mohamed

Mohamed Abdullahi Mohamed (born 12 March 1962), also known as Farmajo, is a Somali politician and diplomat who has served as the 9th and current President of Somalia since 16 February 2017. At the time of his election he
had dual Somali and U.S. citizenship, but he renounced his U.S. citizenship during his term in office with no explanation as to why. He was previously a Prime Minister of Somalia from November 2010 until June 2011 and is the founder and Chairman of the Tayo Political Party. He became the President of Somalia after winning in the 2017 Somali presidential election with 195 votes out of a total of 330 by members of the Somali Parliament after defeating former president Hassan Sheikh Mohamud.

View More On Wikipedia.org
  1. Mohamed Said

    Mohamed Said ''Gaidi Mzungu wa Unga" 2007

    https://youtu.be/l8hm_snQlbE?si=LK88xQE7xF3g1C5n
  2. Castle_Lite

    Mtume Mohamed na Upendeleo wa Allah

    Kama Duniani tu Allah alimpendelea Mtume wetu na kumruhusu kuoa wanawake 10+ . Nina amini huko Peponi atakuwa anawazagamua sana wale Mahurumain wa Allah. Quran 33:50 "Ewe Nabii! Tumekuhalalishia wake zako ulio wapa mahari yao, na ulio wamiliki kwa mkono wako wa kulia katika alio kupa Mwenyezi...
  3. Mafyangula

    Mohamed Kibao: Hakuna mtu anayestahili kuuawa kinyama kiasi kile

    Sisi kama familia tumejitahidi sana kutenganisha matukio haya na siasa ndio maana atuongeleni kuhusu CCM. Lakini haijalishi mtazamo wake wa kisiasa, haijalishi alikuwa anafanya kazi na nani hakuna anayestahili kupitia aliyo yapitia yeye. Amesema Mohamed Ali Kibao
  4. R

    ICC yamhukumu Kiongozi wa Janjaweed Mohamed Rahaman miaka 20 jela kwa uhalifu wa kivita na uhalifu dhidi ya binadamu Darfur

    Jitu limeua watu kibao, leo eti kifungo miaka 20. Huu ni utani! Ilibidi anyongwe maana ameua wanadamu wengi Darfur! Kwahiyo na huyu wa kule Visiwa vya Indonesia atahukumiwa miaka 20 na mauaji ya zaidi ya watu 10,000 aliowaua majumbani!!!
  5. R

    PostGE2025 Sheikh Mohamed Abdallah: Yaliyotokea ni somo kuwa lolote linaweza kutokea, tuchukulie kila jambo kwa uzito bila kudharau

    "Hili sasa limekuwa somo kwamba kumbe kwa mwanadamu lolote linaweza kutokea hivyo ni vizuri sana kwa wakati tuliokuwa nao, viongozi wetu, Serikali, Taasisi zisizo za kiserikali na wananchi kwa ujumla kila mmoja...tuna kazi ya kufanya kulinda na kuendeleza amani yetu..."- Amesema Sheikh Mohamed...
  6. Mwanadiplomasia Mahiri

    Utabiri: Taja jina la mbunge unayetamani awe Waziri Mkuu mpya wa Tanzania?

    Kwa utabiri wangu, Mwigulu, Innocent Bashungwa au Jafo mmoja wapo ataukwaa U-PM. Tupe utabiri wako
  7. R

    GE2025 John Mnyika: Said Mohamed ametoa madai ya Uongo, Tunasubiri uamuzi ya Jaji Septemba 29, 2025

    Leo Septemba 26, 2025 Kaimu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika ametoa kauli kufuatia madai ya aliyekuwa Makamu Mwenyekiti Zanzibar Said Issa Mohammed kuwa ni ya uongo, hii ikiwa ni muendelezo wa Kesi ya Mgawanyo wa Mali CHADEMA ambayo itasikilizwa tena...
  8. ngara23

    Mohamed Yussoufeli ni papa asiyeguswa na Serikali ana kiburi mpaka Shetani anaogopa

    Mohamed Yussoufeli ni raia mwenye asili ya India Kwenye utawala wa Magu alikabiliwa na kesi 199 zikiwemo za kutakatisha fedha, mikataba ya ulaghai, ufisadi na ukwepaji Kodi kiasi cha billion 15.6 Baada ya kifo cha JPM huyu bwana aliachiliwa akakimbia nchi kidogo na Sasa amerejea na anafanya...
  9. Maya Angelou

    Natafuta mganga wa kienyeji konki

    Poleni na majukumu ya kila siku, nimekuja na ID yangu hii sina haja ya kujificha. Moja kwa moja kwenye mada, nahitaji msaada kama kuna mtu anamjua mganga wa uhakika anifanyie kazi yangu, kuna waganga huwa nasikia wanatoa watu mabusha, wanatuma majini au kumpa mtu ugonjwa nahitaji mganga wa...
  10. Kichuguu

    Ilikuwaje Azam kuhusu Golikipa Mohamed Mohamed Mustafa?

