Israel wanataka tu Roho ya Ayatollah Khamenei

TumainiEl

Platinum Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
7,275
Reaction score
14,315
Watu watakufa watu wataumia kwa maelfu ila wazee wakutoa roho qka Israel wana kazi moja sio vinu vya nyuklia wala nini ila roho ya mkuu wakidini Ayatollah Khamenei.

Je, ni kwani?

Mpaka sasa Israel chini ya kikosi chao cha majasusi Shinbet and Mossad wamesha pata nakala na ushahidi wakutosha nani alitoa fungu lakuwauwa zaidi ya wayahudi elfu moja kiufupi mpaka babu yenu putin wameshajuwa mchango wao na ili isiwe shida.

Wameamua kumpotezea nakusema liwalo na liwe Ayatollah Khomen ni halali yetu.. yaani yaani iran itanuka maana kwanza kila unavyosikia mlipuko Ayatollah yupo maeneo hayo na hii ndio sababu Ayatollah anamlilia USA ampooze Israel ila bado wanataka roho ya huyu mzee wakimaliza yanafuwata mapinduzi. Wana wataingia wataiba all secret wanazitaka kisha wana hamia Ukraine mtasikia vita imesimama ghafla..
 
vveeq.PNG

Tel Aviv ni kituo, washeni ile THAAD sasa
 
Ilikuwa 14 July 2025 leo 28.02.2026 wamemalizana naye. Utabiri umetimia
 
Hii ni moja ya secret mission itaishituwa dunia nayo ni Iran down it will take long but huwo ndio mwisho wao utakuwa. Shida ni moja Iran wanapania kulipiza wakati pia ktk giza Israel na washirika wake wana apa hakuna mtu ktk familia ya wanao wapinga Ataishi. Hii story inajirudia kama chama chs manaz kule German. Nimpaka walipo hakikisha hakuna masalia ndipo walipoa. Jambo moja la hatari kwa Israel nikuwa hawasamehi alie mwaga dam ya watu wao nimpaka tone la mwisho ndio watapoa.
 
Kabisa mkuu na ushahidi upo pale Gaza jamaa karibu wote walioshiriki oct 7 hawapo duniani kwasasa na Bado IDF wanaendesha msako.
 
Sio kweli, Pakistan walitoa silaha na mafunzo kwa Hamas kuelekea October 7 mbona Israel inaogopa kuwagusa??

Hao Israel ni wanafiki tu, viongozi wa israel wanajali maslahi yao sio eti ya wananchi. Ndio maana Al sharaa licha ya kuwa ni Al qaeda aliyehusika na mashambulizi ya Hamas ila bado Israel wamemsaidia kuwa Rais wa Syria. Ila nyie huku chini mnawaona eti huwa wako serious na maadui wa taifa!!
 
Back
Top Bottom