Movement for Justice in Africa (MOJA) is a pan-African left-wing political organization in Liberia, with chapters in Ghana and The Gambia. It was founded in 1973 by Togba Nah Tipoteh, who is currently its president.
Iko Nairobi yapata km 10 kutoka CBD ya Nairobi;-
Kibera inajulikana kwa umaarufu wake kama moja ya mitaa ya mabanda mikubwa na maskini zaidi duniani. Hakuna idadi kamili ya watu wanaoishi Kibera, lakini makadirio yanatofautiana kutoka watu 700,000 hadi milioni moja. Katika Kibera, msongamano...
Najiuliza hapa Bei ya kuvuta umeme nguzo Moja ni Bei Gani Kuna jamaa wameniambia 1m hivi ni kweli wakuu au wanataka kunipiga maana sielewi taratibu mnaojua mnijuze wakuu@Tanesco
Viwanja Vinauzwa.
Vipo Kibaha maili moja karibu na nyumbani kwa Mkuu wa Mkoa.
Viwanja viko viwili ndani ya eneo moja, moja ina nyumba ya vyumba vitatu.
Ukubwa wa Eneo: Sqm 1294 na cha pili Sqm 2021.
Nyaraka: Vina Hatimiliki.
Bei: Tzs Milioni 750. Maongezi yanaruhusiwa.
Gharama za kwenda kuona...
Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde, amebainisha kuwa Sekta ya Madini nchini imeendelea kupiga hatua kubwa, ambapo maduhuli ya zaidi ya shilingi bilioni 902 sawa na asilimia 90.2 ya lengo la kukusanya Shilingi trilioni moja kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025 kufikia Mei 15, 2025, ikiwa ni kabla ya...
Punguza sifuri moja kwenye noti za Tanzanian kuna athari kadhaa za kifedha na kiuchumi, ambazo ni pamoja na:
1. Kuhifadhi Thamani na Usahihi wa Bei: Kupunguza sifuri moja kwenye noti kunaweza kusaidia kuboresha usahihi wa bei na kupunguza mkanganyiko wakati wa kujumuisha au kuhesabu bei kubwa...
MOJA YA WATU UNAOTAKIWA KUWAEPUKA NI WALE WANAOPENDA KUKUTAJIA MAKOSA NA AIBU ULIZOZIFANYA WAKATI ULIOPITA. WENYE CHUKI NA WEWE.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Ni kweli unahitaji watu katika maisha lakini watu hao wasiwe toxic wenye Negativity.
Watu wanaojifanya marafiki kumbe ni Adui...
Sasa!
Imeshakuwa kawaida, polisi wa kawaida tu Cheo Cha chini, utasikia amemkamata na kumweka ndani Makamo mwenyekiti wa chama Cha upinzani CDM,kwa sababu sizoeleweka,
Leo imeripotiwa kiongozi mkubwa wa chama CHADEMA ,Amani Golugwa kakamatwa na polisi airport, na imedaiwa kapigwa pia ,ukiuliza...
Boom ni 600k, toa 156k kulipa deni la boom advance toa Kodi, toa chakula toa nauli toa book na stationary...!!
Kifupi namaliza chuo sina hata mia, na sio mia tu sina hata business idea.
Natamani kulia natamani kucheka
Hapa itabidi nijitahidi kukwepa hili deni la boom advance nakwepaje...
Wiki moja toka nichapishe chapisho kuhusu ni namna gani ya kujikinga na wezi unapokwenda sehemu zenye mikusanyiko ya watu wengi niliibiwa
Kwanza unachokisoma kwa watu mbalimbali humu unatakiwa kuchanganya na zako, as long as hakitakuwa na shida upande wako, maana kila mtu ana andika jambo...
Nimekuwa nikifuatilia kuondoka kwa wanachama CHADEMA wote wasema sababu ya ubaguzi, uongozi wa kiimla au kunyanyaswa na hatimaye wakiondoka hawasemi waendako eti wote wanapumzika tu.
Je mtu akisema wanatumika utasemaje? au u kaskazini au walizoea kutafuna tulitegemea kila mmoja na staili yake...
Uefa champions league
PSG vs intermillan
Bingwa PSG
Europa uefa league
Totenham hotsper vs manchester united
Bingwa tottenham hotspers
Ecl
Real bets vs chelsea
Bingwa: real bets
Bingwa wa laliga :real madrid
Bingwa wa seriA :intermillan
Ikumbukwe kwa epl tayari liverpool...
Dawa ya miguu kuwaka moto🤔
🗣️leo nitapenda kuelekeza Dawa ya miguu kuwaka moto au kufa ganzi au kupoza au kuuma.
chukuwa shabu vijiko 4
vikubwa chemsha kwenye maji ya ya Lita mbili kisha jikande
✍️ Kwa kitambaa Kwa siku Mara mbili kwa siku 4 tu kisha mlete majibu ni watu wengi wamekuwa...
Mwaka 2008 nilipanda basi moja na mama mkwe wangu ambaye nilikuwa ninamuheshimu kuliko hata mama yangu kutokana na umri wake wa makamo (alikuwa mwalimu wa shule ya msingi aliyekaribia kustaafu na mtu wa dini sana).
Kwenye basi nilikaa naye pamoja na safari ilikuwa ya masaa sita (6) na kwa...
Ndege 30 zimeingia kwenye anga la Yemen kwenye ukanda wa Houthi lakini wameshindwa kuotea hata moja tu ?
Hata hivyo, lawama kamili huenda ikaelekezwa kwa Iran, ambao wapo nyuma ya Houthi. Inaonekana kwamba Iran waliwapatia Houthi mifumo ile ile ya ulinzi wa anga ambayo Israel waliidharau kwa...
Viwanja Vinauzwa.
Vipo Kibaha maili moja karibu na nyumbani kwa Mkuu wa Mkoa.
Viwanja viko viwili ndani ya eneo moja, moja ina nyumba ya vyumba vitatu.
Ukubwa wa Eneo: Sqm 1294 na cha pili Sqm 2021.
Nyaraka: Vina Hatimiliki.
Bei: Tzs Milioni 750. Maongezi yanaruhusiwa.
Gharama za kwenda kuona...
1. Ushahidi wa Kiakiolojia (Archaeological Evidence)
Hakuna ushahidi wa moja kwa moja wa kiakiolojia (mabaki ya majengo, maandishi ya kale, nk) unaothibitisha kwamba mtu anayeitwa Ibrahim alifika au kuishi katika Makka au sehemu yoyote ya leo ya Saudi Arabia.
Sababu kuu:
Makka haikuwa kituo...
Nikiwa rais Tanzania haitakuwa tena eneo la kuvunia data yaani makampuni ya research ya kitanzania hayatafanya kazi kidalali kama ilivyo sasa
Katika kutafuta novel therapeutics compound ya magonjwa mbalimbali tafiti zitajikita kwenye mambo yafuatayo;-
Method of predict normal protein mutation...
Toka day one ya sakata la derby na hatua ya Yanga kupeleka kesi CAS nilikuwa nahoji mara kwa mara inakuwaje unapeleka kesi ya rufaa wakati hauna nakala ya hukumu ya awali, nikajibiwa kwa jazba na mashabiki lia lia kuwa nisubiri nione. Nikaambiwa mimi ni nani nipewe nakala ya hukumu, wakiwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.