moto

Grand Prix motorcycle racing is the premier class of motorcycle road racing events held on road circuits sanctioned by the Fédération Internationale de Motocyclisme (FIM). Independent motorcycle racing events have been held since the start of the twentieth century and large national events were often given the title Grand Prix. The foundation of the Fédération Internationale de Motocyclisme as the international governing body for motorcycle sport in 1949 provided the opportunity to coordinate rules and regulations in order that selected events could count towards official World Championships. It is the oldest established motorsport world championship.Grand Prix motorcycles are purpose-built racing machines that are unavailable for purchase by the general public and unable to be ridden legally on public roads. This contrasts with the various production-based categories of racing, such as the Superbike World Championship and the Isle of Man TT Races that feature modified versions of road-going motorcycles available to the public. The current top division is known as MotoGP since 2002 when the four-stroke era began. Prior to that, the largest class was 500cc, both of which form a historical continuum as the official World Championship, although all classes have official status.
The championship is currently divided into four classes: Moto Grand Prix, Moto2, Moto3 and MotoE. The first three classes use four-stroke engines, while the MotoE class (new in 2019) uses electric motorcycles. The 2019 MotoGP season comprises 19 Grands Prix, with 12 held in Europe, three in Asia, two in the Americas, and one each in Australia and the Middle East.
The most successful rider in Grand Prix history is Giacomo Agostini with 15 titles and 122 race wins. In the top-flight series, Agostini holds the title record with eight, followed by active riders Valentino Rossi with seven and Marc Márquez with six. As of 2019, Rossi holds the record for most top-flight race wins with 89.

View More On Wikipedia.org
  1. denooJ

    JamiiForums Tanzania KKKT yasitisha matamasha yote yanayoambatana na maadhimisho ya Pasaka ili kuepuka maambukizi ya Covid-19

    Askofu Dkt. Frederick Shoo Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Dkt. Frederick Shoo, ametangaza kusitisha matamasha yote yanayoambatana na maadhimisho ya Pasaka, lengo likiwa ni kukabiliana na maambukizi ya ugonjwa wa COVID-19. Alitoa agizo hilo katika ibada ya...
  2. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa Bawacha moto mkali, fomu zaanza kuchukuliwa kwa kasi kubwa, wazito waanza kujitokeza kwa kishindo

    Waliojitokeza mapema kabisa kutia nia ni pamoja na Kamanda Elizabeth Mwakipesile ambaye kwa sasa ni Mwenyekiti wa Bawacha wa Mkoa wa Mbeya, Huyu yeye ametia nia kwenye nafasi ya Makamu Mwenyekiti Bara. Nako kwenye nafasi ya Mwenyekiti wa Bawacha Taifa amejitokeza mzito mwingine anayeitwa...
  3. kilamba lamba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ananikata moto hajui tu

    Habarin humu.! Nisipoteze muda niende kwenye mada. Aisee kuna vitu vinakata moto sana. Mtu umesota kupata namba yake, haya umembananisha ukapata namba yake, tena amekupa bila hiyana na bashasha tele, halafu unamcheki anaku blue tick halafu hajibu Ananikera ila sina jinsi bado nakaza mpaka...
  4. 2019

    JamiiForums Tanzania Vita ya Serikali na nzige yapamba moto huko Siha Kilimanjaro, Serikali inaweza kushindwa

    Hiyo ni wilaya ya Siha Kilimanjaro bado wanachanja mbuga wametokea Arusha hao. Tutapona njaa kweli?
  5. Saint_Mwakyoma

    JamiiForums Tanzania Hivi itakuaje kama JUA ndio jehanamu / ziwa liwakalo moto?

