Mohamed Abdullahi Mohamed (born 12 March 1962), also known as Farmajo, is a Somali politician and diplomat who has served as the 9th and current President of Somalia since 16 February 2017. At the time of his election he
had dual Somali and U.S. citizenship, but he renounced his U.S. citizenship during his term in office with no explanation as to why. He was previously a Prime Minister of Somalia from November 2010 until June 2011 and is the founder and Chairman of the Tayo Political Party. He became the President of Somalia after winning in the 2017 Somali presidential election with 195 votes out of a total of 330 by members of the Somali Parliament after defeating former president Hassan Sheikh Mohamud.
Mohamed Yussoufeli ni raia mwenye asili ya India
Kwenye utawala wa Magu alikabiliwa na kesi 199 zikiwemo za kutakatisha fedha, mikataba ya ulaghai, ufisadi na ukwepaji Kodi kiasi cha billion 15.6
Baada ya kifo cha JPM huyu bwana aliachiliwa akakimbia nchi kidogo na Sasa amerejea na anafanya...
Poleni na majukumu ya kila siku, nimekuja na ID yangu hii sina haja ya kujificha.
Moja kwa moja kwenye mada, nahitaji msaada kama kuna mtu anamjua mganga wa uhakika anifanyie kazi yangu, kuna waganga huwa nasikia wanatoa watu mabusha, wanatuma majini au kumpa mtu ugonjwa nahitaji mganga wa...
Huyu golikipa ni mali sana ila sijui ilikuwaje akaondoka Azam ambayo ina fedha ndefu sana. Nilimwona langoni wakati Sudan ikiwaadabisha Nigeria kwenye CHAN 2024 ikiwa ni dhahiri kuwa hayuko Azam tena.
Aisee hii ni beki ya kushoto kutoka Guinea inakiwasha kinoma leo kakiwasha sana game ya SA vs Guinea. Aisee Simba sports club please mleteni huyu jamaa
General Mohamed Siad Barre, the last President of a unified Somalia
When he was ousted in a coup by several warlords whose public face was General Mohamed Farah Aideed, Siad Barre escaped to Kenya where he stayed at the Safari Park Hotel for about two months, reportedly incurring expenses...
Mjumbe wa kamati kuu ya halmashauri kuu ya chama cha Mapinduzi(CCM)Taifa Bw. Mohamed Abood, amesema Chama hicho hakitaki viongozi ambao watakuwa chanzo cha migogoro ndani ya chama na nchi kwa ujumla.
Abood amebainisha hayo jijini Dodoma wakati akifungua mkutano mkuu maalum wa uchaguzi wa...
“Sasa hivi tunaoishi katika Dunia hii tunatakiwa kuwa waangalifu wa kila jambo.”
Ni kauli ya Dkt. Khalid Salumu Mohamed, Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi, Serikali ya Mapindizi Zanzibar (SMZ) aliyoitoa wakati akifungua rasmi mafunzo ya Dhana ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi kwa Maafisa...
Sawa bhana Kaka yako nikutakie kila la Kheri na naamini huko unakoenda yoyote yule mtakayegombania nae namba hatougua mara kwa mara, hatopatwa na matatizo ya Macho na Wewe safari za kimya kimya za kwenda Tanga na Morogoro hazitakuwepo tena.
Kama kuna wachezaji ambao ilituuma kuondoka Simba basi ni hawa wafuatao, Deo Njohole, marehemu Method Mogella ‘Fundi’, marehemu Hamis Gaga Gagarino, Zamoyoni Mogella let alone akina Chuji, Chama, Barnabas Sekelo, nashangaa sana media zinamkuuuza Zimbwe, kijana uwezo wake ni wa kawaida sana ss...
Wakuu!
Nahodha wa Simba SC, Mohamed Hussein maarufu kama Zimbwe Jr, ameondoa utambulisho wa kuwa mchezaji wa Simba kwenye mitandao yake rasmi ya kijamii, hatua inayozidi kuchochea uvumi wa kujiunga na watani wao wa jadi, Yanga SC.
Hatua hiyo imekuja baada ya kumalizika kwa mkataba wake na...
Kumbe ndiyo maana Mchezaji wa mwisho kupokea Mshahara mdogo Simba SC Chasambi Ladack anapokea Shilingi Milioni 17 kwa Mwezi huku Wachezaji wengine wote wa Simba SC wanapokea Mishahara ya kati ya Shilingi Milioni 40 hadi Milioni 75 kwa Mwezi.
Kuna Timu (nimeisahau Jina) juzi juzi tu hapa...
SHEMSA MOHAMED ASEMA CCM ITAENDELEA KUWA DARAJA KATI YA SERIKALI NA WANANCHI
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu Ndugu Shemsa Mohamed amesema kuwa Chama cha Mapinduzi kitaendelea kuwa daraja kati ya Wananchi na Serikali katika kuhakikisha kuwa changamoto za wananchi zinapatiwa ufumbuzi na wananchi...
kuna habari zimeenea sana hapa Tel Aviv kuwa Iz al-Din al-Haddad aliye chukua mikoba ya Mohamed Sinwar naye ameangamizwa alipokuwa kwenye maficho yake, Habari hizi zimeenea sana tv na radio zinazungumzia sana shambulio lililoutoa uhai wa Gaidi huyo huko Gaza.
Makumi ya bunker bunkers zilitumika...
Kufuatia IDF kumuangamiza Mohammed Sinwar, Izz al-Din al-Haddad (pichani) amechukua uongozi wa tawi la kijeshi la Hamas.
Israeli sasa hivi inamfatilia kwa nguvu zote ili imewaangamiza!!
Al-Haddad (55) anaidhibiti Hamas katika Ukanda wa Gaza, na kwa mujibu wa vyanzo vya kijasusi, mtu huyo...
Mdogo wa mwisho wa Yahya Sinwar na Mohamed Sinwar Zacharia Sinwar ambaye alikuwa Professor katika chuo kiislamu huko Knan Younis naye jana alilazimishwa kuwafuata ndugu zake walioangamizwa na majeshi ya Israel.
Zacharia Sinwar aliuwawa jana na mashambulizi ya ndege yaliyofanywa huko Khan...
Kituo cha televisheni cha Saudi Al-Hadath kinaripoti kwamba mwili ya kiongozi mkuu wa Hamas Mohammed Sinwar na wasaidizi wake kumi ilipatikana ndani ya handaki huko Khan Yunis, kulingana na vyanzo.
Ripoti hiyo pia inadai kuwa Mohammed Shabana, kamanda wa Kikosi cha Hamas cha Rafah Brigedi...
Kwanza huyu Hussein hata ukapteni sijui alipewa kwa vigezo vipi, anapenda mpira wa kurudi nyuma ili kumsumbua kipa. Jana goli la pili lilianzia kwake kwa kurudisha mpira nyuma makusudi tena kwa shuti Kali, ambapo kipa ilibidi aforce kulizuia na kujikuta anampigia Abdullazak ambaye ni beki wa hovyo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.