moto

Grand Prix motorcycle racing is the premier class of motorcycle road racing events held on road circuits sanctioned by the Fédération Internationale de Motocyclisme (FIM). Independent motorcycle racing events have been held since the start of the twentieth century and large national events were often given the title Grand Prix. The foundation of the Fédération Internationale de Motocyclisme as the international governing body for motorcycle sport in 1949 provided the opportunity to coordinate rules and regulations in order that selected events could count towards official World Championships. It is the oldest established motorsport world championship.Grand Prix motorcycles are purpose-built racing machines that are unavailable for purchase by the general public and unable to be ridden legally on public roads. This contrasts with the various production-based categories of racing, such as the Superbike World Championship and the Isle of Man TT Races that feature modified versions of road-going motorcycles available to the public. The current top division is known as MotoGP since 2002 when the four-stroke era began. Prior to that, the largest class was 500cc, both of which form a historical continuum as the official World Championship, although all classes have official status.
The championship is currently divided into four classes: Moto Grand Prix, Moto2, Moto3 and MotoE. The first three classes use four-stroke engines, while the MotoE class (new in 2019) uses electric motorcycles. The 2019 MotoGP season comprises 19 Grands Prix, with 12 held in Europe, three in Asia, two in the Americas, and one each in Australia and the Middle East.
The most successful rider in Grand Prix history is Giacomo Agostini with 15 titles and 122 race wins. In the top-flight series, Agostini holds the title record with eight, followed by active riders Valentino Rossi with seven and Marc Márquez with six. As of 2019, Rossi holds the record for most top-flight race wins with 89.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    Ripoti ya kamati ya Moto soko la Kariakoo imeshamalizika na kukabidhiwa?

    Tangu janga la moto, waziri mkuu aliunda kamati ya uchunguzi akaipa wiki moja, then ikaongezewa wiki ya pili! Hivi sasa mwezi umepita bado kimya, Je tuendelee kusubiri report au LAH?
  2. U

    Morogoro: Moto wateketeza kituo kikubwa cha kupozea umeme cha TANESCO

    Moto mkubwa umeunguza na kuteketeza kituo kikubwa kabisa chenye mitambo maalumu ya kupokea, kupoza na kusambaza Umeme kuelekea Mikoa ya Morogoro, Dar es salaam, Tanga na Kilimanjaro Moto huo bado haujazimika hadi sasa na juhudi za kuuzima zinaendelea Hadi sasa chanzo cha moto huo hakijulikani...
  3. Biashara ya ukahaba ni kaa la moto Dar

    Licha ya juhudi zilizowahi kufanywa na viongozi wa Jiji la Dar es Salaam kudhibiti biashara ya ukahaba na uzururaji jijini humo, shughuli hiyo inaendelea kama kawaida, Mwananchi limebaini. Baadhi ya viongozi waliowahi kuongoza Dar es Salaam, akiwemo Paul Makonda walianzisha kampeni za kupambana...
  4. Kagera: Ateketea kwa moto gesti

    MTU mmoja mkoani Kagera aliyetajwa kwa jina la Neema Bayo (49) aliyekuwa ndani ya moja ya vyumba vya nyumba ya kulala wageni inayojulikana kwa jina la Anti iliyoko wilayani Muleba mkoani Kagera amepoteza maisha kwa kuteketea kwa moto ulioteketeza nyumba hiyo ambao hadi sasa chanzo chake...
  5. Mbezi Beach, Dar: Mwanamke achoma nyumba ya mpenziwe wa zamani

    Mwanamke wa kikurya amechoma nyumba ya aliyekuwa mwanaume wake mkazi wa mbezi Beach kwa komba kwa sababu ya wivu wa kimapenzi. Tukio hili lilitekelezwa wakati mwanaume huyo alipokuwa ameenda kazini. Wananchi alofanikiwa kumkamata mtuhumiwa na hivi ninavyoandika mtuhumiwa huyu amefikishwa...
  6. Kariakoo, Dar: Moto Moto waunguza sehemu ya hoteli ya Rungwe Palace

    Imeripotiwa, ajali nyingine ya moto imeteketeza hoteli huko Kariakoo. Hadi muda huu moto unaendelea na jitihada za kuudhibiti pia zinaendelea. ========= Moto Umeibuka katika Hotel ya Rungwe Palace iliyopo Mtaa wa Livingston na Mahiwa Jirani na Msikiti wa mtoro Jijini dsm na kuzua Taharuki...
  7. Kariakoo: Rungwe Palace yaungua Moto, wadhibitiwa mapema

    Rugwe Hotel inaungua saivi
  8. Siku saba za uchunguzi wa moto sokoni Kariakoo zinaanza kuhesabiwa lini?