    Leo nimelitazama jua kwa muda kidogo kwa jinsi linavyochoma wakuu hii hisia ikanijia je? Kama ndio jehanamu alafu dunia nzina itatupwa ndani yake alafu ni jambo la milele nyie nyie eeeh! Hivi wakuu jua mnalionaje?
  6. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania MAPENDEKEZO: Bima ya nyumba iwe lazima kama ilivyo bima ya gari/vyombo vya moto

    Ukweli ni kwamba majanga ya moto kwenye makazi ya watu ni janga ambalo linagharimu sana maisha ya watu hapa nchini kwetu. Ajali za moto zimekuwa zikitokea na kugharimu maisha si tu ya wanafamilia lakini pia kusababisha uharibifu wa mali ya mhusika aliepata ajali na majirani zake. Mwisho wa siku...
  7. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Je, Wateule wa Rais wanatetea nafasi zao au wanaamini kuwa Rais Magufuli ni mtu mwenye akili na hawezi kukosea katika kila jambo?

    Nawasalimu katika jina la Muumba. Kila Rais anapotamka jambo, au kipindi kingine anapogusia mada fulani kwa maoni au hata kutoa ushauri siku chache mbele Waziri mwenye dhamana na mada husika lazima atatoa kauli au amri ya kushinikiza jambo lifanyike kama alivyoshauri Rais bila hata ya kuchukua...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Umasikini ni mbaya: Mtoto wa miaka 9 achomwa moto kwa tuhuma ya kuiba karanga Shinyanga

    Jeshi la Polisi mkoa wa Shinyanga linamshilikilia mwanamke aliyejulikana kwa jina la Christina Mwagi (29) kwa tuhuma ya kumjeruhi kwa kumchoma moto sehemu mbalimbali za mwili wake mtoto wake mwenye umri wa miaka 9 akishirikiana na mme wake (baba wa kambo) Yohana Michael (34) kwa tuhuma za kuiba...
  9. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wawasha moto Bungeni, Bulaya auliza swali zito kwa Waziri, Mdee naye ajiandaa

    Kwa sisi wakazi wa Bunda hii barabara ni muhimu sana. ===== Mbunge wa Viti Maalum kupitia CHADEMA Ester Bulaya, leo ameingia Bungeni pamoja na baadhi ya wabunge wenzake wa chama hicho na kueleza kuwa suala la kutokamilika kwa ujenzi wa miundombinu ya barabara limekuwa ni tatizo sugu na kuhoji...
  10. Transistor

    JamiiForums Tanzania Fahamu namna ya kuuzima Moto unaotokana na shoti ya umeme

    FAHAMU NAMNA YA KUZIMA MOTO WA SHOTI YA UMEME Habari wadau, Happy end of the month (January woyoooo),na happy new year kwa familia yooooote ya Home of Great Thinkers (HGT). Baada ya salaam twende kwenye maada yetu, FAHAMU NAMNA YA KUZIMA MOTO WA SHOTI YA UMEME Kama tunavyojua kuwa nishati ya...
  11. Richmoto Kushmoto

    JamiiForums Tanzania series ya cruel romance nimeelewa vibaya ni moto sana alee wah

    binti jinxiu familia yake inauliwa yote na wajapan anapona peke ake anakwenda mjini huko anakutana n a na dada yake lakini dada hamtaki naye anataka kulipa kisasi kwa vile baba ake na binti alimtenga mama ake sasa humo binti anakutana na zuo zhen jamaa mtemi sana wanakutana kwenye boti baada...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Iran kumbe ni moto wa kuotea mbali!

