mohamed

Mohamed Abdullahi Mohamed (born 12 March 1962), also known as Farmajo, is a Somali politician and diplomat who has served as the 9th and current President of Somalia since 16 February 2017. At the time of his election he
had dual Somali and U.S. citizenship, but he renounced his U.S. citizenship during his term in office with no explanation as to why. He was previously a Prime Minister of Somalia from November 2010 until June 2011 and is the founder and Chairman of the Tayo Political Party. He became the President of Somalia after winning in the 2017 Somali presidential election with 195 votes out of a total of 330 by members of the Somali Parliament after defeating former president Hassan Sheikh Mohamud.

View More On Wikipedia.org
  1. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Hivi Mohamed Hussein anaweza Kiingereza kweli?

    Elimu yake navyosikia ni Madrasa na pia kidato cha 4. Je anaweza bishana kwa lugha ya Kiingereza, Kifaransa au Kiarabu? Au Mikia hamjui umuhimu wa kaptein kuwa mjuzi wa lugha husika ?
  2. L

    JamiiForums Tanzania Mohamed Mwameja Tanzania one 1993

    Usia wa Mohamed Mwameja kwenda kwa Simba kupitia kwa Mohamed Husein,kwamba wakaze na wacheze kwa moyo na nidhamu. https://www.facebook.com/share/r/1CCPnYjL7P/
  3. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania Mauritania : Rais wa Zamani Mohamed Ould Abdel Aziz Amehukumiwa kifungo cha Miaka 15 jela

    Mahakama ya rufaa ya Mauritania Jumatano imemuhukumu Rais wa zamani Mohamed Ould Abdel Aziz kifungo cha miaka 15 jela na kutoa faini ya dola milioni 3, na kuongeza kifungo cha awali cha miaka mitano kilichotolewa mnamo 2023 kwa mashtaka ya ufisadi. Aziz, jenerali wa zamani wa jeshi ambaye...
  4. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Waliomsindikiza Mateka Edan Alexander kumkabidhi kwa Red-Cross nao wameangamizwa walikuwa na Mohamed Sinwar!!

    Fyeka fyeka ya Israel huko Gaza imewakumba viongozi wengi wa Hamas akiwemo msemaji Mkuu wa Magaidi hao!!!
  5. Mlaleo

    JamiiForums Tanzania Je Mohamed Sinwar kaingia mtegoni? kuna uwezekano keshadedishwa akiwa Hospital

    IDF imejaribu kumuua kiongozi wa Hamas Mohammed Sinwar katika hospitali ya Gaza, duru zinaiambia Shirika la habari la 'Post' Maafisa wa usalama wameamini kwa muda mrefu kuwa Mohammed Sinwar angechukua nafasi ya kaka yake, Yahya Sinwar, kama kiongozi mpya wa Hamas. IDF mnamo Jumanne 5th May 2025...
  6. Inside10

    JamiiForums Tanzania Mohamed Said: Uislamu Ulivyounganisha Na Kujenga Umoja Wa Wananchi.

    UISLAM ULIVYOUNGANISHA NA KUJENGA UMOJA WA WANANCHI (DINI ILIVYOWAUNGANISHA WATANGANYIKA DHIDI YA UKOLONI: NAFASI YA DUA NDANI YA TANU VISOMO VYA QUR'AN NA DUA ZILIZOFANYIKA WAKATI WA KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA) Inategemea watu watakavyoitumia dini. Dini inaweza kutumika kuwaunganisha watu...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Kwaninia Waislamu wa dhehebu la Mashiha huwawabeza na kuwakashfu baadhi ya Maswahaba wa Mtume ?

    Wadau hamjamboni nyote? Uzi huu umeletwa kwa wenye hekima na tafakuri ya kina wakiwemo Wanazuoni Kwanini waruhusiwe kwenye nchi takatifu ya Maka na Madina kama ni kweli wamekuwa wakitoa kauli zisizofaa dhidi ya Maswahaba walioulingania Uislamu?
  8. Inside10

    JamiiForums Tanzania Alichoandika MwanaHistoria Mohamed Said, Baada Tamko La Askofu Rais Wa TEC

    Ni facebook huku akinakili video ya tamko la Askofu Wolfang Pissa Ambaye Pia Ni Rais Wa Baraza La Maaskofu Katoliki Tanzania. -------------------------- ASKOFU ANAIJUA HISTORIA YA KANISA KATOLIKI LINDI TANU ILIPOINGIA SOUTHERN PROVINCE 1955? N miaka mingi sasa toka nilipofika kuliona Kanisa...
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mohamed Salah asaini Mkataba mpya wa miaka miwili na Liverpool

    Mshambuliaji Mohamed Salah hatimaye amesaini mkataba mpya kuendelea kubaki Liverpool kwa mshahara wa Pauni 350,000 kwa wiki baada ya mvutano wa muda mrefu kuhusu suala la Mkataba wake ambao ulitarajiwa kumalizika Juni 2025. Baada ya kusaini amesema “Nimefurahi, tuna timu nzuri, tuna nafasi ya...
  10. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Graphic video: Kamanda wa Hezbollah Mohamed Mansour alivyouawa na majeshi ya Israel huko Lebanon.!!

