Jane Lowassa
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 4,760
- 8,526
Juzi kati nilikuwa naangalia kipindi cha Bartender cha Wasafi TV Maulid Kitenge akiwa mgeni. Akaulizwa anatumia sh ngapi kwa siku, eti akatoa mfukoni bulungutu la milioni moja. Jamani hizi si kufuru hizi kwa usawa huu wa Magu. Kakangu kitenge acha dharau ukizingatia una ndugu zako wazaramo kibao hawana mbele wala nyuma