mombasa

Mombasa ( mom-BASS-ə, also US: -⁠BAH-sə) is a coastal city in southeast Kenya along the Indian Ocean. The city is known as the white and blue city in Kenya. It is the country's oldest (circa 900 AD) and second-largest city (after the capital Nairobi), with a population of about 1,208,333 people according to the 2019 census. Its metropolitan region is the second-largest in the country, and has a population of 3,528,940 people.Mombasa is a tourism-based city; it has an extra-large port and an international airport, and is an important regional tourism centre. Located on the east coast of Kenya, it also is the home of one of the state houses, and is considered by some as a second capital in all but name.
In an effort to increase tourism, in June 2018 Mombasa County Governor Hassan Joho issued a directive requiring that all buildings in the Old Town and the Central Business District be painted white with Egyptian blue trim and banning all signs from their walls or canopies. "This allows tourists to take photos," explained Transport, Infrastructure and Public Works County Executive Tawfiq Balala. "We want to be the most photographed city in Africa." The order was challenged by the Commission For Human Rights and Justice, but Judge Erick Ogolla upheld the requirement.In Mombasa County and the former Coast Province, Mombasa's situation on the Indian Ocean made it a historical trading centre, and it has been controlled by many countries because of its strategic location.

View More On Wikipedia.org
  1. ChoiceVariable

    Bandari ya Dar es Salaam yaipita Bandari ya Mombasa kwa Ufanisi, Kulingana na Benki ya Dunia

    Benki ya Dunia imetoa ripoti inayoonesha Bandari ya Dar ndio inaongoza Kwa Ufanisi katika kuhudumia wateja ikiwemo kuondoa makasha Kwa haraka na kutokuwepo Kwa urasimu.. Taarifa ya WB inasema Bandarinya Dar sanjali na Djibouti zimeiacha Mbali Bandari ya Mombasa.. Hongera sana mkurugenzi Mpya...
  2. C

    Naomba kujua zinakopatikana khanga za Mombasa

    Habari wakuuu! Naomba kufahamishwa sehemu yeyote ambayo naweza kupata khanga za mombasa kwa bei ya Jumla nchini Tanzania. Kama una mtu unamjua anafanya hiyo biashara naomba kuunganishwa nae. Kwa aliyepo Dar es salaam ni vizuri zaidi.
  3. nzahaksm

    Hafla ya utiaji saini Mkataba wa Ukarabati wa Kivuko cha MV Magogoni

    Leo wakati navuka kutokea Kigamboni nimekutana na suala la kustaajabisha sana. Viti na mapambo yamewekwa eneo la mbele kidogo ukishuka kwenye kivuko kutoka Kigamboni. Kulikuwa na kivuko chetu kimesimama kutoa huduma na leo ndio kuna sherehe ya kutia saini ili ukarabati uanze mara moja. Kuna...
  4. Replica

    TEMESA wakajifunze Mombasa kuendesha vivuko, pamoja na watu kupita bure viko imara muda wote

    Kisiwa cha Mombasa nchini Kenya kimeunganishwa na njia tatu za kuingia na kutoka kwenye mji huo mbili zikiwa madaraja ya barabara. Upande mmoja wa kuingia kisiwa humo(Likoni) ni kutumia feri kama zile zetu za Kigamboni. Sehemu hii ilishindikana kuweka daraja kutokana na kuwa njia kuu kwa meli...
  5. BARD AI

    Kenya yaondoa ulazima wa kutumia SGR kusafirisha mizigo kutoka Mombasa

    Wafanyabiashara sasa wako huru kuondoa mizigo yao Mombasa na kutumia njia yoyote ya usafiri kusafirisha mizigo yao kutoka bandari ya Mombasa hadi Nairobi na maeneo mengine ya pembezoni. Hii ni baada ya Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari nchini (KPA) kutoa notisi ya kufutilia mbali marufuku ya...
  6. K

    Gavana wa kaunti ya Mombasa atamba Magufuli amerudi, sasa ni kazi tu

    Gavana wa kaunti ya Mombasa nchni Kenya aliyeapishwa juzi amesema uchaguzi umekwisha na sasa ni kazi tu, huku akiwahakikishia Wakenya kuwa marehemu Magufuli amerudi nchini humo kwa hiyo watarajie kuona taifa lao likipaa kiuchumi kwa spidi kubwa. Sikiliza mwenyewe video hii.
  7. Mwande na Mndewa

    Magufuli is back,anasema Abdul Sharrif Nassir-Governor Mpya wa Mombasa.