    Majeshi ya Israel yamefanikiwa kumuua gaidi Mohamed Mansour aliyekuwa akit uhu iwa kuamru kushambuliwa kwa makazi ya wayahudi huko Kaskazini mwa Israel juzi aliingia kwenye 18 za majeshi ya Israel na gari yake kupigwa kombola gari liliwaka akiwemo yeye na mpambe wake juhudi za kutoa kwenye hilo...
  11. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Salim Kikeke na Mohamed Said Karume Day

    https://youtu.be/EYP1e2tToZc?si=ANvPuvwWhSjtQO_h
  12. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Kamanda wa Hezboullah Mohamed Adnan Mansour aangamizwa yeye na mpambe wake. Kafa kifo cha kutisha sana!!

    Mapema leo (Jumatatu), IDF ilimpiga na kumwangamiza gaidi Mohammed Adnan Mansour, kamanda wa mizinga wa Hezbollah katika eneo la Taybeh kusini mwa Lebanon. Wakati wote wa vita, Mohammed alielekeza na kufanya mashambulizi mengi ya makombora na ndege zisizo na rubani kuelekea eneo la Upper...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Kumuamini Mungu bila kumuamini Mtume wake Mohamed ni kazi bure kabisa

    Wadau hamjamboni nyote? رَّسُولَ اللَّهِ وَخَاتَمَ النَّبِيِّينَ وَكَانَ اللَّهُ بِكُلِ‏ّ شَىْ‏ءٍ عَلِيماً “Muhammad is not the father of any of your men, but he is the Apostle of Allah and the Last of the prophets; and Allah is cognizant of all things.” (33:40) "Muhammad si baba wa yeyote...
  14. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Buriani Mwanetu Awadh Mohamed Awadh

    BURIANI MWANETU AWADH MOHAMED AWADH Awadh Mohamed Awadh (Chico) alikuwa kafanana sana na baba yake. Mimi sikupata kumwita kwa jina lake la Awadh kwangu alikuwa Chico sijui kwa nini. Labda kwa kule kurandana sana na baba yake. Wazazi hatupendi kuzika wana. Hatupendi kwa kuwa ni jambo zito na...
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Takwimu za Ulaya wiki hii, Bruno Fernandes, Raheem Sterling, Mohamed Salah

    Hat-trick ya Bruno Fernandes dhidi ya Real Sociedad ni ya kwanza kwa Manchester United katika Michuano ya Ulaya tangu Marcus Rashford alivyofunga vs. RB Leipzig (2020), pia ni ya kwanza Europa League tangu Zlatan alivyofunga vs. St-Etienne (2016) Raheem Sterling ni Mchezaji wa Kwanza wa...
  16. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Thierry Henry asema katika mbio za Tuzo ya Ballon d'Or, Raphinha yupo mbele ya Mohamed Salah

    Nguli wa soka Thierry Henry amesema kuhusu Tuzo zijazo za Ballon d'Or, Mbrazil wa Barcelona FC, Raphinha ana nafasi kubwa kutokana na takwimu nzuri na ameonyesha kiwango Bora zaidi ya Mohamed Salah wa Liverpool Amesema "Raphinha ana Magoli 11 katika UEFA Champions League, anafanya vizuri katika...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Ally Mohamed Keissy: Nilitaka tubadili Katiba ili Magufuli awe Rais kwa miaka 15

    Aliyekuwa Mbunge wa Nkasi Kaskazini (2010-2020), Ally Mohamed Keissy, amefafanua sababu zilizopelekea msukumo wake wa kutaka kubadili Katiba ili Magufuli awe Rais kwa miaka 15.
  18. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu, Ndg. Shemsa Mohamed, Ashiriki Sherehe ya Police Simiyu Family Day

    Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu, Ndg. Shemsa Mohamed, Ashiriki Sherehe ya Police Simiyu Family Day 📅 Tarehe: 22 Februari 2025 📍 Eneo: Viwanja vya Kituo cha Polisi, Itilima Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu, Ndg. Shemsa Mohamed, ameshiriki katika sherehe ya Police Simiyu...
  19. snipa

    JamiiForums Tanzania Account ya Mohamed Dewji haikuwa hacked "haikudukuliwa" ? ila kalipwa kuwadanganya na kuwaingiza mkenge watanzania, Crypto scam.

    Wadau Kwa wanaoona Kanye west ni chizi basi jifikirieni mara mbili, mana Kuna ukweli kwenye analolisema. Kanye west anadai scammers wa crypto walimfuata na kumwambia apost kwenye x crypto yao ajifanye yake na aiache post Kwa masaa 8 na baada ya muda huo kupita aje aseme account yake...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM Rufiji kumpitisha Mchengerwa mgombea pekee

    Wakuu Katibu wa CCM Wilaya ya Rufiji Prudence Sempa amesema atalifanyia kazi Ombi la Mwenyekiti wa Halmashauri ya Rufiji la kuwataka kumpitisha Mbunge Mohamed Mchengerwa kuwa Mgombea pekee wa Ubunge kupitia CCM. Bw. Sempa alitoa kauli hiyo baada ya Mwenyekiti wa Halmashauri ya Rufiji Abdul...
Back
Top Bottom