moja

Movement for Justice in Africa (MOJA) is a pan-African left-wing political organization in Liberia, with chapters in Ghana and The Gambia. It was founded in 1973 by Togba Nah Tipoteh, who is currently its president.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Hadi sasa derby ya Kariakoo tarehe 25, Yanga anaongoza 2-0 nje ya uwanja

    Kisaikolojia mbumbumbu wamepigwa knock out ya kushtukiza ambayo imewaacha wakiwa Awana la kufanya! Viongozi wao ni juzi tu wametoa kipeperushi cha kutokucheza mechi endapo itaghairishwa ya trh 15,,lakini kabla jogoo ajawika bodi ikatangaza kughairisha mechi na kupeleka trh 25! Sasa viongozi wao...
  2. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Tunawezaje kuandamana kwaajili ya kuleta mabadiliko? Zipi mbinu bora kwenye kukamilisha hili?

    Iwe isiwe Tanzania viongozi hawatotusikiliza bila sisi kuingia barabarani na kuwawajibisha na hii ndio njia pekee kiongozi wa Africa anakusikiliza. Ila mpaka sasa hatuna mbinu za kufanikisha hili. Huu mwaka tusikubali uishe kizembe aisee Kama sio Leo Ni lini. No Reforms, No Election.
  3. radhiya

    JamiiForums Tanzania Viwanja Viwili Vinauzwa Kibaha Maili Moja

    Viwanja Vinauzwa. Vipo Kibaha maili moja karibu na nyumbani kwa Mkuu wa Mkoa. Viwanja viko viwili ndani ya eneo moja, moja ina nyumba ya vyumba vitatu. Ukubwa wa Eneo: Sqm 1294 na cha pili Sqm 2021. Nyaraka: Vina Hatimiliki. Bei: Tzs Milioni 750. Maongezi yanaruhusiwa. Gharama za kwenda kuona...
  4. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Baada ya dogo Shukuru kumchakaza goli 4 Sisco, Noel ataka milioni moja ndio acheze na dogo Shuku.

    Baada wiki iliyopita Dogo Shukuru kumtandika goli 4 kwa michezo 24 waliyocheza dhidi ya Dogo Sisco, Dogo Shukuru ametamba kumtaka kucheza na Noel Namaloe ila Noel kama kamkimbia dogo kimtindo anataka awekewe dau la milioni moja ndio acheze na dogo Shukuru. Ikumbukwe wiki chache zilizopita...
  5. CHASHA FARMING

    JamiiForums Tanzania Moja ya sababu za Foreigners kulisha Hoteli za kitalii Matunda na Mboga mboga ni kwa sababu ya ujinga wa sisi Watanzania hakuna sababu nyingine.

    Wanao faidika na wingi wa Hoteli za kitalii au Camps hapa Tanzania au wingi wa watalii ni foregners, na sio sisi Watanzania. Sababu iko wazi. Kule Iringa kuna yule Mafisio, yule Mzungu anailisha Zanzibar yote, analisha Dar hotels na Super Market zote, anailisha Arusha hoteli zote na Super...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Suti Kali ya Kiume! Imetumika Siku Moja Tu - Maongezi yapo!

    Suti hii imevaliwa siku moja tu na ipo katika hali nzuri kabisa, kama mpya! Inajumuisha: Makoti Mawili: Rangi nyeupe na nyeusi. Suruali: Kiuno size 31/32. Kizibao Tai nyeusi Bei: Laki Sita TZS (600,000 TZS). Maongezi yapo! Suti inapatikana Ubungo Makuburi, Dar es Salaam. Kwa maelezo zaidi...
  7. Powell Gonzalez

    JamiiForums Tanzania Natafuta mutoto moja swafi, kienyeji msafi tukakule maisha mwishoni mwa wiki hii

    Eh bana eh muhindi amekubali kutoa pesa jana, no risk no story. Japo si pesa mingi lakini inatosha kutumbua maisha na musichana moja ya kienyeji. Burudani tutalianza ijumaa jioni mpaka jumapili alfajiri. Vigezo: uwe dar es salaam, uwe mtoto wa kienyeji sitaki slay queen. Amount to be spent in...
  8. Kaptula la max

    JamiiForums Tanzania Kizazi cha 80's ni moja ya vizazi vya ovyo sana Nchi hii!

    IGwe! Moja ya vizazi vya hovyo kuzaliwa nchi hii basi ni kizazi cha miaka ya 80's. Hiki kizazi kimejaa kina baba na kina mama wabinafsi wa kupindukia, waoga wote wako humu, machawa wote utawakuta humu, kama ulimsikia jiwe akizungumzia watanzania wanyonge basi alikua anazungumzia hili kundi! ni...
  9. Annie X6

    JamiiForums Tanzania Nilitembea shule moja ya sekondari. Walimu wengine wanajiona wa maana kuliko wenzao.

