moja

Movement for Justice in Africa (MOJA) is a pan-African left-wing political organization in Liberia, with chapters in Ghana and The Gambia. It was founded in 1973 by Togba Nah Tipoteh, who is currently its president.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ruto, Raila waungana kutupilia mbali uamuzi wa Mahakama ya Juu kutetea Haki za Wapenzi wa Jinsia Moja

    Rais William Ruto na kiongozi wa Azimio Raila Odinga wote wamejitokeza leo kukosoa uamuzi wa Mahakama ya Juu kuruhusu usajili wa vikundi vya ushawishi vya LGBTQ. Pamoja na Naibu Rais Rigathi Gachagua, wamepaza sauti ya kisiasa kutupilia mbali uamuzi uliotolewa na mahakama kuu Februari 24 wa...
  2. JamiiForums Tanzania Teuzi za Rais Samia zina upendeleo?

    Naingia kwenye mada moja kwa moja na kwa ufupi bila kuwachosha ndugu zangu wanaJF. Naungana na ndugu Charles Kitwanga kuhitimisha kwamba mama Samia ni Rais mzuri mwenye uwezo wa kuivusha nchi salama lakini amezungukwa na GENGE la watu (possibly SUKUMA GANG) wanaomshauri vibaya. Tangu Rais...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Elon Musk amerudi kuwa tajiri namba moja Duniani kwa mara nyingine tena

    Bwana Elon Musk ambae alikua Tajiri namba 1 Duniani toka August 2021 hadi October 2022 na kisha kua tajiri namba 2 kwa muda wa miezi 4 hivi kutokana na kushuka kwa thamani ya hisa zake, sasa amerejea tena kileleni. Elon Musk aambaeni muanzilishi na mmiliki wa makampuni kadhaa ikiwemo Tesla...
  4. JamiiForums Tanzania Njoo tushauriane jinsi ya kuacha kazi sehemu moja na kufuata greener pasture

    Hii imemtokea rafik angu kapata offer nzuri kampuni ingine kutokana na utendaji wake. Sehemu aliyopo kamaliza contract wanamlipa vizuri na anaishi vizuri tuu hapa mjini. Kawapa demand zake Ili a renew contract ila wamesema hawata ongeza maslah Kwa kiwango anacho taka yeye. Amefanya na hao...
  5. JamiiForums Tanzania FT: Vipers S.C 0-1 Simba S.C | CAF Champions League | St. Mary's Stadium | 25.02.2023

    Ni siku nyingine tena ambapo Mabingwa wa Uganga Vipers S.C wanawakaribisha Simba S.C kwenye mchezo mwingine wa kutafuta alama tatu ili kujiweka sawa katika msimamo wa kundi C wa ligi ya Mabingwa barani Afrika. Mchezo huu utapigwa kwenye dimba la mtakatifu Maria huko Kitende nchini Uganda...
  6. JamiiForums Tanzania Hatumpangii Kocha ila nasi Mpira tunaujua vile vile hivyo tunaomba moja ya Squad hili lianze leo Kampala

    Kikosi A 1. Aishi Manula 2. Shomary Kapombe 3. Mohammed Hussein 4. Joash Onyango 5. Henock Inonga 6. Sadio Kanoute 7. Kibu Denis 8. Clatous Chama 9. Jean Baleke 10. Moses Phiri 11. Saido Ntibanzokinza Kikosi B 1. Aishi Manula 2. Israeli Mwenda 3. Mohammed Hussein 4. Joash Onyango 5. Henock...
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya imetoa ruhusa ya wapenzi wa jinsia moja kujumuika

    BBC Swahili wanalipoti kuwa mahakama ya juu nchini Kenya imeanza vyema kuruhusu wapenzi wa jinsia moja kuwa na haki ya kujumuika, hii ni ishara sasa kenya inaelekea kule walipo waliokaaga mwanzo kisha wakakubaliana na hali. Hili ni tukio baya sana kwa ukanda wetu ambapo ile nguvu moja ya...
  8. JamiiForums Tanzania Baada ya Diamond platnumz kuonekana moja ya club ambayo Chris Brown alikuwa akifanya Show

    Wabongo bhana..... Diamondplatnumz baada ya kuonekana kwenye moja ya club uko london akiwa anashuhudia show ya msanii nguli wa Rnb na pop/ Chris Brown, wabongo wamekuja na lao jambo kuwa tiyari Diamondplatnumz ashafanya wimbo na Chris Brown... kweli Tunaushabik wa kidenzi sana 😁😁😁 nimecheka...
  9. JamiiForums Tanzania Serikali: Mfumuko wa Bei za Vyakula na Vinywaji bado ni Himilivu

    OFISI ya Taifa ya Takwimu (NBS), imetabiri kwamba mfumuko wa bei za bidhaa za vyakula na vinywaji baridi unatarajiwa kupungua kwa asilimia moja katika kipindi cha robo ya kwanza ya mwaka huu. Pia imesema mfumuko wa bei kwa ujumla unahimilika kwa kuwa bado uko kwenye tarakimu moja. Mtakwimu...
  10. JamiiForums Tanzania Selena Gomez: Huwa nafuta App ya Mtandao wa Instagram kwenye simu yangu walau mara moja kila wiki

