ANDROID BOX TV STREAMING DEVICE (MOVIE & SPORT) NK....

ANDROID BOX TV STREAMING DEVICE (MOVIE & SPORT) NK....

Eugene jun ba

Member
Joined
May 26, 2024
Posts
63
Reaction score
36
kuna yoyote anatumiia aina hii ya android box (TV BOX MXQ PRO 4K 5G) na amesha wai kuweka app ya onstream ? Na bila kupata shida yoyote kwenye kuplay movies au series kwenye app iyo

maana me hapa napata shida moja nikitaka kuplay movies inafunnguka kabisa na unaona ila kuna background ya kufifia inakuja na ujumbe wa code ya m3u.
550x464.jpg
 
Back
Top Bottom