moja

Movement for Justice in Africa (MOJA) is a pan-African left-wing political organization in Liberia, with chapters in Ghana and The Gambia. It was founded in 1973 by Togba Nah Tipoteh, who is currently its president.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JamiiForums Tanzania Pendekezo la ‘Ukanda Mmoja, Njia Moja’ la China lashika kasi barani Afrika

    Caroline Nassoro Mwaka 2013 rais Xi Jinping wa China alitoa pendekezo la "Ukanda Mmoja, Njia Moja". Mwezi Septemba mwaka 2013, rais Xi Jinping wa China, akiwa nchini Kazakhstan, alitoa mpango wa ujenzi wa ukanda wa kiuchumi wa "Njia ya Hariri", na mwezi Oktoba mwaka huo huo, akiwa nchini...
  2. Street Hustler

    JamiiForums Tanzania Wale wa civics point zetu ni zilezile hatuachi hata moja

    Poor Government policy. Poor knowledge amoung of leaders. Lack of knowledge to their people. Women are used for pleasure. Lack of capital. lete nyingine unazojua. Alafu Discuss
  3. UPIMAJI NA RAMANI

    JamiiForums Tanzania Kwanini kuwekeza kwenye Ardhi usiyo ijua?

    Kwako Mwananchi, Nchini kwetu kumekua na migogoro mingi au usumbufu mwingi wa masuala ya ARDHI, Moja ya sababu inayochangia migogoro mingi ya ardhi Nchini ni kununua eneo la Ardhi kimazoea au kiholela. Mfano ( A) Imezoelekea kununua eneo la Ardhi kwa kushirikisha Serikali ya mtaa...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Kama upo hapa, please tuwasiliane mara moja

    Nipo Las Vegas hapa USA kama kuna mtu yupo karibu please tuwasiliane maana nipo tu bored. kulikuwa na kikao tumemaliza toka Jumamosi so nikaona nikae kae kidogo kuonana na jamaa zangu. bahati mbaya nao ratiba zao zimebana so tumeonana kwa muda mfupi tu wakati wa Breakfast na Lunch. nina muda...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Hainan – moja ya maeneo mapya yenye motomoto ya ushirikiano wa sayansi ya kilimo kati ya China na Afrika

    Kisiwa cha Hainan hakifahamiki kwa waafrika wengi, kama ilivyo miji mingine ya China kama vile Beijing, Shanghai au Guangzhou, lakini inaaminika kuwa katika siku za usoni, kisiwa hiki kitakuwa moja ya maeneo mapya yenye motomoto ya ushirikiano kati ya China na Afrika, haswa katika sekta ya...
  6. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Maono: Kati ya Simba na Yanga kuna timu moja leo itafungwa!

    Mimi ni miingoni mwa watu wenye maono sana, leo timu mbili za kariakoo zinacheza katika michezo tofauti. Yanga atakuwa anamkaribisha Geita Gold katika dimba la Mkapa, katika mchezo wa Azam Sports Federation. Simba itashuka dimbani Ushirika Moshi kuwakabili maafande wa Polisi katika muendelezo...
  7. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Napendekeza stika za Wiki ya Nenda kwa Usalama zilipiwe kwenye bima, ukikata bima ukague na gari kabisa na vyote ulipie kwa mara moja

    Wiki hii kumeanza tena ule usumbufu wa kijinga na wa kila mwaka wa kusimamisha watu barabarani ili kuwakagua sticker za wiki ya nenda kwa usalama barabarani. Sasa kama ilivyo kawaida yetu hapa jukwaani, pakitokea kero basi tunatoa mawazo walau ya kuondoa au kupunguza kero hiyo. Sasa basi...
  8. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Bei ya mafuta yapanda maradufu. Petroli bei yaongezeka kwa kati ya Tsh. 100 - 321

    Wakati Serikali ikitangaza kurejesha Sh100 katika mafuta, watumiaji wa nishati hiyo watalazimika kufunga mkanda kutokana na bei kuendelea kupaa. Bei ya nishati hiyo inapanda wakati wananchi wakilalamika kupaa kwa bei za bidhaa mbalimbali za vyakula hasa wakati huu wa mwezi Mtukufu wa Ramadhani...
  9. Fifteen

    JamiiForums Tanzania Ukipewa nafasi ya kuongeza Sheria moja kwenye soka ungeongeza ipi?

    Habari wanamichezo, Ikatokewa umepewa nafasi ya kuongeza Sheria moja mpya kwenye mpira wa miguu ungeongeza ipi?
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, unadhani 'Bunge Live' imerejeshwa kwa moja ya sababu ipi labda Kubwa hapa?