    Milikuwa na appointment na mtu hapo shule. Nikapewa kitu na nikiwa nasubiri akatokea mwalimu wa ratiba. Mwalimu wa ratiba aliongozana na rundo la walimu wengine wakike. Walikuandama yule mbaba wa watu. Wanamuuliza maswali, ukiona wapi somo la hesabu likawekwa mwisho, akaja mwingine wa English...
  10. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Kijana katuambia anataka kufanya harusi (kuoa) yeye kaandaa laki moja tu, anaomba aongezewe pesa iliyobaki

    Kijana kaomba aongezewe pesa iliyobaki ili aweze kufanya sherehe kabambe. Wakuu mtu kama huyu anasaidiwa vipi huko kwenu?
  11. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Samia wakati anaingia madarakani alitupa tumaini la kidemokrasia na alisema ataongoza tu awamu moja sasa hivi amebadilika

    Samia wakati anaingia madarakani kama rais alitupa tumaini la kidemokrasia na alisema ataongoza tu awamu moja sasa hivi amebadilika. Samia wa sasa hivi sio yule tunaye mjua aliyesema atatuvusha tu wakati huu wa majonzi kwa kumpoteza JPM lakini badala yake amebadilika amekuwa tofauti anaminya...
  12. Uponyaji na uzima

    JamiiForums Tanzania Benki zikizuiwa kukopesha wafanyakazi walioajiriwa hasa wa serikali zitakufa mara moja

    Kitu kinaitwa Salaried Workers Loan (SWL) ndio chanzo cha mateso ya wafanyakazi maana wengi wanakopa kwa kufuata mkumbo. Ukipata nafasi ya kuongea na maafisa mikopo wa benki na namna wanavyowawahi staff wapya wanapoajiriwa utaelewa namna nchi ilivyo na wajinga wengi. Mtu katoka kuajiriwa na...
  13. gstar

    JamiiForums Tanzania Je, Kiongozi mkuu wa nchi atahukumiwa kwa makosa ambayo hakuyatenda yeye moja kwa moja?

    Katika nafasi ya uongozi, kiongozi mkuu wa nchi anabeba dhamana kubwa ya kuhakikisha usalama wa raia wake na mali zao unakuwa mkubwa. Endapo yakitokea mauwaji ama upotevu wa raia ama viashiria vyovyote vya uvunjifu wa amani kiongozi huyo anao wajibu wa kuhakikisha kwamba anakemea maovu hayo na...
  14. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa leo litapigia kura azimio la kutaka kusitishwa mara moja kwa mapigano huko Gaza

    Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa leo litapigia kura azimio la kutakao kusitishwa mara moja kwa mapigano huko Gaza. Azimio hilo haliwekei masharti ya kusitisha mapigano kwa kuachiliwa kwa mateka waliosalia. Kwa maneno mengine, inawaacha Hamas madarakani, wakiwa na silaha, na kuwashikilia...
  15. L

    JamiiForums Tanzania CCM Ni Dude Moja Kubwa Sana Ambalo Mtu na genge lako Huwezi Kushindana Nalo na Ukaliweza au Kulidhoofisha. Waliojaribu waliishia Kufedheheka

    Ndugu zangu Watanzania, CCM ni dude Moja Kubwa sana, ni dude ambalo mtu binafsi na genge lako au kikundi chako cha uchumia tumbo au usaka tonge au uroho wako wa madaraka huwezi kupambana nalo wala kushindana nalo wala kulidhoofisha wala kulihujumu wala kulidodosha wala kulitikisa wala...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Ninyi wahubiri wakristo hebu sasa acheni kutuaibisha. Yesu alikuwa anakemea mapepo masaa na na masaa au ilikuwa ni AMRI MOJA, ONDOKA?

    Mnafanya mambo ya upumbavu. Kwa damu ya Yesu × 500, kwa jina la Yesu x 400, toka toka toka x600. Kwa damu ya mwana kondoo x500 ....n.k. Huo ni upumbavu na hao wanaojazana humu nao ....... Yesu wala mitume hawakufanya ujuha huo. Ninyi ni wanamazingaombwe tu. BIBLIA ILISHAWEKA WAZI NINYI...
  17. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Tumepoteza shillingi moja, tunaomba msaada wa kuitafuta

    Mathematical Riddle ; Fumbo la Hisabati Marafiki watatu, Gwajima, Wambura na CCM walienda hotelini kwa Tulia, wakalipia room shs.30/= , ambapo kila mtu alichangia shs.10/=. Baadae Tulia akagundua kwamba gharama ya chumba ilikuwa shs.25/= tu, hivyo akamkabidhi mlinzi Mafwela shs.5/= ili...
  18. Webabu

    JamiiForums Tanzania Qattar inasema inataka iweke wazi kwamba Marekani ndiyo iliyoiomba iwapatie ndege moja kwa matumizi ya rais

    Tangu raisi Trump atembelee nchi tatu za kiarabu za mashariki ya kati na kupewa zawadi kede kede minongono imekuwa mingi hasa juu ya Qattar kuipatia Marekani ndege moja ya fakhari sana kwa matumizi yake ya kumsaririsha raisi huku na huko ndani na nje ya nchi. Hatimae Qattar imesema kupitia...
  19. hungary

    JamiiForums Tanzania Nataka kwenda ujerumani, Canada au Australia katika hizo nchi moja wapo

    Habari wakuu ... Elimu yang diploma ya afya ..... Mpango ni kujiendeleza kielimu au kufanya kazi Uzi tayari
  20. Manepesa

    JamiiForums Tanzania Mchezo wa fainali UEFA, tiketi Moja ni Milioni 14 za kitanzania, bei ya chini kabisa, ila bongo elfu 5 tu mnalialia.

    Nawaza ingekua ndio derby ya bongo imeahirishwa na tiketi Moja ni 14,000,000, si kungezuka vita nchini? 😂 Habari zingesambaa duniani kote , watu wauana baada ya derby kuahirishwa, bodi ya ligi yakimbis kusikojulikana😂, Mzee Mguto na President Karia wafichwa ikulu kuepusha shari 😂😂😂😂 Anyway kila...
Back
Top Bottom