moto

Grand Prix motorcycle racing is the premier class of motorcycle road racing events held on road circuits sanctioned by the Fédération Internationale de Motocyclisme (FIM). Independent motorcycle racing events have been held since the start of the twentieth century and large national events were often given the title Grand Prix. The foundation of the Fédération Internationale de Motocyclisme as the international governing body for motorcycle sport in 1949 provided the opportunity to coordinate rules and regulations in order that selected events could count towards official World Championships. It is the oldest established motorsport world championship.Grand Prix motorcycles are purpose-built racing machines that are unavailable for purchase by the general public and unable to be ridden legally on public roads. This contrasts with the various production-based categories of racing, such as the Superbike World Championship and the Isle of Man TT Races that feature modified versions of road-going motorcycles available to the public. The current top division is known as MotoGP since 2002 when the four-stroke era began. Prior to that, the largest class was 500cc, both of which form a historical continuum as the official World Championship, although all classes have official status.
The championship is currently divided into four classes: Moto Grand Prix, Moto2, Moto3 and MotoE. The first three classes use four-stroke engines, while the MotoE class (new in 2019) uses electric motorcycles. The 2019 MotoGP season comprises 19 Grands Prix, with 12 held in Europe, three in Asia, two in the Americas, and one each in Australia and the Middle East.
The most successful rider in Grand Prix history is Giacomo Agostini with 15 titles and 122 race wins. In the top-flight series, Agostini holds the title record with eight, followed by active riders Valentino Rossi with seven and Marc Márquez with six. As of 2019, Rossi holds the record for most top-flight race wins with 89.

View More On Wikipedia.org
  1. I

    Hoja za Lisu ni kaa la Moto

    Nimekuwa nikifanya follow-up ya hoja za Lisu jukwaani ambazo kwa sasa zimesambaa kwa Kasi sana karibu kila usafili wa ardhini, majini na angani wanafuatilia very closely Kwanza jamaa ana akili sana anajua aongee nini na wakati gani. Anajua aongee nini na adui atarespond vipi ili ammalize...
  2. Erythrocyte

    Video : Mbeya moto ! Sugu atikisa tena , awachezesha dansi wapiga kura jukwaani , uwanja walipuka kwa shangwe

    Mbunge wa Milele wa Mbeya Mjini , Joseph Mbilinyi Jongwe , leo tena kwenye kampeni zake ameiteka tena Mbeya bila bunduki kwa kuwachezesha dansi wapiga kura alipokuwa kwenye mkutano wa kampeni . Huyu hapa .
  3. FrankLutazamba

    Ukitaka guest, lodge au motel ijae na ipendwe basi isikose vitatu ndani ya vyumba,tv,computer, maji ya moto, ofa ya polisi 2 kulala bure

    Computer utaweka kila chumba kitakachobaki ni mteja kuja na modem yake kwa ajili ya internet,kama hana basi aje na flash ya nyimbo au device nyingine,TV pamoja na maji ya moto,na ofa ya polisi wawili kulala Bure hotelini kwako utakuwa umeweka ulinzi bila wao kujua.naiomba serikali iamlishe kila...
  4. Miki123

    Wanajeshi wa Korea Kaskazini wamchoma moto mwanajeshi wa Korea Kusini

    Wanajeshi wa korea kaskazini wameonyesha mfano wa kutovumilia yoyote anayehatalisha hali ya usalama ya taifa hilo. Wanajeshi wa kim jong un jumanne ya wiki hii wamemchoma moto na kumpiga risasi mwanajeshi wa korea kusini kwenye eneo lenye ulinzi wa hatari DMZ. Mwanajeshi wa korea kusini alikuwa...
  5. The Palm Tree

    Video: Huyu ndiye mgombea ubunge jimbo la Kawe

    CCM ndiyo inataka kutupelekea wabunge wa dizaini hii halafu, weupe na wasio na uelewa na ufahamu wa namna serikali inavyofanya kazi. Gwajima anataka kuwaaminisha wananchi kuwa utofauti wa bei ya sukari unasababishwa na mbunge kutosema. Kwa usomi wake na exposure aliyonayo kila mtu alitegemea...
  6. Kurzweil

    Jengo la Utawala la Chuo Kikuu Makerere lateketea kwa moto

    Moto mkubwa umezuka katika jengo la Utawala la Chuo Kikuu cha Makerere Jijini Kampala nchini Uganda usiku wa kuamkia leo Jengo hilo ni moja ya vivutio Jijini Kampala hivyo taarifa za kutokea kwa moto zimewaumiza wengi Hadi sasa chanzo na kiwango cha hasara iloyosababishwa na moto huo...
  7. Erythrocyte

    Bashiru Ally ameongoza mazishi ya watoto walioungua moto huko Kyerwa Kagera kama nani?

