Movement for Justice in Africa (MOJA) is a pan-African left-wing political organization in Liberia, with chapters in Ghana and The Gambia. It was founded in 1973 by Togba Nah Tipoteh, who is currently its president.
Nionyeshe Jimbo hata moja lenye maendeleo maana yake kuwa na maendeleo lina sera mbalimbali bora kabisa hapo jimboni.
1. Huduma bora za afya
2. Sera nzuri ya ajira, hakuna tati la ajira.
3. Sera nzuri za kufanya biashara.
4. Elimu bora na yenye viwango.
5. Sera nzuri za hifadhi ya jamii.
6...
Kama utaweza kufanya upumbavu na unyama wa aina hii kwa kisingizio cha jadi ya dini au mara oooh sijui nani nani tunaemuheshimu alifanya then unastahili kibaya chochote kile kikutokee maishani mwako.
Naeelewa hatuko perfect ila kwenda kurubuni mtoto mdogo wa kike miaka 6, 12, 9, 10, 8 wewe ni...
Ni desturi mbaya kukusanyika mahali pa matanga na kukaa hapo hapo siku nyingi kuwatia gharama waliofiwa.
Mtu aliepatwa na msiba lazima apewe mkono wa tanzia maana atafarijika lakini kuiendeleza muda mrefu kutamwongezea huzuni na mzigo.
Kwa nini hakuna hata nchi moja ya kiarabu yenye demokrasia?
Demokrasia haiivii chungu kimoja kabisa na uarabu?
Hii ina athari gani kwetu pia kama nchi kwetu sisi ambapo utamaduni wa Kiarabu una mizizi pia ?
Wapentekoste waliingia Tanganyika zamani sana miaka ya kati ya 1900's. Free Pentecostal Church of Tanzania (FPCT) walianza kuwepo Tanzania mwaka 1932, hata hivyo hawakuweza kupata mafanikio makubwa mpaka miaka ya mwishoni ya 1980 na mwanzoni miaka ya 1990. Walipoanza kuingia kwa nguvu katika...
Kwanza niweke record sawa mimi sitetei Feminism......na sio feminist at all.
Jana nimetizama mechi kali sana ya wanawake kati ya Nigeria vs Tunisie wao wanaita Wafcon... (3-0)
Niseme ukweli wale wanawake ni wachezaji wepesi, wazuri sana na wana kasi pengine kuzidi baadhi ya wanaume.....
Yaani...
hizi deep frier za chips zinauzwa kila moja ni 130,000
zipo mbili....nimezitumia muda mfupi kiasj kwamba na karatasi nimebandua jana wakati naziosha
naziuza sababu nimebadirisha biashara
0744597493
napatikana Dar es salaam
tukielewana bei utaletewa mpaka mlangoni
Sasa tupo mahala si salama kama shule inaweza kufutwa kwa ajili ya mwekezaji.
Inaanza kuwa new normal . Years back mwekezaji binafsi alijipa jukumu la kufanya tathmini ya nyumba za watu binafsi vingunguti jijini ,Lukuvi akiwa ardhi chini ya magufuli zoezi lilifutwa na baada ya awamu hiyo...
Niaje wajuba!
Kuna jamaa yangu hapa uume / warhead yake imesimama moja kwa moja Leo ni siku ya tano anashindwa afanyaje,
Mkasa upo hivi alikula demu wa jamaa lwa kumhonga Hela tangu siku hiyo haijalala, uzuri kinachomsaidia ni kwamba jamaa ana kibamier,
Mpeni ushauri mwanetu
Imagine naenda Coco Beach nawaambia wanifungie Mihogo na Mishkaki,Mnanibabatiza na Mihogo Michelema na nyama mnaweka nyingine pingili moja?
Kweli Dogoli wa kufanywa Fala kwenye Jiji langu niliozaliwa tena Osterbay???😭😭😭😭😭
Bro ulioniuzia njoo DM kabla ya Kumtuma Jini langu Subiani Bin Sina Sudi...
Chadema ndo ilikuwa inatia wagombea hofu wa vyama vingine.kwa kutokushiriki sasa imefungulia kila mtu ambaye anajua atagombea kupitia CCM atashinda bila wasiwasi.
Na wakati huo huo vyama vingine vya upinzani vinaona hii ni nafasi ya wao kuweza pata wabunge kwa kuwa ni wazi kuna majimbo ambayo...
Iweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee iwe iiwe iiweeeeeeeeeee
Ndani ya serikali ya Tanzania nitahoji na kuuliza kila kitu kinachofanywa na watumishi wa serikali kwenye kila nyanja mbalimbali
ila tusi lanhu kubwa nitakalo watukana wafanya ubadhilifu na majuha ndani ya serikali itakuwa ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.