Movie 🎦 night 🌃

Movie 🎦 night 🌃

Elevenn

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2021
Posts
9,775
Reaction score
19,446
Kwanza kabisa nitoe pole kwa kulifanya hili jukwaa lote linitazame mimi pekee kwa siku za hivi karibuni... Binafsi Itabidi mnizoee tu ninapenda sana kuwa the center of attention..

Narudi katika mode ya kawaida sasa baada ya kui feed ego yangu.

Leo Nitakuwa ni kiangalia movie ya spiderman brand new day.
03ed74b4c57ea991ef4e5f0aa84d26fb.jpg


Nimekuwa nikiifatilia series yake toka ile ya kwanza kabisa... Ya mwaka 2000.

Kwa hakika ni movie nzuri sana kama mfuatiliaji..

Kinacho niweka sana kwenye hii movie ni ile bond ya Peter Parker na Marry jane
b3a6d589b46a6d689439622168a8074e.jpg


Na last time illishia pale Parker alipo fanya time-lapse akarudisha mind za watu wote wa sahau asijulikane including MJ... Na ilimuumiza sana.

Sasa sijui Ilikuaje kwenye hili toleo...

Am so excited to watch this tonight..

Je, unapenda hii movie? Msije mkanipa uhondo wote.. I wanna experience this piece of art..
 
Back
Top Bottom