    ITV imemuonyesha Katibu Mkuu wa CCM ndugu Bashiru Ally akitajwa kuwa mgeni rasmi kwenye mazishi ya watoto 10 waliozikwa leo huko Kagera, sina shida na mtu yoyote kuhudhuria mazishi yoyote popote lakini kumpa cheo cha kuongoza mazishi mtu asiye na cheo chochote kwenye Serikali yetu ni dharau...
  8. J

    Serikali imetoa Tsh 250,000 kama ubani kwa kila familia ya mtoto aliyefariki kwenye shule ya waislamu Byamungu

    Serikali imetoa ubani wa sh 250,000 kwa kila familia iliyofiwa na mtoto kwenye ajali ya moto katika shule ya waislamu huko Kyerwa mkoani Kagera. Kadhalika Serikali inawagharamia wanafunzi wengine sita wanaopatiwa matibabu katika hospitali ya Bugando. Maendeleo hayana vyama!
  9. Course Coordinator

    Si ajabu tunawazika kwa heshima wale walio machukizo mbele za Mungu

    Wasalaam, Nilipokuwa kidato cha tatu, mwanafunzi mwenzetu alijiua kwa kunywa vidonge 16 vya chloroquine. Binti huyo aliyekuwa akiitwa Rebeka, alikuwa mzuri wa sura, umbo, na tabia na kwa kweli hakuna hata mtu mmoja aliyewaza kuwa mrembo huyo angeweza Kujitoa roho kikatili hivyo. Kifo chake...
  10. Erythrocyte

    GE2020 Godbless Lema kata kwa Kata Arusha ni moto, hii ni kata ya Levolosi

    Unajua tulishasema tangu awali kwamba hakuna mahali popote katika dunia hii ambapo shetani aliwahi kumshinda Mungu , huyu aliyekusanya umati huu anaitwa Godbless Lema , raia aliyewekwa jela kwa miezi minne bila hata kuhukumiwa.
  11. INTROVERT MAN

    Solution ya majanga ya moto mashuleni ni hii hapa

    Majanga ya moto ni hatari sana hakuna asiyejua. Mali na rasilimali nyingi ikiwemo binadamu hupotea kimasihara tu. Ajali za moto mashuleni kama iliyotokea jana imeleta simanzi nchi nzima. Nimekaa na kufikiria kuwa dawa ya hili tatizo ni serikali kuamuru shule zote zenye mabweni ZIFUNGE UMEME WA...
  12. G Sam

    Nini sababu ya shule za Kiislamu kuungua kipindi hiki? Mivumoni Islamiki nayo inaungua muda huu!

    Lazima ipo sababu tena inahitaji hatua za haraka. Leo kuna darasa linaungua huko Mivumoni Islamic
  13. Webabu

    Makao makuu ya Khalifa Haftar Benghazi yachomwa moto

    Baada ya kushindwa kupenya ngome zinazoizunguka Tripoli kwa zaidi ya mwaka mmoja na hatimae kurudishwa nyuma mbaali kabisa,sasa makao makuu ya kamanda muasi Khalifa Haftari huko Benghazi yamechomwa moto na waandamanaji walioingia mitaani kulalamikia hali mbaya ya maisha jijini humo. Hali hii...
  14. Influenza

    Kagera: Watoto 10 wamefariki na 6 kujeruhiwa baada ya shule Msingi Islamic Byamungu kuwaka moto

    Watoto 10 wamefariki na sita kujeruhiwa vibaya kufuatia moto ulioteketeza bweni la wavulana shule ya Msingi Islamic Byamungu iliyopo Kyerwa Mkoani Kagera. Hadi sasa chanzo moto huo hakijajulikana. Watoto waliopoteza maisha ni wa umri wa miaka sita hadi 12. Taarifa zaidi inakuja... ====...
  15. Analogia Malenga

    Vitasa Moto: Cozmas Cheka(Tz) amshinda Hannock Phiri (Malawi) kwa points

    Oi! oi! wazee wa one two, one two bu baa, bu baa, Uppercuts, cross na kila kitu leo Morogoro kinajiri, Kama kawa, matokeo utayapata katika huu uzi, Stay there, nitakuwa naweka matokeo ya mapambano kuanzia ya utangulizi hadi yenyewe Cosmas Cheka(Tz) Vs Hannock Phiri(Malawi) Ni pambano la...
  16. Sam Gidori

    Janga la Moto Marekani: Unaweza Kudhani Vita Vimetokea Katika Eneo Hili

    Asubuhi ya Septemba 11 ingekuwa asubuhi tulivu kama ilivyo asubuhi ya siku nyingine yoyote katika mji wa Phoenix, Oregon, Magharibi mwa Marekani, lakini haikuwa hivyo! Matt Manson anasimama kuangalia masalia ya gari lake lililoteketea kwa moto akiwa haamini anachokiona - magofu ya nyumba yake...
  17. Ghazwat

    Mwanza: Soko la Mlango mmoja lateketea kwa moto

    Moto mkubwa umezuka kwenye soko la Mitumba la Mlango Mmoja Kata ya Mbugani Wilayani Nyamagana jijini Mwanza leo asubuhi Septemba 28, 2018 na kuteketea vibanda vya biashara pamoja na maduka hivyo kusababisha hasara ambayo thamani yake bado hakijafahamika. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongella...
Back
Top Bottom