Maelezo ya kina kuhusu Uber. Usafiri salama na wa bei ya chini kwa mtanzania

Jum Records

JF-Expert Member
Jun 30, 2014
547
545
Wakuu heshima kwenu, kuna jamaa anataka kuniazima gari yake ndogo, Mimi niwe dereva tu katika biashara ya usafirishaji wa uber, niwe nampa yeye kama mmiliki wa gari Tsh 25,000/= kila siku,

je kuna faida yoyote ntapata mimi kama dereva tu, je uber wenyewe wanachukua kiasi gani kwa siku??
Nawasilisha.!!

================================================

Uber wanachukua 25% kwa kila trip.Ukilipwa 10'000 yao 2'500. ukilipwa 20'000 ,Uber yao 5'000. Utalipa hiyo 25'000 na wewe utapata 25'000 au zaidi kila siku.Utaenjoy zaidi kama gari haitakula mafuta sana. Kama uko idle tu chukua hiyo gari piga kazi. Ukiona hailipi, staafu

Uber ni nini?
Uber ni application inayokuwezesha kupata usafiri wa bei ya chini na salama katika sehemu nyingi za mkoa wa Dar-es-Salaam, kwa kupitia simu yako ya mkononi. Usafiri huu ni wa kutumia magari madogo yanayoweza kubeba kuanzia mtu mmoja hadi watu wanne.

Kujisajili na Uber
Nenda playstore, search 'Uber' utaiona ina icon nyeusi, download kisha ifungue.
Fanya usajili kwa kutumia namba yako ya simu, email na pia utachagua neno la siri.

Kupata punguzo la Tsh6200 katika trip yako ya kwanza
  • Nenda Menu kwa kubonyeza mistari mitatu iliyoko juu kushoto,Kisha bonyezaPayments,kisha bonyeza Add promo code , andika ubertz05
  • Utaona maandishi ya kijani yakionyesha kwamba utapata punguzo la tsh6200 katika trip yako ya kwanza.
  • Nitatoa mfano, safari yako ya kwanza ni kutoka posta hadi magomeni,na gharama yake ni shilingi 7200,basi utalipa sh1000 tu kutokana na hilo punguzo,lakini katika safari ya pili utalipa nauli kamili.

Zingatia
Unaweza kujisajili mara moja tu kwa kutumia hiyo promotion code, ukirudia kujisajili kwa namba nyingine kama baadhi ya watu wanavyopotosha mitandaoni, akaunti yako ya uber itafungiwa na hutaweza tena kutumia huduma za uber

Jinsi ya kutumia Uber kuita usafiri.
  • Fungua app ya Uber, hakikisha umewasha GPS, itakuletea maandishi 'where to'.Hapo utajaza unapotaka kwenda,mfano 'Magomeni Mapipa'.
  • Itakuonyesha kiasi cha nauli inayokadiriwa, na utabonyeza 'Request uberX'
  • Hapo hapo,itakuonyesha jina na namba ya gari la dereva atakayekufata hapo hapo ulipo, na ndani ya dk5 atakuwa kashafika.
Malipo ya usafiri
  • Ukifika 'destination' yako dereva atabonyeza 'Stop trip' kwenye application iliyoko kwenye simu yake, na hapo hapo itaonyesha nauli kwenye simu yako na kwenye simu ya dereva
  • Unaweza kulipa kwa Cash(Taslimu) au kwa kutuma Kadi ya benki
Umuhimu wa kutumia Uber
  • Ni gharama nafuu zaidi ukilinganisha na taxi za kawaida, kwa sababu bei inahesabiwa na mashine yenyewe kulingana na umbali wa sehemu unayoenda, na sio derevaa kujipangia bei kubwa
  • Ni salama zaidi, hasahasa usiku, kwasababu dereva wa uber anakuwa amesajiliwa na endapo itatokea tatizo lolote mfano kusahau kitu kwenye gari, dereva anaweza kupatikana kwa haraka
  • Inakusaidia kuokoa muda; mfano upo sehemu ambapo hamna taxi,bajaji wala bodaboda, unaweza kuita usafiri na ukakufata hapohapo kwa kutumia app hii.
UPDATE 1:
Uber inakuletea usafiri wa bajaji pia, ambao ni bei rahisi zaidi, sasa unaweza kuchagua kati ya UberX(taxi) na UberPoa(bajaji) kutokana na uwezo wako. UberPOA inapatikana maeneo ya Mwenge, Sinza, Kijitonyama, Mikocheni A, Mwananyamala, Kinondoni, Namanga, Msasani, Oysterbay, Masaki & Kigamboni ingawa huduma hii inasambaa maeneo mengi katika siku za baadaye.