    1. Kuwaambia Watanzania kuwa Hayati Rais Dkt. Magufuli alikuwa ni Dikteta na ana Roho Mbaya sana? 2. Kumtafutia Sifa na Umaarufu Rais wa sasa Samia kwa Gharama ya Maamuzi ya iliyokuwa Serikali ya Rais Hayati Rais Dkt. Magufuli ambayo Rais wa sasa Samia nae alikuwa ni sehemu yake.? 3...
  11. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Nchi za EAC kuwa nchi moja na kutumia fedha moja ifikapo mwaka 2023

    Nchi mpya inaweza kuundwa ndani ya shirikisho la nchi za Afrika mashariki. Shirikisho la Afrika Mashariki, ni muungano unaopendekezwa wa nchi sita wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kuwa nchi moja ya shirikisho ifikapo 2023. Mataifa haya saba yatakuwa Burundi, Kenya, Rwanda, Sudan...
  12. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Chapati yapanda bei Himo Kilimanjaro, moja inauzwa shilingi 500

    Hii ni hatari! Kitafunwa pendwa kwa Watanzania nikimaanisha chapati kimepanda bei ghafla isivyoelezeka! Mfano hapa njiapanda ya Himo muda huu chapati tena kwa mama ntilie wa kawaida inauzwa 500! Kwenu studio.
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hili Swali nimeliona katika Moja ya 'Past Papers' ya Somo la 'Political Science' naomba tusaidiane katika Kulijibu tafadhali....

    Je, ni Mfumo gani Bora na unaleta Maendeleo ya haraka kwa nchi kama Rais akiwa Mahiri lakini anaongozwa na Nguvu ya Kikabila, anazungukwa na Wataalam Wabobezi wengi na ni Dikteta Mbunifu na ule ambao Rais anakuwa Dhaifu Kiasili, ila anaongozwa na Mafisadi, Mafia ( hasa Wauwaji wa Wapinga...
  14. N

    JamiiForums Tanzania "What is your salary expectation?"ni moja ya swali ninalolichukia toka kwa mwajiri

    Moja kati ya swali ninalolichukia toka kwa mwajiri ni "What is your salary expectation ?" Huwa najiuliza kwanini mwajiri aniulize hivi wakati tayari ana scale yake kashaiandaa kwa position husika Ni ngumu sana kumshawishi mwajiri aliepanga kukulipa 1,000,000 basic salary kisha akulipe...
  15. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Kampeni nyingi za utunzaji mazingira nchini zinazalisha fedha ambazo hazitumiki moja kwa moja kutunza mazingira

    Zipo kampeni nyingi sana zilizowahi kufanyika na zinafanyika Nchini juu ya utunzaji wa mazingira lakini kinachofanyika ni tofauti sana. Watu wanatumia gharama kubwa sana kuzunguka Nchini, posho nauli n.k lakini tukiangalia kwa kina tunaona fedha inayotumika kwenye kampeni hizo ni kubwa kuliko...
  16. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Geita: Mwanafamilia abaka na kulawiti watoto wa familia moja

    JESHI la Polisi mkoani Geita linamtafuta mkazi wa Kijiji cha Bukori (jina limehifadhiwa), kwa tuhuma za kuwabaka na kuwalawiti watoto watatu wa darasa la tatu wa familia moja wa Shule ya Msingi Bukori. Wanafunzi hao wameumizwa sehemu zao za siri kiasi cha kushindwa kwenda haja. Kamanda wa...
  17. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Baada ya Trump, Bilionea Namba Moja Duniani Elon Musk anafikiria kuja na mtandao wake wa kijamii

    Baada ya Trump kuzundua mtandao wake wa kijamii mwezi uliopita, Tajiri Elon Musk anafikiria kuzindua mtandao wake mpya ambao utawapa watu uhuru kamili wa kutoa maoni. Ikumbukwe kwamba hata Trump analaumu kwamba mitandao iliyopo inaminya uhuru wa watu kujieleza, inapangia watu waandike nini...
  18. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Moja ya Dalili ya Kiongozi Mpumbavu ni kutaka kuogopwa.

    Wakuu Kwema! Leo sina mengi Sana ya kusema, Mtoto wangu aliniuliza hivi; Baba ni Dalili gani ya wazi itakayonifanya nimjue kiongozi huyu ni Mpumbavu ili nijiepushe naye? Swali lake linashangaza Sana. Ukizingatia yeye ni mtoto wa miaka sita tuu. Nikamjibu; Kiongozi Mpumbavu utamtambua Kwa...
  19. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Mwimbaji wa Sauti Sol, Chimano hayupo tayari kupata mtoto

    Mwanamuziki wa bendi ya Sauti Sol, Willis Austin Chimano ameweka wazi kwamba kwa sasa hayupo tayari kupata mtoto. Chimano ambaye takriban miezi mitatu iliyopita alikiri kuwa shoga amesema kwamba kupata mtoto ni jukumu kubwa ambalo bado hayuko tayari kulichukua. "Kwa sasa bado nakua. Kupata...
  20. Wazobora

    JamiiForums Tanzania Nauza maziwa mgando lita moja Tsh1,500/= mkoa wa Kagera

    Habari zenu wanajf. Nitumie fursa hii kuwatangazia kuwa ninauza maziwa mgando kwa bei ya tsh1,500/= kwa lita moja maziwa yetu ni mazuri hayaja chakachuliwa kwa namna yoyote ile. Makazi yangu ni mkoa wa Kagera. Kama upo mkoa tofauti na mkoa wa Kagera itakupasa kulipia gharama za usafirishaji...
Back
Top Bottom