    True leaders dont die..their words remain on the lips of their believers for ever and ever. Always try to build a great legacy which you will leave behind for people to remember you.
  8. Sildenafil Citrate

    Ujenzi wa barabara ya Mombasa-Nairobi kukamilika baada ya miezi 60

    Mamlaka inayo simamia ujenzi wa barabara hiyo inayo unganisha mji wa Mombasa na Nairobi imesema kuwa ujenzi rasmi utaanza baada ya kukamilika kwa upembuzi yakinifu wa muundo wake pamoja na kupatikana mkandarasi atakaye fanya kazi hiyo. Kauli hii inakuja muda mfupi baada ya kuzuka kwa tetesi...
  9. JanguKamaJangu

    Kenya: Watalii 40 wakamatwa kwa kuombaomba mitaani

    Kamanda wa Polisi wa Kaunti Ndogo ya Mvita Maxwell Agoro akizungumza na mmoja wa raia 40 wa Jordan waliokamatwa. Picha: Kwa hisani Polisi wa Mombasa Nchini Kenya wanawashikilia watalii 40 raia wa Jordan baada ya kukutwa wakiombaomba katika Mitaa ya Old Town na Marikiti ili wakusanye fedha ya...
  10. MK254

    Mombasa hadi Arusha barabara sasa safiiii - Arusha-Holili-Taveta-Voi transit corridor

    Marais wa mataifa ya EAC wameizindua hii barabara jana... Presidents Samia Suluhu Hassan and Uhuru Kenyatta on Friday officially opened the 42.4km Arusha Bypass, which is part of the regional Arusha-Holili-Taveta-Voi transit corridor that links Tanzania with Kenya. Speaking at the launch at...
  11. heartbeats

    Vijora/ madera kutoka Mombasa

    off
  12. MK254

    DRC State-owned shipping line to set base in Mombasa

    Kwa mwendo huu tu... ====== A shipping line from the Democratic Republic of Congo plans to start its operations from Mombasa beginning June this year. The state-owned shipping line, the Lignes Maritimes Congolaises (LMC) seeks to channel more DRC imports and exports cargo through the Port of...
  13. M

    Hivi inakuwaje mwezi uandame Kenya halafu Tanzania usiandame?

    Bila jazba Wala povu, nauliza? Nimeona Matangazo wenzetu Kenya wanasema wameuona Mwezi na Leo ni Idd ElFitri! Huku kwetu tunaambiwa mwezi haujaandama? Hii huwa inatokeaje, kijigrafia mbona tupo Ukanda mmoja, hili linawezekanaje? Na wala si mara ya kwanza utata huu kuwepo? Tatizo ni Nini! Ni...
  14. Tony254

    Baadhi ya meli zimekataa kutia nanga Dar es Salaam port kwa msongamano. Zimeacha mizigo Mombasa port ili kufanyiwa transhipment

    Ukiona baadhi ya meli zinaprefer kuwacha mizigo Mombasa port kuliko kupanga foleni ndefu huko Dar port ujuwe kwamba Malazy wameshindwa kabisa kuliendesha bandari lao. ====== Mombasa port transshipment business grows Different shipping lines have opted for Mombasa port due to what they claim are...
  15. Tony254

    Asilimia mbili tu ya mizigo ya Uganda ndio inayopitia Dar es Salaam port, huku asilimia 98% ikipitia Mombasa port, asema mkurugenzi mkuu wa TRC

    Wadau mimi nilijua kwamba asilimia 20 ya mizigo ya Uganda hupitia Dar es Salaam port sasa leo nimepigwa na butwaa kusoma maneno aliyosema mkurugenzi mkuu wa TRC Masanja Kadogosa kwamba asilimia mbili tu ya mizigo ya Uganda ndio hupitia Dar es Salaam port. Hio ina maana kwamba asilimia 98 ya...
  16. Mashashola

    JKIA, Moi (Mombasa) best Airports in Africa

    JKIA, Moi airport rank best in Africa on customer service ADONIJAH NDEGE Summary JKIA and MIA in Mombasa emerged top in the 2021 Best Airport by Size and Region in the 5-15 million passengers per year and under 2 million passengers per year categories respectively. ACI’s Airport...
  17. Mohamed Said

    Siku ya wanawake: Bi. Titi Mohamed alipounguruma tononoka hall Mombasa na Pumwani, Nairobi

  18. J

    Hivi ni kweli kabla ya hii mipaka ya kisiasa, Moshi ilikuwa Kenya na Mombasa ilikuwa Tanzania?

    Kwa anayejua Tafadhali kabla ya ile mikataba ya Kijermani na Kiingereza hali ilikuwaje. Nimesoma mahali kuwa hata baba yake Obama siyo mkenya ni mtanzania ndio maana Obama alifika hadi Tarime kwa akina Heche kuwasalimia. Nasubiri majawabu! Maendeleo hayana vyama.
  19. Geza Ulole

    To rescue Kenya's from Hunger, Tanzania to build giant grain silos in Mombasa

    Tanzania intends to build giant grain silos in Mombasa, Kenya Tanzania is envisaging the construction of giant grain storage facilities and distribution center in Mombasa, Kenya. The proposed large Silos, planned for the Coastal City of Kenya are meant to facilitate trading of surplus food...
  20. NairobiWalker

    Kati ya Port of Mombasa na Dar Port gani inahandle cargo nyingi zaidi?

    Nauliza tu swali maanake nimeona vita humu watu wakijibizana sana. Hivi kati ya hizi Port mbili gani inahandle cargo nyingi zaidi?
Back
Top Bottom