    Mwaka 2017, akihojiwa na baadhi ya vyombo vya habari kuhusu namna anavyoutumia mtandao huo, Selena alinukuliwa akisema “Huwa nafuta App ya mtandao huu walau mara moja kila wiki sababu Watu huandika maoni makali kama vile wanataka kukutoa roho” Mwaka 2019 aliamua kusitisha matumizi ya mtandao wa...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Chanjo ya Tatu Moja kwa Vifaranga

    WanaJF ninaomba mwenye uzoefu na chanjo ya Tatu moja inayotengenezwa hapa nchini anielimishe mambo yafuatayo! 1) Ubora na matokeo ya kutumia chanjo hiyo 2) Je ni kweli inazuia magonjwa lengwa hasa kwa kuku?Ufanisi wake ukoje? NINAOMBA MNIELIMISHE HARAKA NINA VIFARANGA NINATAKA NIVICHANJE...
  12. JamiiForums Tanzania Mgawanyiko wa Barabara ya Mbezi mwisho ni moja ya alama kuu za TANROADS

    Rip kwa Mzee wetu Magufuli na engineer Mfugale leo nichukue fursa hii kuwapongeza watu hawa pamoja na TANROADS kwa kazi bora ya pale barabara ya Mbezi mwisho. Nilikuwa napita pale kwa Mishe zangu tu tena maramoja moja sana, nikaja kuona uzi wa mtu huku akitabiri kuwa uwepo wa stand ile...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kesho kuna Timu Moja Duniani ikijichanganya tu inapigwa Goli 6 au 7 kabisa

    Wengine tumechekwa leo ila nasi tutawacheka zaidi Kesho huko waliko na ikitokea hivyo kweli Watuvumilie tu na Wawe Wapole hasa kwani kuna tofauti Kubwa kati ya Namba Moja na Namba Sita au Saba.
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hadi sasa EX wangu ndo namba moja yangu

    Habari wakuu, Ni mwaka na ushee sasa toka niachane na huyu dada, Huyu dada tulianza mahusiano ya kawaida nikiwa bado sina uwezo wa kujitegemea hadi nikawa nao. Yeye alinitangulia kiumri na kimaisha pia, Kwani alinizidi miaka minne na pia wakati tunaanza mahusiano mimi nilikuwa bado tegemezi...
  15. JamiiForums Tanzania Video: Moja ya shule zilizojengwa kwa tozo, foreign reserve trilioni 1.3 na pesa za UVIKO

  16. JamiiForums Tanzania Mpina, thibitisha uchungu wako kwa taifa kwa kurejesha ekari elfu moja (1000) ulizodhulumu wanakijiji mkoani Morogoro, hawana pa kulima, wanakufa njaa

    Mpina, akiwa Waziri, kwa mbinu na vitisho alichukua ardhi yote yenye rutuba katika Kijiji hapa Morogoro. Anasikika akihimiza uzalendo na kukemea wizi, namsihi aanze kwa kurudisha shamba la wanakijiji, hawana pa kulima, amechukua ardhi ya kijiji kizima. Hakufilisi wavuvi tu, hata kwa wakulima...
  17. JamiiForums Tanzania 1 in a million moments: Jay Z, Rick Ross, Lil Wayne na DJ Khaled Stage moja Grammys 2023

    Aisee hii show ya grammys mwaka huu hatari. Miamba kadhaa ya Rap stage moja huku jay z akishuka verse yake ya karibu dkk 5 kwenye God did. Jionee mwenyewe hapa chini
  18. JamiiForums Tanzania Wameamua wawe na mtoto moja tu licha ya kuwa na uwezo wa kuongeza na kulea, je hii ni haki kwa mtoto wa kiafrika?

    Ni wazazi wawili, mke ni mhasibu taasisi ya kiserikali, mme ni engineer, kielimu wapo vizuri kuna moja aliweza kusoma masters yake nje ya nchi na mwingine ni hapa hapa bongo ila ana elimu kubwa. Mtoto walie nae ni moja tu yupo darasa la saba. Sababu kuu ya kuwa na mtoto moja ni mke kutotaka...
  19. JamiiForums Tanzania Huyu msanii Appy ni moja ya vocalist wakali sana wa kike, ni vile tu hana platform ya kumtrendisha

    Nimegundua miaka hii tunasikiliza mziki mbovu kuliko wazee wetu. Tunasikiliza mziki kutokana na umaarufu wa mwanamuziki na si talent yake. Na kama tujuavyo, umaarufu ni kujitangaza tu. Huyu msanii ni mkali sana. Vocals zake ni za kipekee sana.
  20. R

    JamiiForums Tanzania NI kwamba moja ya malengo yaliyoainishwa kwenye ilani ya CCM ni pamoja na kuimarisha mazingira ya KUBET?

    Awali nilimpongeza Sana Katibu WA CCM alivyopiga marufuku kubeti. Contrary; nimesikitika kusikia kubeti IPO kwenye ilani ya chama cha mapinduzi. Je, ni kweli ilani hiyo inatengeneza wataalamu WA kubeti au ni propaganda? Kama ilani inasimamia kubeti, je Katibu Mkuu kukemea nikupingana na ilani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…