  9. J

    RC Makala: Rais Samia ametoa Tsh 100 milioni kuboresha soko la Machinga Complex, kutazungushwa bati na meza za kisasa

    Rais Samia ametoa tsh milioni 100 ili kuboresha soko la Machinga comllex na kuwezesha wamacbinga wote wa kariakoo kuhamia hapo Karume RC Makalla amesema maboresho yanaanza mara moja ikiwa ni pamoja na kuzungushia uzio wa mabati na kuweka meza za kisasa za kupanga biashara Chanzo: ITV habari
  10. Mwigulu: Tumesikia malalamiko ya Watanzania kuhusu tozo za miamala na Rais ametoa maelekezo ya kuzitazama upya

    Mhe. Rais naye ameguswa na jambo hili, amesikia maoni ya Watanzania wote, ameshatoa maelekezo kwamba tuyafanyie kazi haya malalamiko ambayo wananchi wanayatoa." - Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba. Waziri wa Fedha na Mipango Dk. Mwigulu Nchemba, amesema jambo hilo tayari limefika...
  11. Amos Makalla: Hakuna kulipa ushuru kwa miezi miwili, hicho ndio kifuta machozi kwa wahanga wa soko la Kariakoo

    "Nitoe wito kwa wale wanaowapokea kwenye masoko, kwamba utaratibu ni ule ule wale ambao wametoka Kariakoo, wakiratibiwa wakifika maeneo hayo hakuna kulipa ushuru kwa miezi miwili, na hicho ndio kifuta machozi kwa wale walioathirika" - RC Dar es Salaam, Amos Makalla
  12. Maamuzi ya kikao cha wanaume: Namna ya kupambana na moto

    ..................
  13. Baada ya tukio la mwenzetu kuchomwa moto, nini kifanyike matukio ya wivu wa mapenzi yasijirudie?

    Kikao kimefunguliwa rasmi, tunajadili nini kifanyike, ili adhabu za wivu wa mapenzi zipungue katika jamii zetu. Wakati tukijadili hilo usisahau kunipa vote yako kwenye hili chapisho. Bofya ifunguke kisha click kwenye vote: Story of Change - Unavyoweza kujiajiri kwa kufundisha mtandaoni
  14. J

    Baa maarufu ya Chako ni Chako jijini Dodoma almanusura iungue moto!

    Ile Bar maarufu jijini Dodoma inayopendwa na wabunge na wageni wengi "cha pombe" wawapo Dodoma imenusurika kuungua moto baada ya nyumba iliyo jirani yake kuteketea kwa moto. Chako ni Chako Pub ndipo aliposema mbunge msukuma kwamba KUB wa awamu ya 5 alikuwa anapata kinywaji kabla ya kuanguka na...
  15. Jifunze kitu hapa: Hii hapa Taarifa ya mwanaume aliechomwa moto na mwanamke wake (mchepuko)

    Jamaa huyo maarufu kwa jina la Zungu ameuliwa kwa kuchomwa moto na mpenzi wake huyo kwa jina la Neema. Tukio limetajwa kutokea huko Mbezi Makabe, Dar jana usiku. Sababu inadaiwa ni jamaa kutokuwa mwaminifu katika mapenzi yao ndipo mdada anadaiwa kumfungia ndani jamaa kisha kumwaga petrol na...
  16. Dar: Grace Mushi ambaye alimchomea ndani Mpenzi wake, akamatwa na Polisi

    KUKAMATWA KWA MTUHUMIWA ALIYEMCHOMA MOTO MPENZI WAKE NDANI YA NYUMBA Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamshikilia Grace Janes Mushi (25) kwa tuhuma za kumchoma moto ndani ya nyumba aliyekua mpenzi wake aliyefahamika kwa jina la Khamis Abdallah (25). Tukio hilo limetokea tarehe...
  17. SoC01 Namna bora na ya kisasa kupambana na janga la moto

    SEKTA: MAENDELEO NA TEKNOLOJIA Historia Fupi yakweli: Mnamo Sept 6 2017 saa 6 kasoro mchana, Mimi mwandishi nilipata janga la moto. Ilikuwa ni safari ya Dar Es Salam kwenda Arusha kwa basi la kampuni ya “LIM SAFARI’S” lilishika moto eneo la MANGA. Uhalisia moto ulianza mdogo sana lakini...
  18. E

    Tutumie electric bike na electric car sio vyombo vya moto

    Teknologia imeongezeka kwa sasa hivi watu wanatumia pikipiki za umeme na magari ya umeme, kwa sheria za tanzania hivyo sio vyombo vya moto hivyo havina bima wala hahutaji leseni kuviendesha ni kama unaendesha baiskeli au guta au mkokoteni wa ngombe, pia hamna kuingia sheli kunywa mafuta ukifika...
  19. SoC01 Maoni: Namna sahihi katika kupambana na majanga ya mara kwa mara ya MOTO nchini Tanzania

    MAJANGA YA MOTO Asalaam aleikyum, Bwana Yesu asifiwe, Tumsifu Yesu kristo wadau wa JF, ahsanteni wadau, jukwaa na uongozi wa Jamii Forum nimeona nilete mjadala huu mbele yenu kwakuwa ndio tatizo kubwa linaloikumba hii nchi na kuleta madhara makubwa kimaendeleo, katika nyanja zote ikiwemo afya...
  20. SoC01 Maendeleo ya kijamii: Changamoto na mapendekezo yake

    Uhali gani mwanafamilia wa JF Karibu katika makara maalumu leo naomba nikuelekeze katika Maendeleo ya kijamii na kwa kuanza makara hii naomba nitangulize shukurani kwa mda wako wewe msomaji. Kabula ya yote ni vyema tujue maendeleo ya kijamii ni nini? kwa ufupi tu maendeleo ya kijamii ni hali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…