huo?
  12. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasanii wa bongo movie wamshukia Martha Karua

    Wakuu Hivi hawa wasanii na haswa huyu Jimmy Mafufu huwa wanaelewa hata wanachokiongelea? Wana elimu hata ya kuhusu diplomasia ama huwa wanaongea tu? Na huyo anayewatuma huwa anatambua anachokifanya? mana ni aibu kwa kweli. === Msanii wa maigizo nchini maarufu kama Jimmy Mafufu amuweka...
  13. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kwahio salome ataondoka na aziz au ndoa ilikuwa ni ya bongo movie

  14. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Movie itayokutoa machozi mwaka 2025

    MOVIE ITAKAYO KUTOA MACHOZI MWAKA 2025 Movie Kali yenye historia ya kweli ndani yake baharini Kuna Tisha sana kijana aliyekufa na kukufuka baada ya kushindwa kujiokoa kazini 👇🏾 https://youtu.be/CnjOMxEUDjo #bongo #bongomovie #movieclips #movies #movienight #LastBreath #Movies2025 #netflixmovies
  15. youngkato

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri movie gani kali niangalie

    Movie yoyote ambayo itanifundisha au itabadirisha mindset yangu hasa katika kupambana na umaskini. Asante Jina tu la movie linatosha
  16. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Movie kali sana unatengeneza roboti kumbe

    Unatengeneza Roboti kwa ajili ya kusaidia kwenye kulinda nchi na ulimwengu, kisha anakusaliti na kutaka kuitawala Dunia je atafanikiwa movie yenye ukatili kinoma 🔥🔥🔥 https://youtu.be/DgxBGtYo1mI
  17. X

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo sababu kwa nini wanawake wengi wanaipenda movie ya "TITANIC"

    Titanic ni moja ya movie duniani ambayo mpaka sasa iko kwenye rekodi ya movies zilizouza sana duniani hadi kufikia gross sales kwenye box market USD 1 billion. Movies nyingi huwa zina starring na kubwa la maadui (villain). Kwa miaka mingi wengi wameitazama hii movie ya TITANIC ila mpaka leo...
  18. Slowly

    JamiiForums Tanzania Video: Wale mnaopenda movie za Mafarasi hivi ndivyo mnavyodanganywa

  19. R

    JamiiForums Tanzania Movie ya action steringi akiwa mwanamke huwa siangalii kabisa, mnaoziangalia mnawezaje ?

    Muvi hata isifiwe iwe kali kivipi nikishaona star ni mwanamke anaetembezea kipigo wanaume huwa sina time nayo kabisa. Kiuhalisia mwanamke mtu mzima mwenye miaka 28 anaweza kupigwa vizuri kabisa na mvulana wa form 2 mwenye miaka 15
  20. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Movie kali ya weekend

    Movie Kali ya weekend Wakati mwingine usipende kuishi pekee yako ni Hatari kilichomkuta huyu dada ni fundisho kwa wengine movie Kali sana https://youtu.be/bYF1bbjCdEg Unaweza kuidownload yote na kuweza ku enjoy weekend yako movie Kali sana
Back
Top Bottom