moja

Movement for Justice in Africa (MOJA) is a pan-African left-wing political organization in Liberia, with chapters in Ghana and The Gambia. It was founded in 1973 by Togba Nah Tipoteh, who is currently its president.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kusafiri gari moja na watu wa jamii ya kifugaji ni kero

    Hapa namaanisha Wamasai, Wagogo, Wasukuma na Mang'ati hawa watu usafi kwao ni sifuri wanajifunika na mashuka na mablanketi yanayonuka sana na mara nyingine yana kunguni na chawa. Usafi wa kinywa hawazing'atii wananuka midomo sana hawa watu usiombe ukae nao siti moja utajuta. Mara nyingi...
  2. JamiiForums Tanzania Kuna tishio la kituo cha yatima Ilemela mbioni kufungwa kutokana na Sherali Husein kukishtaki mahakamani kituo akidai alipwe fidia ya milioni mia moja

    KUNA TISHIO LA KITUO CHA YATIMA ILEMELA MBIONI KUFUNGWA KUTOKANA NA SHERALI HUSEIN KUKISHTAKI MAHAKANI KITUO AKIDAI ALIPWE FIDIA YA MILIONI MIA MOJA Hofu imetanda jijini Mwanza miongoni Mwa waislamu kutokana na Sherali na Ndugu yake BIM kuapa na kutamba Kwamba WAtakifunga kituo cha YATIMA...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Mbowe hujahudhuria uzinduzi wa ikulu mpya, who knows siku moja waweza kuishi Chamwino

    Uzinduzi wa ikulu mpya Chamwino umefanyika leo ambapo viongozi mbalimbali wamehudhuria. Kiongozi wa chama kikuu cha upinzani Tanzania Freeman Mbowe hakuhudhuria. Wakati uzinduzi unaendelea Mbowe na viongozi wengine wa Chadema wameendelea na operation +255 huko Kasulu mkoani Kigoma. Hongera...
  4. JamiiForums Tanzania Je wajua? Simba imecheza CAF Confederation Cup mara 6 wakaambulia Robo Fainali moja!

    Kumbe wanalibeza buuuree, jionee mwenyewe! Source: Wikipedia
  5. JamiiForums Tanzania Sio T.R.A tu, mamlaka za kodi dunia nzima zinaogopeka na hazina "urafiki" na walipa Kodi, moja kati ya hizo ni "TRA" ya Marekani, inaogopwa mno!

    Mamlaka za kodi ni "polisi wa mapato" inachukua halali ya serikali, na kawaida, ni jbo gumu kwenda kuchukua kwa mtu fedha yake, lazima alalamike. Watanzania hatujiulizi kwa nini makusanyo Sasa ni trilioni mbili? Wakati mwanzo ilikuwa trilioni moja na bilioni 200? Nani hawa walikuwa wanakwepa...
  6. JamiiForums Tanzania Rias Samia kununua kila goli la Yanga kwa Tsh. Milioni 20

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Uzinduzi wa Mradi wa Minara ya Kurusha Matangazo ya Televisheni Ardhini(DTT) ya Kampuni ya Azam Media Limited, Makao Makuu ya Azam Media Limited- Tabata Dares Salaam leo tarehe 18 Mei, 2023. Rais Samia Suluhu Hassan...
  7. JamiiForums Tanzania Mechi ya Fainali kwa Mkapa Yanga Vs Usm Alger kampeni na mikakati kabambe ianze mara moja.

    Bila kujari Yanga itaanzia wapi lakini natowa wito kwa matawi yote ya Yanga nchi nzima na kwa uongozi wa Yanga huu ndio muda sahihi wa kupanga mkakati kabambe kuhakikisha Mwarabu anakufa nyingi kwa Mkapa. Sasa ni wazi Yanga ifunguwe Amari zote za silaha kama tunaanzia fainali kwa Mkapa basi...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kesi ya tuhuma za kutoa rushwa dhidi ya Kitumbo na Mwakingwe ni ya kusilizwa na kuamuliwa siku moja?

    WIKI iliyopita, tukio lililotikisa anga za soka ni lile la kufungiwa maisha kwa Mwenyekiti wa Chama cha Soka Mkoa wa Tabora, Yusuf Kitumbo akituhumiwa kujihusisha na kupanga matokeo ya mechi za Ligi Daraja la Kwanza sambamba na kocha Ulimboka Mwakingwe. Kitumbo ni kiongozi wa Kitayosce ambayo...
  9. JamiiForums Tanzania Sakata dogo kama hilo la Kariakoo Magufuli angelimaliza kwa kupiga simu moja tu

    Ki sakata ( uchwara ) kidogo cha Kariakoo kimetuonyesha ni kwa namna gani demokrasia inaweza kusababisha usumbufu wa hovyo kwa wananchi! Hivi ki sakata cha kumalizwa na RC ndiyo kinasumbua watu namna hii?! Ndugu zangu mambo kama hayo ndiyo yanatufanya tuendelee kumpa Magufuli maua yake! JPM...
  10. Z

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kuitawala pesa. Laki Tano inaisha ndani ya wiki Moja. Natumia dawa za matatizo ya akili. Nifanye nini?

