Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,783
- 66,962
Habari za muda huu, Shule ya At-Taanun Islamic Girls iliyopo Morogoro inawaka moto usiku huu! Taarifa zaidi zitakuja.
Uhhh Leo kazi ipo
Matukio haya yamezidi sasa daa!!! Mamlaka husika wayatazame mambo haya kwa umanikini zaidNi fire tu kila sehemu hata wewe lala usijekushtuka unawaka kama kuni
Wakazimie hayo hayo ya washawasha si yanarusha maji?Na mbaya zaidi nchi ina magari mengi mno ya maji ya kuwasha(kuzuia maandamano)kuliko magari ya zimamoto na maafa mengine!