    Huyu golikipa ni mali sana ila sijui ilikuwaje akaondoka Azam ambayo ina fedha ndefu sana. Nilimwona langoni wakati Sudan ikiwaadabisha Nigeria kwenye CHAN 2024 ikiwa ni dhahiri kuwa hayuko Azam tena.
  11. Yohimbe bark

    Anaitwa Mohamed Yorobo Bangoura

    Aisee hii ni beki ya kushoto kutoka Guinea inakiwasha kinoma leo kakiwasha sana game ya SA vs Guinea. Aisee Simba sports club please mleteni huyu jamaa
  12. U

    General Mohamed Siad Barre, the last President of a unified Somalia

    General Mohamed Siad Barre, the last President of a unified Somalia When he was ousted in a coup by several warlords whose public face was General Mohamed Farah Aideed, Siad Barre escaped to Kenya where he stayed at the Safari Park Hotel for about two months, reportedly incurring expenses...
  13. Just Pray

    GE2025 Mohamed Abood: Tunachagua aliye tayari kwa utii kwa chama na mwenyekiti wetu, viongozi wenye sifa ya migogoro hatuwataki

    Mjumbe wa kamati kuu ya halmashauri kuu ya chama cha Mapinduzi(CCM)Taifa Bw. Mohamed Abood, amesema Chama hicho hakitaki viongozi ambao watakuwa chanzo cha migogoro ndani ya chama na nchi kwa ujumla. Abood amebainisha hayo jijini Dodoma wakati akifungua mkutano mkuu maalum wa uchaguzi wa...
  14. U

    Huu ndiyo ukweli Wakiristo na Mayahudi duniani hawamkubali Nabii wa mwisho Mohamed kwakuwa siyo Myahudi

    Siyo Myahudi wala Mzungu hivyo wanakuwa wagumu wa mioyo kumuamini
  15. U

    Ndugu zangu naombeni sana mwenye Aya kamili ndani ya Quran ambapo Mungu amebainisha wazi wazi kuwa Mohamed ni Nabii wake wa mwisho

    Weka Aya usije na ubishi
  16. Roving Journalist

    Dkt. Khalid Mohamed - Waziri wa Ujenzi (SMZ): Tunatakiwa kuwa waangalifu wa kila jambo, Teknolojia inakua, faragha za Watu zinaingiliwa

    “Sasa hivi tunaoishi katika Dunia hii tunatakiwa kuwa waangalifu wa kila jambo.” Ni kauli ya Dkt. Khalid Salumu Mohamed, Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi, Serikali ya Mapindizi Zanzibar (SMZ) aliyoitoa wakati akifungua rasmi mafunzo ya Dhana ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi kwa Maafisa...
  17. GENTAMYCINE

    Kweli kabisa Mdogo wangu Mohamed Hussein Tshabalala umeamua kwenda Yanga SC na kutuacha Simba SC na leo huenda ukatambulishwa nao rasmi?

    Sawa bhana Kaka yako nikutakie kila la Kheri na naamini huko unakoenda yoyote yule mtakayegombania nae namba hatougua mara kwa mara, hatopatwa na matatizo ya Macho na Wewe safari za kimya kimya za kwenda Tanga na Morogoro hazitakuwepo tena.
  18. S

    Simba aliondoka Deo Njohole, Method Mogella ‘fundi’, Hamis Gaga nini Mohamed Hussein Tshabalala, msikuze mambo

    Kama kuna wachezaji ambao ilituuma kuondoka Simba basi ni hawa wafuatao, Deo Njohole, marehemu Method Mogella ‘Fundi’, marehemu Hamis Gaga Gagarino, Zamoyoni Mogella let alone akina Chuji, Chama, Barnabas Sekelo, nashangaa sana media zinamkuuuza Zimbwe, kijana uwezo wake ni wa kawaida sana ss...
  19. Waufukweni

    Rasmi Mohamed Hussein (Zimbwe Jr) aondoa utambulisho wa kuwa mchezaji wa Simba SC kwenye mitandao yake

    Wakuu! Nahodha wa Simba SC, Mohamed Hussein maarufu kama Zimbwe Jr, ameondoa utambulisho wa kuwa mchezaji wa Simba kwenye mitandao yake rasmi ya kijamii, hatua inayozidi kuchochea uvumi wa kujiunga na watani wao wa jadi, Yanga SC. Hatua hiyo imekuja baada ya kumalizika kwa mkataba wake na...
  20. fimboyaukwaju

    Mohamed Zimbwe ni mwananchi

    Dominic Salamba,anasema Zimbwe kasaini yanga, duh kama kweli simba watalia sana.
Back
Top Bottom