Moja Ya Ishara Kuwa Mwanamke Wako Hana Amani Kwako.

Infinite_Kiumeni

JF-Expert Member
Jan 23, 2023
382
661
Mwanamke anapenda ajisikie amani kwako ili aweze kujiachia.

Kama mwanamke wako siku hizi unaona;

Hana hamu ya kufanya mapenzi,

Uke mkavu, japo zamani alikua ukimgusa tu maji yamejaa,

Au zamani alikua anaanzisha kufanya mapenzi lakini sasa mpaka uombe sana. Ujue kuna shida. Lakini kabla hujaanza kulaumu mwanamke wako anakusaliti angalia kwanza shida ipo wapi.
.
Inawezekana,

Umemkera, au

Umefanya kitu kilichomuumiza, au

Mvuto wako kwake umepungua, au

Hamjaelewana sehemu, na hamjaongea vizuri, au

Uliahidi kitu na hujafanya, au

Umeshindwa kuvunja vizuizi vyake/ kuyapita majaribio yake, au

Hujafanya kitu unachotakiwa kufanya (hasa kifedha).

Hivyo vitamfanya mwanamke awe na wasi wasi kuhusu ujasiri wako.
.
Kazi yako kama mwanaume ni kumfanya afunguke tena. Mwanamke akikufungukia kihisia, pia atakufungulia miguu yake. Lakini mwanamke aliyejifunga kihisia kwako, ataifunga miguu yake kwako pia.

Hakikisha unaanza kuwasiliana naye vizuri, unampa nafasi na unamruhusu kufunguka kwako.

Muulize maswali zaidi ya kutaka kuwa sawa, muulize akuambie vyote vinavyomsumbua mpaka mwenyewe aseme “asante, najisikia amani sasa”.

Muda mwingine unaweza muuliza, “unataka nikusikilize tu au nikushauri” ili usije ukajikuta unamshauri mtu anayetaka kusikilizwa tu.
.
Hata hivyo mwanaume unatakiwa kuhakikisha unatengenezea mahusiano mazingira mazuri.

Na mwelekeo wa mahusiano yenu upo mikononi mwako kuuendesha.
 
Wakati mwingine kuchokana tu, ukizoeleka unakuwa huna jopya so hasisimki, huna maajabu, kakuchoka
 
Kuna jamaa yangu alikuwa anatetea penzi langu lisife ilikuwa 2021 hyo nae alikuwa na penzi lake la mbali tena la mda sana.Jamaa kasoma sociology (bachelor)

Ilivyofika 2022 mwezi wa 5 namwambia vipi mwenzako nmeachwa nyie vipi!
Alinijibu"Mapenzi ni us*nge tu"mpk leo nikikumbuka nacheka tu.
 
Mwanamke anapenda ajisikie amani kwako ili aweze kujiachia.

Kama mwanamke wako siku hizi unaona;

Hana hamu ya kufanya mapenzi,

Uke mkavu, japo zamani alikua ukimgusa tu maji yamejaa,

Au zamani alikua anaanzisha kufanya mapenzi lakini sasa mpaka uombe sana. Ujue kuna shida. Lakini kabla hujaanza kulaumu mwanamke wako anakusaliti angalia kwanza shida ipo wapi.
.
Inawezekana,

Umemkera, au

Umefanya kitu kilichomuumiza, au

Mvuto wako kwake umepungua, au

Hamjaelewana sehemu, na hamjaongea vizuri, au

Uliahidi kitu na hujafanya, au

Umeshindwa kuvunja vizuizi vyake/ kuyapita majaribio yake, au

Hujafanya kitu unachotakiwa kufanya (hasa kifedha).

Hivyo vitamfanya mwanamke awe na wasi wasi kuhusu ujasiri wako.
.
Kazi yako kama mwanaume ni kumfanya afunguke tena. Mwanamke akikufungukia kihisia, pia atakufungulia miguu yake. Lakini mwanamke aliyejifunga kihisia kwako, ataifunga miguu yake kwako pia.

Hakikisha unaanza kuwasiliana naye vizuri, unampa nafasi na unamruhusu kufunguka kwako.

Muulize maswali zaidi ya kutaka kuwa sawa, muulize akuambie vyote vinavyomsumbua mpaka mwenyewe aseme “asante, najisikia amani sasa”.

Muda mwingine unaweza muuliza, “unataka nikusikilize tu au nikushauri” ili usije ukajikuta unamshauri mtu anayetaka kusikilizwa tu.
.
Hata hivyo mwanaume unatakiwa kuhakikisha unatengenezea mahusiano mazingira mazuri.

Na mwelekeo wa mahusiano yenu upo mikononi mwako kuuendesha.
Ebwanaee! Umenifundisha kitu kikubwa sana aisee! Sasa naelewa tatizo liko wapi na namna gani naliendea. Ahsante.
 
Another Dr Mwaka in town.
 
Back
Top Bottom