UPDATE 2:
Kwa wale waliokwisha kutumia ofa yao ya kwanza(first ride), usiache kutumia Uber, endelea na unaweza ukapata punguzo la 25% au 50% kwa safari zako 4 mara kwa mara
 
Wakuu heshima kwenu, kuna jamaa anataka kuniazima gari yake ndogo, Mimi niwe dereva tu katika biashara ya usafirishaji wa uber, niwe nampa yeye kama mmiliki wa gari Tsh 25,000/= kila siku, je kuna faida yoyote ntapata mimi kama dereva tu, je uber wenyewe wanachukua kiasi gani kwa siku?? Nawasilisha.!!
Ngoja wenye uzoefu na biashara hii waje wakujuze......
 
na mimi niongeze swali:- Unapohitaji gari huu mfumo unaangalia gari iliyopo toka umbali gani? isije kuwa nipo kkoo naenda posta gari ikaja toka ubungo hapo lazima gharama itakuwa kubwa sana.
Sawa mkuu tuvute subir wajuzi waje...japo wanachelewa
 
Wakuu heshima kwenu, kuna jamaa anataka kuniazima gari yake ndogo, Mimi niwe dereva tu katika biashara ya usafirishaji wa uber, niwe nampa yeye kama mmiliki wa gari Tsh 25,000/= kila siku, je kuna faida yoyote ntapata mimi kama dereva tu, je uber wenyewe wanachukua kiasi gani kwa siku?? Nawasilisha.!!
Taxi za kawaida per day mmiliki hapewi hela hio itakuwa Uber! Uber nzuri gari ikiwa yako.
 
Wakuu tupeane habari kwa kina hiyo ni fursa nzuri hasa kws sisi wenye gari binafsi.
Mi nataka kujua gharama za kujiunga.
 
Wakuu heshima kwenu, kuna jamaa anataka kuniazima gari yake ndogo, Mimi niwe dereva tu katika biashara ya usafirishaji wa uber, niwe nampa yeye kama mmiliki wa gari Tsh 25,000/= kila siku, je kuna faida yoyote ntapata mimi kama dereva tu, je uber wenyewe wanachukua kiasi gani kwa siku?? Nawasilisha.!!
Uber wanachukua 25% kwa kila trip.Ukilipwa 10'000 yao 2'500. ukilipwa 20'000 ,Uber yao 5'000. Utalipa hiyo 25'000 na wewe utapata 25'000 au zaidi kila siku.Utaenjoy zaidi kama gari haitakula mafuta sana. Kama uko idle tu chukua hiyo gari piga kazi.Ukiona hailipi,staafu
 
Nashukuru kwa ushauri mkuu
 
Kwema humu ndugu??

Naombeni ushauri kuhusu hawa jamaa wa Uber ukijiunga nao vipi inalipa kweli nina ka gari kangu nataka nikakasajili huko ila maswali yangu ni yafuatayo-:

1. Makadirio ya safari kwa siku yanaweza fikia kiasi gani?
2. Na vipi kuhusu mapato inalipa kweli?
3. Vigezo vyao wanavyoangalia ni nini na nini kwa upande wa gari??
4. Je kuna maeneo ukitega unapata safari nyingi zaidi au hii imekaaje??

Kwa wajuzi wa hii kitu naombeni mnisaidie jamani maana nimelazimika kufungua akaunti JamiiForum maana mimi nilikuwa msomaji na amini nitapata msaada hapa.
 
Back
Top Bottom