    IAEA yathibitisha mpango wa Iran wa kuzalisha uranium Shirika la kimataifa la Nishati ya Atomiki (IAEA) limethibitisha mpango wa Iran wa kuzalisha uranium. Mwakilishi wa nchi hiyo katika IAEA ameeleza kwamba mpango huo unalenga kuzalisha fueli ya aina mpya kwa ajili ya kinu cha nyuklia cha...
  13. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Wafugaji waliovamia hifadhi waondoke ndani ya siku 6. Mkirusha mikuki tutarusha risasi za moto

    Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila, ametoa siku 6 kwa Wafugaji Wilayani Mbarali kuondoa Mifugo katika Hifadhi ya Bonde la Ihefu na Ruaha kabla hawajachukuliwa hatua kali Amesisitiza "Nimetoa siku sita na nawaonya kwa Mfugaji yeyote atakayekaidi agizo hilo na kuleta mapigano katika uondoaji...
  14. King Kong III

    JamiiForums Tanzania Familia nzima yateketea kwa moto uliosababishwa na gesi

    Umuofia Kwenu wana JF, Bonne Annee and X-mas!! Ndugu Sigfrid Sisti Kimbi na familia yake yote yateketea kwa moto uliotokana na gesi! Mke na watoto mapacha wawili ndio walianza kufa na mme amefariki akiwa njiani anakimbizwa hospital KCMC kwa matibabu. ======= Ndugu zangu sisi familia ya Kimbi...
  15. CARIFONIA

    JamiiForums Tanzania Nani anaikumbuka hii AC Milan yamoto?

    Kwenu wahenga nani ana kumbukumbu na hawa miamba wa Italy AC Milan, ilikua ya moto kweli kweli.
  16. K

    JamiiForums Tanzania Vyanzo vya moto mabwenini

    Nimeipata mahali si vibaya ku-share Poleni kwa majanga ya moto mashuleni. Hivi punde jamaa alimfanyia interview mwanafunzi aliyemaliza form six, akasema alimwambia mashule yanaungua kwasababu huwa wana simu na huwa zinafichwa darini, wakitaka kuchaji wanakwangua waya wa umeme wanategeshea chaji...
  17. Nebuchadinezzer

    JamiiForums Tanzania Nimeumia sana na jinsi hali ya kisiasa inavyoendelea hapa nchini

    Nimeumia sana na jinsi hali ya kisiasa inavyoendelea hapa nchini. Nimeumia zaidi kuona viongozi wa dini wanavyosifia serikali hii iliyojaa kila aina ya dhambi na kuacha kukemea mauaji, ukabila na uchama unaoshamili nchini. Nimeumia sana kuona wasomi wenye elimu ya juu ambao wamesomeshwa kwa...
  18. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kujibu Mapigo: Mkutano wa Halima Mdee na Wanahabari Wayeyuka kama theluji mbele ya moto

    Hii ndio Taarifa ya sasa iliyozagaa kila mahali, Halima Mdee na waliomtuma wameshindwa kujibu mapigo kama walivyoahidi kutokana na kukosa hoja ya kupangua mawe mazito yaliyotupwa na Kamati kuu baada ya kuwavua uanachama. Badala yake kunafanyika maandalizi ya kuhamia CCM kama alivyotanabaisha...
  19. Billgates wa bongo

    JamiiForums Tanzania Kiboko ya majanga ya moto na vifaa vya usalama Tanzania

    KUTOKANA NA ONGEZEKO LA MATUKIO YA MOTO MAENEO MBAKIMBALI YAKIWEMO MAOFISINI, MAJUMBANI, MASOKONI,MASHULENI NA KWINGINEKO KUTEKETEA KWA MOTO NA KUTOA HASARA KUBWA. Ashe Creation Company Limited ni kampuni iliyosajiliwa kisheria na brella na kufuata taratibu zote za sheria ya usajili wa...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa acheni ushamba wa kuchoma moto mali za familia kwa kisingizio cha "hasira" za kufelishwa Uchaguzi!

    Mambo yaliyosikika kutokea Meatu mkoani Simiyu na Liwale na maeneo mengine ya Mikoa ya Kusini yanasikitisha sana. Ninaandika haya baada ya kushuhudia wananchi wa Lindi wakikitaja chama kimoja cha Upinzani kinachoongozwa na Profesa anayeheshimika duniani kwamba kinahusika na hii " choma choma"...
Back
Top Bottom