    Nina shida ya kiakili natumia dawa zinatwa resperidone. Changamoto niliyonayo ni kuwa hata nifanye Nini nkipata kipato haichukui wiki laki Tano imeisha. Hata niweke mikakati ghani nitajikuta tu baada ya wiki nipo kwenye stress Sina pesa. Nmefikia hatua Sasa hii hali imenichosha naomba...
  11. JamiiForums Tanzania SoC03 Kutokana na Stori ya kweli: Maisha Yangu yalivyobadilika ndani ya dakika moja

    Salaam (Namfahamu Mama nijasiri, anaondoa Utando unapodandia kuta,anatoa nyoka makatili,anapambana na majangiri wanapovamia nyumba,anaweka paa juu ya vichwa,sikuogopa njaa -nilishiba,Niliona wengine nguo za kuvaa zimechanika,wakati kwetu nyuso ziling'aa migongo ilifunikwa,Radi ilipiga wala...
  12. JamiiForums Tanzania Ofisi za ubalozi nchini Japani zaunga mkono mapenzi ya jinsia moja na kuruhusu watu kufukuana vifusi

    Wanadiplomasia kutoka ofisi za ubalozi zaidi ya 12 wanaowakilisha nchi zao huko Japani wameonyesha kuunga mkono jamii ya watu wanaopendelea mapenzi ya jinsia moja ama wanaopenda kifukana nyuma wakiongozwa na USA na mabadiliko ya jinsia wanaojulikana kwa jina la ‘LGBTQ’, kabla ya mkutano wa...
  13. JamiiForums Tanzania Serikali yasema idadi ya magonjwa ya ngono imeongezeka pia watu 1,612,52 wanatumia ARV’s Nchini Tanzania

    Watoto Milioni 1.5 wapatiwa chanjo Wizara ya Afya imesema hadi kufikia mwezi Machi mwaka huu jumla ya watoto 1,596,951 sawa na asilimia 98.6 walikuwa wamechanjwa chanjo ya Penta3 kwa ajili ya kuzuia magonjwa ya Dondakoo, Kifaduro, Kupooza, homa ya ini na homa ya uti wa mgongo, ambayo hutumika...
  14. JamiiForums Tanzania Moja Ya Kosa Wanaume Wengi Hufanya Wakiwa Na Mwanamke

    Shida ya kuishi na mwanamke ndo huanzia hapa. Shida ya kumpata mwanamke ndo huanzia hapa. Hupelekea mtu kusema mwanamke haeleweki. Hupelekea kutoelewana. Sababu anakua hana jibu kamili kutoka kwa mwanamke. Kosa hilo ni: Kumtafsiri mwanamke kwa maneno yake zaidi ya vitendo vyake. Kumsikiliza...
  15. JamiiForums Tanzania Karibuni tushiriki pamoja kwa Sauti Moja

    Assalaam, Napenda kuchukua fursa hii kuwakaribisha ili tushirikiane katika fursa hii ambayo, bila shaka ni njia mojawapo ya kuleta maendeleo ya kijamii na kiuchumi miongoni mwetu. Kama unadhani uko tayari kivyovyote kushirikiana na Team yetu unakaribishwa ili tuweze kujenga jambo lenye...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Bar zilizofungiwa zatakiwa kulipa Faini Milioni Tano 5M kila moja ili ziruhisiwe kufanya biashara

    Mkuregenzi WA NEMC amezipa siku Kumi na NNE waliofungiwa bar kulipa Faini ya shillingi milioni tano la sivyo watazifutia lesini. Mtumishi huyo WA umma ameyasema hayo Leo wakati akitoa taarifa Kwa vyombo vya habari. Hali hii inazidi kuonyesha namna ilivyo ngumu kufanya biashara Tanzania na...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Hivi ni nani anawatetea wafanyakazi sekta binafsi ukizingatia Rais wa nchi hii ni moja?

    Km mtakavyokumbuka tarehe moja mwezi huu wa 5 ilikuwa sikukuu ya wafanyakazi duniani yaani mei mosi. Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania ndiye aliyekuwa mgeni rasmi. Wakati wa hutba zake aliwaahidi wafanyakazi wa sekta ya umma mambo mengi mazuri ikiwamo annual increment yaani nyongeza za...
  18. JamiiForums Tanzania Mbunge: Nyama ya ng’ombe ni gharama sana Zanzibar, kilo moja Tsh. 13,000

    Mbunge wa Jimbo la Chaani – Zanzibar, Juma Usonge Hamad akichangia mada Bungeni akidai bei ya nyama ya ng’ombe kwa upande wa Zanzibar ni gharama na kuwa Kilogramu moja inauzwa kuanzia Tsh. 13,000 na kuendelea. Amesema “Wizara haijaamua kusamehe tozo ambazo zinatozwa kwa ng’ombe wanaopelekwa...
  19. JamiiForums Tanzania Mr Blue ndie alieweza kumfanya Ali Kiba aache mpira aingie kwenye sanaa ya Muziki

    Hawa watu mbali na mziki pia ni marafiki wa kitambo sana, sema wabongo tumekalili kua ili watu wawe mabest lazma wafanye ngoma nyingi za pamoja Kama ilivo kwa mwana fa na ay STORY INAANZIA HAPA...... Kimzik Mr blue ni mkongwe Zaid kuliko alikiba na blue ndie msanii alianza mziki ktk umri mdogo...
  20. JamiiForums Tanzania SoC03 Serikali iunde kanzi data moja itakayounganisha Wizara na Taasisi zake zote

    UTANGULIZI. Serikali imekuwa ikikumbwa na ubadhirifu mkubwa wa fedha za umma ambapo ubadhirifu huu unasababishwa kwa kiwango kikubwa na maamuzi mabovu yanayofanywa na wizara ama taasisi zake kwa makusudi ili kutimiza adhma ya ubadhirifu, kuna maamuzi mengi yanafanyika katika wizara mbalimbali na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…