Fohadi
JF-Expert Member
- Jul 24, 2020
- 770
- 2,408
Habarini wakuu,
Kwa muda mrefu nimekuwa na hili tatizo la tumbo kujaa gesi na kama kuwaka moto...Niliwahi kupima huko nyuma nikaambiwa nina tatizo la vidonda vya tumbo. Nimetumia dawa na dawa ila bado hili tatizo linanisumbua.
naomba wataalamu mnishauri nifanye nini ili kumaliza hili tatizo la kuhisi kama tumbo linawaka moto.
Natanguliza shukrani zangu.